goli

Goli Otok (pronounced [ɡôliː ǒtok]; lit. 'Barren Island'; Italian: Isola Calva) is a barren, uninhabited island that was the site of a political prison which was in use when Croatia was part of Yugoslavia. The prison was in operation between 1949 and 1989.The island is located in the northern Adriatic Sea just off the coast of Primorje-Gorski Kotar County, Croatia with an area of approximately 4.5 square kilometers (1.7 sq mi). Exposed to strong bora winds, particularly in the winter, the island's surface is almost completely devoid of vegetation, giving Goli Otok ("barren island" in Croatian) its name. It is also known as the "Croatian Alcatraz" because of its island location and high security.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yanga: Dube akikaribia goli, taa inapunguzwa mwanga asione goli

    Dube wetu ilikuwa akilikaribia Goli wenye ule uwanja wanatuma mtu wao apunguze mwanga wa Taa ili asione vizuri. Tumevumilia Mengi sana sisi. Haya ni maneno ya msemaji wa Yanga Ally Kamwe, akitoa taarifa kwa niaba ya club My Take Hata mimi niliona Azizi Ki alipopiga penati wakahamisha magoli
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanga ya sasa ikikutana na Simba hii itafungwa goli hata 11

    Nimeangalia mwenendo wa Yanga inaonyesha kiwango kinazidi kushuka kwa kasi kubwa sana, hata inaposhinda unakuta inashinda kwa kupambaaaaana kama bao la mzee, kagoli kamoja. Hata game ile aliyocheza na Simba tuwe wa kweli maana ingechezeshwa na refa makini kama Aragija Simba ingeshinda kwa goli...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi' ya Yanga

    HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi ya Yanga SC. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rais Samia amendika hivi: “Pongezi kwa Tabora United kwa ushindi wenu dhidi ya...
  4. JamiiForums Tanzania Goli la Mukwala ni goli Bora Sana

    Goli Bora huwa na mambo yafuatayo. 1. Umuhimu wa goli 2. Limefungwaje 3. Juhudi na weledi wa mfungaji 4. Ubora na defensi ya waliofungwa. Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala kafunga goli bora Sana.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbona hatusikii tena habari za ushindi wa magoli mengi? Goli moja limekuwa lulu wakilipata wanashangilia mpaka wanavunja viti!

    Kulizuka katabia Fulani hivi vijana wa Rage na Mangungu walikuwa wanaizodoa Yanga kwamba inapata ushindi wa kigoli kimoja na wao wanafunga mengi sasa hivi wameufyata kulikoni! Hicho kigoli kimoja wanapokipata wanashangilia kama wamepata dhahabu ni maajabu haya!
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanafunzi wa form 4 na wazazi, Form 5 na 6 ilishapitwa na wakati.Ni vizuri kuanza chuo mapema baada ya form 4 na hupanua zaidi goli la ajira

    Hasa kwa wale wenye malengo ya kuja kuajiriwa kwasababu ukweli mchungu wa mfumo wetu wa elimu yetu inaandaa zaidi wahitimu kuajiriwa serikalini, wachache sana wamevunja mwiko huu kwa kutumia elimu zao kujiajiri kwa hiari Ni kwanini form 6 ilitokea kuwa maarufu zaidi ? Hapo zamani nchi ilikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania MIZANIA Ronaldo hajawahi kufunga goli la Offside

    Wakuu nimekutana na Taarifa hii, wanadai Cristiano Ronaldo ana rekodi kwamba zaidi ya magoli 890 aliyofunga hakuna hata moja lililobainika kuwa na mashaka ya Offside. Je Kuna ukweli hapa?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Yanga itatufunga goli 7

    Ndugu zangu, wana-msimbazi wenzangu kwanza tujipe pole kwa kupoteza derby ya nne mfululizo. Ila tukubaliane kwamba timu yetu ni takataka na ya hovyo sana mbele ya ma-giant Yanga Africa, sisi ni mbumbumbu tunaopelekeshwa. Yanga ndio timu bora ya muda wote, takwimu zinathibitisha hilo, sisi...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga Tupunguze Maneno, Jana hatujashinda Goli hata moja, kuna cha kujifunza hapa

    Huu mpira wa Media ndio iliifanya SSC kuporomoka sana na kufikia hapo ilipofikia. Goli ambalo hatuwezi kujivunia nalo deep down lisitutoe kwenye reli kuwa kuna TAFSIRI 2 1. Inawezekana Yanga SC Imeanza kuwa na kiwango cha kawaida au wachezaji wetu wameanza kuchoka, Sijaona Shambulia la hatari...
  10. JamiiForums Tanzania Hili goli la uwanja wa taifa lina bahati mbaya?

    Hii post nimetaka kuileta muda kidogo ila naamuaga kupotezea ila leo nimelazimika kuileta. Kuna hili goli sijui ndiyo la kaskazini, kila derby at least za hivi karibuni lazima mpira ugonge mwamba na tena mpira unagonga karibu eneo lile lile. Nikikumbuka hivi karibuni: 1. Penati ya Mukwala...
  11. G

    JamiiForums Tanzania " Idadi ya goli tutakazofunga itategemea na shauku aliyonayo mpinzani wetu dhidi yetu.''

    Hii kauli imebeba maana kubwa sana leo unajua kwanini unapocheza na Yanga kisha ukapata shauku sana ya kufunguka na kuwashambulia ndipo hapo unaingia kwenye mtego wao. Ukiwashambulia Yanga kisha ukaacha sana magepu kwenye zone yako ombea Yanga wasiupate huo mpira ni wazuri sana kwenye kufanya...
  12. JamiiForums Tanzania GAMONDI:TUTAIFUNGA SIMBA GOLI KUTEGE.MEA NA SHAUKU ZAO

    MH GAMONDI AMESEMA SIMBA ITAFUNGWA KUTOKANA NA SHAUKU YAO KAMA WANATAMAN MAGOLI MENGI WATAPEWA WANACHOTAKA ▶️MIGUEL GAMOND ATOA NENO KUELEKEA DERBY . 🗨️''Mechi yetu dhidi ya Simba maandalizi yetu hayana tofauti na mechi yoyote ya ligi kuu. Hii ni mechi kubwa sana kwa mashabiki na wapenzi wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Asante MO , Bingwa wa mikakati nje ya uwanja. Kesho Simba inampiga mtu goli za kutosha.

    Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA. Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso...
  14. JamiiForums Tanzania Muda huo kuna goli la mama, ila maisha!

    Sio huyu tu wapo wengi wenye shida zaidi ya huyu Mzee nikwamba hamjakutana nao tu ila Mungu atupe akili sisi wa Africa. Kuna post moja niliisoma inasema Tanzania ni nchi pekee ambayo unaenda kufanya kazi ukipata pesa pesa yote inaishia kwenye madeni Kila siku kwasababu pesa imekosa thamani
  15. U

    JamiiForums Tanzania Shida si goli chache, wapiga kelele c washabiki ni wazee wa wakubeti

    Tatizo c kwamba yanga imeshuka kiwango, tatizo ninkuwa nchi yetu imeharibika na Sasa umeingia kwenye uchumi wa Kamali , ambapo vijana wengi sana wenye ajira na wasio na ajira wameingia kwenye biashara hiyo ya kamali na kubeti. Nchi inakusanya mapato mengi sana kupitia kubeti, hivyo inapelekea...
  16. JamiiForums Tanzania Ken Gold Walinyimwa Goli dhidi ya Vibonde Yanga SC siku ya Jana

    Azam sports wana umakusudi, hawana vertical top view camera, hawana camera nyuma ya goli, wachambuzi wa mchongo Mbwaduke na Kiemba wanalamba Asali kwa kusema uongo. Aibu nyingine tena kwa ligi kuu ya Tanzania, Yanga SC wanaforce ushindi wa bahasha kwa mara ingine. Diara juu ya mstari, je mpira...
  17. D

    JamiiForums Tanzania KENGOLD SPORTS CLUB: Tumefungwa Ila sio goli tano (5)

    Maneno ya Ken gold sports club Baada ya mechi . Waliofungwa 5 mikono juu Soma Pia: FT: Ken Gold 0-1 Yanga | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 25.09.2024
  18. JamiiForums Tanzania Tajiri wa Simba haidi tena nguruwe octb 19 kila goli umekuwa kimya sana na simba yetu

    Huyu mmh anaipenda sana simba Na n mfanyabiashara maarufu sana huko dom April alihaidi kutoa nguruwe 5 kila goli nahisi alijua hawashindi Sasa this tym katoa pesa kwa kamara wa simbaaaa kwa kuisaidia simba Wanasimba tunaombaa ahaidi tenaa nguruwe tano kila goli na asiseme mpaka kushindaa...
  19. JamiiForums Tanzania Ukweli wa pesa za goli la mama

    Kuna hii discussion ya goli la mama ambapo hatujui hela zinatoka wapi ila tunajua anatoa mama but guess what kama wewe ni mtu unayefuatilia hizi press comference za Ahmed Ally, Ally Kamwe na Hashim hasa za kuhamasisha watu waje kwenye mechi za stars kuna kitu lazima umekiwaza Nini kilitokea...
  20. JamiiForums Tanzania Ushirikina hautakaa uishe..huyu mtoto alienda kufanya nn goli la waarabu??

    Hapoo anapewa maelekezoo na kamati ya ufundi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…