Msemaji mkuu wa serikali ambaye pia ni katibu mkuu wa wizara ya Habari sanaa, utamaduni na michezo Greyson Msigwa amekabidhi kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwa klabu ya Azam kama sehemu ya hamasa katika mashindano ya Kimataifa, Azam Fc walipata ushindi wa Goli 2 dhidi ya El Merriekh ya sudan...