godown

  1. M

    Kutoka kufurahia “Kazi ipo hakuna rushwa” Hadi kuacha ndala Godown, Hadithi halisi ya kazi za viwandani kwa wageni

    Ilikuwa miaka ya 2010s mimi na rafiki yangu tulikuwa tunahangaika kutafuta kazi. Tumezunguka viwanda vingi kila ukifika unaambiwa “hakuna kazi”, “acha namba”, “rudi wiki ijayo”. Siku moja tukafika kiwanda fulani, kulikuwa na jamaa yupo getini ni msimamizi akatuangalia akasema tu, “kazi ipo...
  2. Yohimbe bark

    Balo gani unataka nikutajie bei ya Godown

    Nakutajia bei ya godown ulinganishe na huko unapochukulia.
  3. ndege JOHN

    Kwanini watu hawawekezi kwenye biashara ya ma godown wakati hela nje nje

    Hii biashara NI nzuri Sana ukiwa na million zako 100 unaweza kujenga go down zuri la medium size la kisasa unaweza ukarudisha hela yako ndani ya misimu miwili Tu ya kilimo.mfano huku kusini Lindi wakulima wanalima ufuta Kisha wanalima mbaazi halafu wanamalizia na korosho sasa kila kilo kutunza...
  4. F

    NAKODISHA ENEO LA BIASHARA YA HARDWARE NA VIFAA VYAKE .ie Godown, machine za blocks, office, sehemu ya mbao.

  5. Dalali_wa_kimataifa

    4BEDROOM FOR RENT,LOCATED AT MBEZI BEACH 🇹🇿

    #rent #STAND_ALONE HOUSE IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI ——————————————————— KODI USD 1300$/=KWA MWEZI ________________ MALIPO YA MIEZI 6 ————- IKO PEKE YAKE KWENYE FENSI _________________ KUBWA YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba vinne vya kulala, # Master #Ac...
  6. Dalali_wa_kimataifa

    Yard inauzwa pamoja na Godown zote

    Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni, Ukubwa wa eneo ni 2 Acres Bei 2.5bill tsh Document: Available Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  7. Dalali mbeya jiji

    Godown linapangishwa Mbeya mjin

    Godown linapangishwa 1.2m. Sq 400 1.5m mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  8. Dalali mbeya jiji

    Godown linapangishwa Mbeya mjini

    Godown linapangishwa Mbeya mjini sq 750. Tshs 4m mazungumzo yapo. Lipo eneo la viwanda, Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  9. Dalali mbeya jiji

    Godown linapangishwa Mbeya mjini.

    Godown linapangishwa Mbeya mjini. Sq 450 Tshs 1.5m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!
  10. mtataina

    Tunazalisha Plastic pallets

    Hallow we produce plastic timber which are normally used for making a pallets, A pallets that look nice and unique because we use plastic timber which are durable and strong, termites free, not eaten by ants and not affected by water. plastic PALLETS it may have a capacity of carry 1.5 Tons...
  11. M

    Godown langu jirani kaziba njia yakuingilia,je nilifanyie biashara Gani ya uzalishaji mdogo

    Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia Au nifungue kiwanda Gani kidogo
  12. Brojust

    DODOMA: Natafuta Godown kubwa lenye ukubwa wa kuanzia Square Metres 800 mpaka 1000

    Salaam; Wanajukwaa poleni na mihangaiko ya kila siku, natafuta Godown kubwa kiasi kwa ukubwa wa kuanzia Square metre 800 mpaka 1000, Nikipata maeneo ya kuanzia Nala na singida Road itapendeza sana. Mwenye Offer nzuri basi aje PM tuongee Biashara. Namba zangu 0710 782874 na 0693 784003 NB...
  13. Calyx24

    Mechanical construction( steel godown, steel hall,steel tents and car shed)

    habari zenu wakuu kutokana na changamoto kubwa zinazotokea kwa watu wengi hasa upande wa ujenzi kwa kutumia vyuma BEST MACHENICS COMPANY tumekuja na huduma inayohusisha design and fabrication ya steel structure kutoka kwa wahandisi wabobevu Huduma tuzitoazo ni, -kubuni michoro ya miundo mbali...
  14. Daniel Aloyce Daniel

    Anayejua godown za pipi za jumla na agenti wa usambazaji kwa maduka ya jumla naomba kujuzwa

    Ninaomba kwa anayejua eneo lililopo godown la pipi za jumla au wasambazaji wakubwa wa pipi za jumla Arusha, ambao wanahusika na kuwasambazia watu wa maduka ya jumla naomba anipe connection.
  15. DRIVE

    Plot4Sale Nauza godown

    Habari wadau, Nauza godown. Lipo mkata handeni barabara kuu irudiyo msata/pwani Lipo kilometer 2 toka mkata stand Lipo meter 100 toka barabara kuu itokayo mkata kurudi pwani Maji yapo mpaka site, eneo lina ukubwa wa square meter 7200 limepimwa lina hatimiliki- tittle deed no 1 Eneo lina jengo...
  16. DRIVE

    Nina shida na mkopo, dhamana ipo

    ..
  17. Thegreatdav

    INAUZWA Kiwanja, Fremu na godown vinauzwa

    Luguruni Metres 500 kutoka Main Morogoro Road Eneo ni 25 kwa 30. Kuna Fremu tano na godown kubwa la mashine ,maji na umeme Upo . Bei inaanzia 150M .....maongezi yapo kidogo. Kwa maelezo zaidi piga 0682822649
  18. V

    Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  19. Mbepo yamba

    Godown inahitajika haraka

    Nahitaji godown haraka kwa maeneo ya Mwenge. Ofa Yangu ni 600000 kwa mwezi na nahitaji ndani ya mwezi mmoja pekee
  20. C

    Njia nzuri na rahisi ya ujenzi wa ghala la kuhifadhi nafaka ( warehouse / godown)

    Habarini za Leo wanajumuia? Naombeni mwenye uelewa wa njia rahisi na nafuu kwenye ujenzi wa ghala la kuhifadhia nafaka. Ningependa ushauri wa kuhusiana na vipimo, materials za ujenzi Kati ya cement blocks, steel prefabs au za kuchoma. Kwenye vipimo napenda kujua ghala dogo kabisa ushauri liwe...
Back
Top Bottom