goba

Goba is a town and separate District located in the Bale Zone of the Oromia, Ethiopia approximately 446 km southeast of Addis Ababa, this city has a latitude and longitude of 7°0′N 39°59′E and an elevation of 2,743 meters above sea level.
The town is known for its Wednesday market and for honey, basketry and cotton shawl making; Bale National Park is 10 km to the southwest. A few kilometers outside of Goba are the remains of an old rock church. Goba shares Robe Airport (ICAO code HAGB, IATA GOB) with neighbouring Robe.
Ethiopian Airlines has a scheduled flight four times a week connecting Goba to the capital Addis Ababa and to the southern city Arba

View More On Wikipedia.org
  1. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Kiwanja nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi

    Namtaka bingwa wa kuona Mbali. Mwenye macho ya Eagle 🦅 Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa Goba Kwa Olomi. Hizo nyumba mbili unazoziona. Moja ina Rangi ya light blue na nyingine imeezekwa Kwa bati ya Rangi ya maruni zipo ndani ya kiwanja. Sqm 629.78 Hati Safi Hakuna mgogoro Dakika moja Hadi...
  2. radhiya

    JamiiForums Tanzania House For Sale at Goba kwa Robert

    House For Sale at Goba. Location: Goba Kwa Robert. *The house is new, no one has lived in. *It is located alongside goba road, kwa Robert. *1.5 kilometers away. *90%finished with PVC windows and Spanish Tiles. *4 bedrooms all self contained plus public toilet, sitting room, dining, kitchen and...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Goba, Mitaa ya Nasary & Mwanzo tunapata maji mara 3 au 4 kwa mwaka

    Sisi wakazi wa Goba Mitaa ya Nasary & Mwanzo tuna kero kubwa ya kukosa maji, unakuta tunapata mara 3 au 4 kwa Mwaka😢 wakati ambapo mitaa ya jirani wao wenyewe wanapata walau mara moja kwa mwezi. Hii hali inatuumiza sana kwa kuwa kuna muda tunalazimika kununua madoza ya maji hadi kwa Shilingi...
  4. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Goba Majengo Sqm 844

    Nyumba nzuri saana. Nyumba nzuri ya Kisasa Inauzwa milioni 190 maongezi yapo. IPO GOBA MAJENGO - Dar es salaam - Tanzania Ina Vyumba Vinne vya Kulala Vyumba viwili ni self Conteinard Stady room Master Bedroom Sitting room Dining room Kitchen Store Public toilet Ukubwa wa kiwanja: sqmt 844...
  5. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  6. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Goba Kulangwa/Tegeta A inawekwa Caravat

    Habari ya jioni watanganyika. Niwapongeze na poleni kwa heka heka. Nipongeze pia juhudi za ‘wahusika’ kusikiliza wananchi, kwasababu kitu pekee tunahitaji sasa hivi ni kuhudumiwa. Sasa, barabara nliyokua napigia kelele miaka mingi inawekwa Caravat (nimeambatanisha thread nlizokua naongelea...
  7. Vien

    JamiiForums Tanzania Mji wa Goba ukiwa upande wowote unaweza kuufikia

    Habari, Binafsi naupenda sana mji wa Goba kutokana na Geographia yake, ukiwa upande wowote unaweza kuufikia mji wa goba bila changamoto yoyote Mbezi shule kupitia masana unafika goba Mbezi luis kupitia goba road unafika goba Kimara mwisho kupitia matosa road unafika Goba Mlimani city...
  8. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Goba Kwa ulomi plot for sale

    Goba Kwa ulomi plot for sale kipo Goba kwa ulomi ni cha pili kutoka barabara kuu ya Goba kurudi mbezi beach na kimeshika barabara ya mtaa kina fens pande tatu sqm 800 kinafaa kujenga apartment godown ukumbi msikiti kanisa lodge gereji na biashara yoyote milioni 170 maongezi yapo...
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert.

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. Ukubwa wa Eneo: SQM 880. Nyaraka: Mkataba...
  10. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Kwa Mwakifulefule

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  11. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. Ukubwa wa Eneo(Size): SQM 880...
  12. Voldemort

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Goba au Madale

    Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi: 1. Vipimo: 500-600 sqm 2. Location:Goba au Madale 3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji 4. Documents ziwe clean na zimekamilika Offer yangu ni milioni 22 mpaka 24.
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania KERO Ruti ya daladala Mbezi kupitia Goba hadi Kawe na Makumbusho zinazidiwa abiria asubuhi, Traffic ni kikwazo wanakamata daladala zinazokuja kusaidia

    Wakuu, Naomba kuwasilisha kero inayowakabili wananchi wanaotumia usafiri wa daladala kutoka Mbezi kupitia Goba - Kawe na zile zinazoelekea Makumbusho. Nyakati za asubuhi, kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa daladala. Magari yaliyopo kwenye ruti hii yanaonekana kuzidiwa uwezo, kiasi kwamba...
  14. Bosspraise

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kizuri goba sqm 540

    KIWANJA KINAUZWA – GOBA NJIA NNE 📍 🔹 Mahali: Goba njia ya kuelekea Madale 🔹 Umbali: Km 1 tu kutoka barabara kuu, unaingilia kupitia KB Shell 🔹 Ukubwa: SQM 540 – za kutosha kujenga nyumba ya ndoto yako 🔹 Bei: Milioni 38 tu! ✅ Eneo zuri, tulivu na linalofikika kirahisi ✅ Tayari linafikika kwa...
  15. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. *The house is new, no one has lived in...
  16. C

    JamiiForums Tanzania JUMA AWESO, wakazi wa goba hatuna maji wiki ya tatu sasa

    Habari za jioni bw Aweso Mm ni mkazi wa goba osterbay hapa jirani na bar ya Triple B,tuna muda wa wiki tatu hatujapata maji na wala dawasco hawajatoa taarifa yoyote ya nini tatizo. Kikawaida tunapata maji kwa wiki mara moja kila siku ya jumatano, lakini imepita wiki tatu sasa hatujapata maji...
  17. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  18. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kila siku tunalia na LATRA, Njia ya Makongo Juu hadi Goba hakuna Daladala au mna ubia na Bajaj zinazotumika huko?

    Kwa Mwaka wa tatu sasa mtawalia sisi wakazi wa Makongo na Makongo Juu hadi Goba, barabara inayoenda hadi mzunguko wa GOBA CENTRE tumelalamika sana kwenu kwa barabara yetu kukosa daladala. Ahadi zenu zote zimekuwa HEWA mpaka sasa. Kila mara tunapopiga simu dawati lenu la HUDUMA KWA WATEJA...
  19. GURUJI

    JamiiForums Tanzania Viwanja Makongo Juu na Goba

    Je, umekuwa ukitafuta kiwanja kwa Ajili ya makazi au biashara maeneo ya Makongo juu, Goba na Madale? Viwanja vyenye ukubwa tofautii tofautii vizuri vinapatikana kwa Bei nzuri kulingana na maeneo hayo. Makongo juu: Sqm 500 70m. Sqm 500 75m Sqm 600 120m Sqm 300 40m. Goba Kuanzia 30m na...
  20. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo Kwa Mwakifulefule

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
Back
Top Bottom