gharama za ujenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fundi mahiri wa Ujenzi

    Sababu zinazosababisha gharama za ujenzi kutofautiana hata kama mchoro ni uleule

    Hata kama mchoro wa nyumba ni uleule, gharama za ujenzi zinaweza kutofautiana sana kutokana na mambo yafuatayo: 1. Mahali pa Ujenzi (Location) Bei ya vifaa hutofautiana kulingana na eneo Gharama za usafiri wa vifaa (mchanga, kokoto, saruji n.k.) Upatikanaji wa mafundi na malipo yao 2. Aina na...
  2. MrsPablo1

    Hii nyumba inaweza kufikia gharama za ujenzi kiasi gani?

    Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au inayokaribia kumaliza nyumba ndo nijenge, vyumba viwili au vitatu vidogo na bati llitolee maji nyuma hiyo...
  3. Voldemort

    Makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yenye vyumba vitatu

    Habari za leo wana JF 👋 Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kujua makadirio ya gharama za kujenga nyumba yenye vyumba 3 (Vyote master), sebule, dining, jiko, store, pamoja na choo cha wageni (public toilet).
  4. Dennis Robert Shughuru

    Kama gharama za Ujenzi wa huu uwanja ni 12 Bilion za Kitanzania, basi nikiwa Rais kila mkoa utajengwa uwanja kama huu

    Kama huu uwanja ni billion 12 na unabeba watu 16,000 na upo kenya Basi kwa Tanzania tunaweza jenga kila mkoa mfano wa hiki kiwanja na tukafanya kikawa kizuri zaidi Tufanye ni billion 16 kwa uwanja mmoja tuna mikoa 31 jumla ni sh billion 496,000,000,000/= hii inawezekana kabisa Mimi nikiwa...
  5. stabilityman

    Vitu vinavyo ongeza gharama za ujenzi

    Gharama za ujenzi wa nyumba zinaweza kuongezeka kutokana na mambo kadhaa, kama vile aina ya udongo, muundo wa nyumba, na upatikanaji wa vifaa vya ujenzi. Pia, mipangilio ya kiwanja na miundombinu inaweza kuathiri gharama hizo. Mambo Yanayoongeza Gharama za Ujenzi wa Nyumba - Aina ya Kiwanja...
  6. Scared

    Wakuu naombeni msaada wa ramani Kali ya kisasa chumba sebule jiko choo

    Kuna sehemu Nina plot yangu nataka nitoe kitu kikali chumba sebule jiko choo Sasa kwakua jamii forum ni sehemu ya great thinker naombeni msaada wenu ramani ya kisasa wakuu
  7. F

    OMBI MAALUM: Naomba kujulishwa gharama za ujenzi wa Ikulu ya Dodoma.

    Heri ya Krismas. Ikulu kuu ya Taifa ya Chamwino iliyopo Dodoma ni Ikulu namba moja duniani kuwa na eneo kubwa sana la Aridhi. Sijasema ni Ikulu kubwa bali ndiyo namba moja kuwa na aridhi kubwa iliyotengwa kwa eneo la Ikulu tu. Majengo tu yamechukua ekari nane na eneo kubwa sana bado limebaki...
  8. G

    SWALI: MAKADIRIO YA GHARAMA ZA UJENZI

    Ndugu Habari za majukumu? Mwenye uzoefu tafadhali, Je nikiasi gani cha weza kutumika kujenga nyumba yenye frame 3, ikiwa na sifa hizi. upana wa frame uwe wa wastani tofali za block bati za kawaida floor ya cement ceiling board ya kawaida Naomba kuwasilisha.
  9. new level

    Msaada gharama za ujenzi wa nyumba ya floor moja ikiwa boma bila finishing

    Nyumba Ina master bedrooms 2 cinema room kitchen dining , lounge na Stor kwa ground na floor ya juu Ina 3 master bedrooms office na stares kadhaa naomba wenyekua na expérience na ujenzi wanisaidie ili niingie mzigoni bila kua na wasiwasi … ni Makadirio ya boma tu bila finishing maana sijapata...
  10. mdukuzi

    "Bora ukosee kujenga kuliko kukosea kuoa" ni msemo wa kijinga kabisa. Unajua gharama za ujenzi wewe?

    Nilitumia miaka zaidi ya 10 nyumba yangu kukamilka kabisa,gharama sitataja ila itoshe kusema nyumba yangu ni ya thamani kuliko wanawake wote niliowahi kuoa au kuwa nao kwenye mahusiano. Leo hii ukibomoa hako kajumba kangu umenimaliza,kuja kuijenga tena sio rahisi, lakini huyu mke hata akiondoka...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Jinsi ya kufanya makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba

    JINSI YA KUFANYA MAKADIRIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA Habari wana Ujenzi! Watu wengi wanapata changamoto ya kufahamu makadirio ya material wanayo hitaji katika ujenzi wa nyumba ama majengo mbalimbali. Kwasababu hiyo nimeamua kuanza mfululizo wa kutoa elimu hiyo na leo tutaanza na mahesabu...
  12. a sinner saved by Christ

    Mbinu mbalimbali za kupunguza gharama za ujenzi

    Mbinu mbalimbali zinazoweza kutumika kupunguza /kuokoa gharama zisizo za lazima katika ujenzi. 1)MBADALA WA TANK LA KUHIFADHIA MAJI. Naanza na hii ,maeneo yetu mengi maji yanatoka kwa mgao wa mara moja kwa juma hivyo utalazimika uhifadhi maji kwa ajili ya kazi yako ya ujenzi. Njia hii ni...
  13. S

    Gharama za ujenzi zipo juu sana

    Kwa pato la mtanzania kuishi nyumba za kupanga ni kujitengenezea msingi mzuri wa umaskini. Gharama za vifaa vya ujenzi zipo juu ukilinganisha na uhalisia. Tunahitaji viongozi ambao wanaweza kutetea wananchi sio kusifia tu
  14. JGGM

    Namba makadirio ya ujenzi wa nyumba yenye bedrooms 3 na master 1

    Naomba msaada wa kunifanyia makadirio ya nyumba ya kisasa yenye bedrooms 3 plus master room 1 ambayo itakuwa basement planned to be a kitcheni. Tukianzia kwenye boma lake itachukua sh ngapi Mahali ni Dar es Salaam
  15. D

    Gharama za ujenzi (3 bedroom house)

    Habari za leo wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kufahamu makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba ya kisasa ya vyumba 3 (Kimoja master na viwili vya kawaida), sebule, dinning, jiko, store na Public toilet. Cheers
  16. Sky Eclat

    Ghorofa za Afrika ni lazima ziwe na balcony, balcony huongeza gharama za ujenzi

    Inawezekana ni kwasababu ya hali ya hewa, ghorofa za Ulaya Mara nyingi huwa hazina balcony.
  17. MEGATRONE

    Gharama za ujenzi wa uzio/ Fensi

    Habarini wakuu naomba kufahamishwa gharama za ujenzi wa fence/uzio wa eneo la ukubwa wa sqm 91! Natanguliza shukurani!
  18. N

    Gharama za ujenzi wa ghorofa (labour charge)

    Habari za leo wakuu Nina plan kujenga kagorofa total ocuppied space ya mjengo ni 238sq Nataman kujua makisio ya labour charge kama fundi, Natamani kujua makisio kwa floor 14*17 Naombeni msaada
  19. stabilityman

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi. Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
  20. K

    Gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu Pwani inaweza kuwa kiasi gani?

    Mimi ni plan ya kujenga mwaka huu, nyumba yenye vyumba vitatu katika mkoa wa PWANI. Sasa nilikuwa nataka kujua inwea kugharimu bei gani mpaka imamilike ili nijiandae vizuri financially.
Back
Top Bottom