gharama za maisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Penguinelli Cactussini

    Nahitaji roommate wa kike kupunguza gharama za maisha DSM

    Mimi ni mwanaume na ninahitaji roommate awe wa kike ili tupangishe apartment walau ya 150k-250k au BELOW, then tu share kodi kupunguza gharama za kodi. Binafsi nina WiFi na kitanda tayari so hata tuki share bed no problem au tukigawe chumba in two half, hilo halina shida. Nakula migahawani tu...
  2. jamaikatz

    Mkoa gani unaongoza kwa gharama kubwa za maisha?

    Mkoa gani unaongoza kwa gharama kubwa za maisha?
  3. Genius Man

    Trump amesema ataisimamia venezuela huku upigaji, ufisadi na mauwaji ukikomeshwa

    Marekani ni nchi ya kidemokrasia yenye mifumo imara na imeundwa na watu wenye aslli tofauti tofauti hayo mafuta ambayo serikali ya marekani itachimba itayatumia kuinua uchumi wa nchi ya venezuela na kushusha gharama za maisha kwa wananchi kwa uwiano. ikumbukwe Marekani hakuna upigaji wa...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Kitila: Samia amepunguza gharama za maisha amekuza kipato cha mtanzania

    “Kazi ya serikali ukiacha mambo ya ulinzi na usalama ni kutengeneza fursa kwenye maisha ya watu wake kwa kufungua fursa za wananchi kutengeneza ajira na biashara na katika hili Mama Samia amefanikiwa sana, wakati anaingia madarakani tulikuwa tunasajili miradi 207 tu leo tunasajili zaidi ya...
  5. N

    Ni chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda? Sielewi

    Jamani najiuliza ni kwamba nimefungiwa jini chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda mara dufu? Yani mpaka sasa hivi nimeshatumia elfu 17 na sijafanya anasa yoyote. Nimenuna sukari 500 Maandazi 2000 Majani ya chai 100 Mkaa 1200. Watoto hawajala mayai miezi sita na mmoja ni mgonjwa...
  6. Mme Mwenza

    Je, pesa uliyonayo itamudu gharama za maisha yako kwa miaka mingapi bila kufanya kazi?

    Habari wana jamvi! Binafisi nimepga hesabu gharama nazotumia kuendesha maisha yangu ndan ya mwaka mzima, nimepata jumla Tsh2,150,000. Na huku makadirio ya kipato changu kwa mwaka(nimejiajiri) nimepata wastan wa Tsh 4,000,000. Kwa mwaka faida inabaki 1.8M.. - Nimegundua bado nahitaji...
  7. R

    Kwa Mshahara wa milioni 2 ni mkoa gani mzuri kuhamia kwa gharama za maisha, huduma za kijamii, usalama na utulivu wa familia?

    Mshahara ni baada ya makato Je ni mkoa gani mzuri unaoweza kubalance vizuri Gharama za maisha, huduma za kijamii, usalama na utulivu wa familia ARUSHA - ❌❌ Huu mkoa unakoelekea hata sijui, kuna matatizo ya usalama, pia kimaadili sio mkoa mzuri kwa malezi ya watoto
  8. Street brain

    Uzi wa Matumaini: Jinsi Nilivyojifadhili Chuo cha kati na sasa chuo kikuu Huku Nikitafuta Ajira Ya Ndoto Zangu

    Habari Wana Jf🚀 Njoo Niseme Stori Yangu ya Maisha – Safari ya Kupambana na Changamoto! Hello wana jf! 🙌 Leo nataka kushare na nyinyi hadithi yangu ya maisha – jinsi nilivyopambana na masomo huku nikicheza "survival mode" kama mchezaji wa kweli! 😎 Bado siko kwenye “hero” level, lakini niko...
  9. Samia atosha tukutane2030

    Hali inatisha, Uswahilini Dar es salaam watu wamepigika na maisha mpaka basi. Nyuso zimekosa nuru

    Kama kawaida nikatia chimbo Uswahilini nyuma ya JNIA almaarufu airport. Aisee watu wamechakaa hatari. Vijana kama wazee, wamama na wadada wamekaa vibarazani asubuhi tu ukipita macho yao yote kwako. Sura zao zinaonyesha hawapati milo 3 kwa siku. Serikali iangalie, mtu mwenye njaa hawezi kumzaa...
  10. Mzee wa Code

    Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
  11. O

    Gharama za maisha: Kati ya Dar es Salaam na Dodoma wapi rahisi kutoboa

    Nimeleta huu uzi ili tupate kidogo maarifa na tunaweza kusaidiana kimawazo Mimi ni mzaliwa wa kanda ya ziwa huko ila nimebahatika kusoma chuo Dar moja ya chuo maarufu mjini Dar n hata baada ya kutoka chuo nikaamua kubaki Dar sasa kuna ndugu yangu mmoja akanipa mchongo wa kuja Dodoma nimekuja...
  12. Jack Daniel

    Namna ya kupunguza gharama ya vitu visivyo vya lazima

    Salaam jamiiforum Asilimia tisini watanzania wingi tuna vipato vya kawaida haswa ukilinganisha na gharama za maisha na pengine ukubwa wa familia. Na sababu ni hizi A) Gari lako huna uwezo wa kujaza full tank mara Kwa mara B) ujenzi wa nyumba yako ni adoado ,yaani vyumba vinne Halafu...
  13. MFALME WETU

    Gharama za Maisha Zanzibar Zipo Juu sana

    Samaleko.. Kabla hujawaza kwenda Ulaya, America au Asia kula maisha jitaidi sana uanzie Zanzibar ujionee maajabu ya bei za vitu. Kiufupi Huku Zanzibar ni sawa tu na Ughaibuni, ukiweza kumudu kula bata kwa muda wa mwezi mmoja maeneo kama Kendwa, Nungwi, Kiwengwa au Paje basi unaweza kumudu kukaa...
  14. PureView zeiss

    RAISI mpya wa Senegal afuta Kodi za bidhaa muhimu ili kupunguza gharama za maisha

    Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika bidhaa muhimu kama vile Mchele, Mafuta ya kupikia, mkate, mbolea nakadhalika. Wakati hayo...
  15. BabaMorgan

    Kuuza vitu vya ndani kukidhi gharama za maisha

    Katabia haka kakikushika unaweza kujikuta ndani umebaki na mkeka tu kinachoumiza zaidi ni kuuza vitu kwa bei ya hasara. Yote hii ni kukosa chanzo cha uhakika cha pesa. Mbaya zaidi haka katabia akiwa nako kiongozi wa juu basi ujue Taifa litakuwa na hali mbaya ndio hapo utasikia ubinafsishwaji wa...
  16. beth

    Papua New Guinea: Hali ya hatari yatangazwa Mji Mkuu baada ya maandamano na uporaji kutokana na kupanda kwa gharama za maisha na malipo finyu

    Papua New Guinea imekusanya vikosi vya usalama baada ya uporaji na ghasia nchini kote. Ufinyu wa ajira na kupanda kwa gharama ya maisha kumezua hali ya kufadhaika katika taifa hilo la Pasifiki Kusini Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape alitangaza hali ya hatari ya wiki mbili katika mji...
  17. I

    Kwanini gharama za maisha zinazidi kupanda nchini Tanzania na kupelekea umaskini kuongezeka?

    Je unataka kujua ni kwa nini uchumi wa nchi kama Tanzania unazidi kuwa ktk hali mbaya kila kukicha na gharama za maisha zinazidi kupaa na kusababisha umaskini kuongezeka basi soma makala hii kwenye linki hii hapa chini...
  18. BARD AI

    Rushwa, umasikini, gharama za maisha na kutoshirikishwa ni kati ya vitu vinafanya Watanzania kutokuwa na Furaha

    Ripoti ya Mtandao wa Suluhu za Maendeleo Endelevu (SDGs) ya Umoja wa Mataifa (UN), imetaja masuala 6 ambayo huchangia katika Kuongeza au Kupoteza Furaha za Watu katika Nchi Aidha, kwa mujibu wa #WorldHappiness2023, Nchi za Afghanistan, Lebanon, Zimbabwe, #Rwanda, Botswana, Lesotho, Sierra...
  19. L

    Bajeti mpya inakuja kuweka pilipili kwenye vidonda vya gharama za maisha kwa wananchi

    Bajeti imeingilia maisha ya watu ambayo tayari ni magumu kuwahi kutokea katika kipindi cha miongo kadhaa iliyopita. Bajeti imeweka kodi katika bidhaa ambazo bei zake ni kero kubwa kwa wananchi kuwahi kutokea tangu nchi ipate uhuru; 1. Kupandisha kodi ya mafuta kwa hali ya mafuta ilivyo sasa ni...
  20. Stroke

    Pamoja na gharama za maisha kuwa juu Bei ya mafuta yaongezeka kwa sh.149 kwa lita. Ruzuku ina faida gani?

    Hawa Ewura naona wanamkakati wananchi tutembee kwa miguu katika shughuli zetu za kila siku. Pamoja na gharama za maisha kuwa juu bado bei ya mafuta imepanda kwa Tshs. 149 kwa lita. Mafuta ni bidhaa muhimu sana katika uchumi wa nchi hivyo kama yakipanda bei basi ni mara moja tu madhara yake...
Back
Top Bottom