gerezani

Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kiusalama kesi ya Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani ili kuepusha mkusanyiko

    Teknolojia iko mbele sana na tunaipongeza mahakama kwa kuendesha kesi kimtandao. Kwa kuwa ugaidi ni jambo zito sana linalohatarisha usalama wa nchi, na hatuna uhakika kama magaidi wote wamekamatwa, ni vyema kesi ya mtuhumiwa wa ugaidi, Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani. Naona...
  2. JamiiForums Tanzania Boss wenu Yuko Gerezani, Hukumu inakarabia na waliokuwa Washirika wameanza 'Kuparurana' Mitandaoni, kwanini CCM isizidi Kutawala tu?

    Kuna Watu Wawili ambao nilikuwa nikiwaheshimu na kudhani kuwa wapo 'very smart' na kwamba hawataingia katika 'Mtego' wa Kufarakanishwa (Kugombanishwa) lakini bahati wameuongia huo 'Mtego' tena vizuri sana tu. Leo hii GENTAMYCINE nasikitika kuona kuwa Mtu ambaye kwa Miaka takribani Miwili Mitatu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi: Hivi kweli Sabaya analala gerezani?

    Mbona ananawili na kitambi kinaongezeka, yuko poa kabisa as if nalala Kilimanjaro Hotel ya enzi za Israel! Ona walio gerezani Gagnija
  4. JamiiForums Tanzania Lissu: Polisi hawana uwezo wa kukaa na Mbowe muda mrefu gerezani. Mbowe na CHADEMA hatutatoa ushirikiano

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa katika mtandao wa Kijamii wa “Club House” katika chumba kilichofunguliwa na CHADEMA cha “Mashtaka ya Ugaidi ya Mbowe na Katiba Mpya” amesema CHADEMA haitashiriki katika kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wao, Freeman Mbowe Amesema...
  5. JamiiForums Tanzania Mwendokasi kituo cha Gerezani waheshimuni wateja wenu wanaokwenda Mbezi

    Habari wadau..! Leo kwa mara ya kwanza nimepanda mwendokasi mchana yaani majira kama ya saa 8 na nilichokiona palee Gerezani kinatia huzuni kwa kweli jinsi abiria waendao Mbezi wanavyoteseka na jua kali la mchana kwenye foleni wakati stand ni kubwa. Hivi kweli watumishi wa stand hawajaliona...
  6. JamiiForums Tanzania Simbachawene: Kati ya majambazi 10 wanaokamatwa, 3 wanatoka gerezani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema katika operesheni ya kuwasaka majambazi inayoendelea nchini kati ya majambazi kumi wanaokamatwa mitaani, watatu wanatoka gerezeni. Amesema kuwafunga majambazi hao hakusaidii sana kwa sababu wanarudi mitaani na kuendelea kufanya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nakulilia Ivon Njochanilo, Ulimwengu utasimama na Wewe

    Kijana IVO amefungwa Kifungo cha maisha Gerezani Ukonga kwa kesi ya Kulawiti: Criminal case (cc); 165/2020 Kuzaliwa na Vifo vya Wazazi Miaka 19 iliyopita katika kijiji cha Kifanya huko Mkoani Njombe kijana IVO alikuja duniani na kuiona dunia kwa mara ya kwanza, kwa bahati mbaya sana sana...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu uwekezaji wa kibiashara katika Magereza ili wafungwa wanaoweza kugharamia walipie na kutumikia vifungo vyao

    Kwanza kabisa niwasalimu kwa salamu ya kitaifa, KATIBA MPYA WANA JF. Kimsingi nimekuwa nikijalibu kupata taarifa mbalimbali za huduma za magereza duniani. Unapozilinganisha na za magereza zetu unaona ni kwa jinsi gani hali ilivyo mbaya kwa magerza zetu. Na kwa kuwa lengo la kuwa na magereza...
  9. JamiiForums Tanzania Kuombwa talaka gerezani

    Maisha ya mapenzi na ndoa yana changamoto sana. Ila matatizo ndio kipimo cha uvumilivu. Hiki kisa cha masheikh hawa, kimenikumbusha kisa cha Ayoub kuugua hadi kubaki ulimi tu na mkewe alisimama naye. ============== Unguja. Masheikh wa Uamsho, wameendelea kufunguka kuhusu machungu waliyopitia...
  10. JamiiForums Tanzania Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

    Sheikh Farid: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kiufupi tunashukuru sisi tumeachiwa lakini huu ni mwanzo mwema ya busara ya marais wetu, Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi mkuu, mama Samia Suluhu. Wamefanya busara kubwa sana kuondoa hii hali ya mtanziko ya muda mrefu sana wa hii Kesi...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kuu niliyoamua kujifunza KIGANDA nikiwa gerezani KITENGULE, KAGERA.(Don Nalimison)

  12. JamiiForums Tanzania Ni kwanini Watoto waliozaliwa Awamu za Kikwete na Magufuli wana Majibu ya Kukusababishia ukaishi Gerezani Segerea milele?

    Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal. Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na Kumuharibu kwa Hasira Serikali ya Mama Samia haitakuelewa na labda hata Kukusamehe isikushtaki? Halafu...
  13. JamiiForums Tanzania Marekebisho mapya na safari ya Mateso gerezani.

  14. B

    JamiiForums Tanzania Mshukiwa aliyefungwa miaka 43 gerezani kimakosa

    Mshukiwa aliyefungwa miaka 43 gerezani kimakosa Kevin Strickland, ambaye alifungwa gerezani kwa miaka 43 kimakosa kwa madaia ya hatia ya mauaji matatu katika jiji la Kansas nchini Marekani (USA), ameachiliwa huru. Kulingana na ripoti ya Sputnik, kesi hiyo ilianzishwa baada ya mauaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…