Gerezani is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2012 census, the ward has a total population of 7,276.
Naomba ufafanuzi kwanini taa za barabarani za kuongozea magari na vyombo vingine vya usafiri njia ya Gerezani-Mbagala hazitumiki na wakato huohup mradi wa ujenzi wa mwendokasi umekamilika.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Juni 2, 2026, .
Akizungumza mahakamani hapo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa walipofika mahakamani waliarifiwa kuwa Lissu alifikishwa kwa ajili ya kesi...
Miaka ya 70's huko viongozi wa Africa walikuwa wakishashinda uchaguzi wanahamia Ulaya kula Bata huku wakiacha nchi zao zikiongozwa na vivuri vyao tu,
Ni kitendo cha aibu kiongozi mhaini kuendelea kuwa madarakani ili hali yupo gerezani tena KWA makosa ya uhaini hii ni ishara kuwa Mwafrika bado...
Plot For Sale.
Plot details: Prime area, along tarmac road near new SGR train station and Dar port.
•Perfect for; Yard, Garage, container’s storage, godown.
Location: Gerezani street/Sokoine drive.
Size: 903sqms.
Permit: Residential & Commercial.
Document: Title Deed.
Price: Tsh 2B.
For more...
Zimepita siku 72 tangu kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ilipoahirishwa, kwa muda usiojulikana baada ya upande wa Jamhuri kwenda Mahakama ya Rufaa kuomba mapitio ya kesi hiyo Februari 24, 2026.
Hatua hiyo ilikuja wakati usikiliwaji wa mashahidi upande wa Jamhuri...
Mwimbaji wa Tanzania Matonya ameachiwa huru kutoka gereza la Shimo La Tewa lililopo Mombasa, ambako alikuwa akishikiliwa kwa takriban siku 20 kufuatia tuhuma za ubakaji.
Msanii huyo, ambaye amekanusha vikali tuhuma hizo, amepewa dhamana baada ya kutimiza masharti ya bondi ya shilingi 500,000 za...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, huo ndio mtazamo wangu na pia ni ushauri wangu kwa chama iwapo Tundu Lissu ataachiwa kutoka gerezani.
Tundu Lissu akiwa gerzani shida, akiwa nje shida.
Mtajua hamjui.
Mapya ya Lissu gerezani, Serikali yaweka kigingi
Source. Gazeti la mwananchi mtandao
Nimeshindwa kuipata story kamili baada ya website ya mwananchi kuweka tozo kwa kila anaetaka habari zake jambo ambalo ni KINYUME ZA MKATABA WA KIMATAIFA KUPATA HABARI WAKATI WOWOTE
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
Kama wanafikiri kuwa kumweka gerezani Tundu Lissu ndiyo njia itakayowasaidia kubaki madarakani, inabidi wajihoji tena na watagundua kwamba hali hiyo ndiyo itakayo harakisha anguko lao..
Waliua waTanzania kwa kufikiri kuwa njia hiyo itawatia uoga waTanzania wasiendelee kudai HAKI yao iliyoporwa...
Achilia mbali watuhumiwa uhalifu ambao tayari wanaonekana na kujulikana kwa kubeba chakula hadi kwenye vizimba vya mahakamani kupunguza njaa kali baada ya kubanwa mbavu za kisheria na mashahidi au mawakili kulingana na uhalifa wao.
Je,
ni halali kwa mahabusu walio gerezani kufunga kwaresma au...
Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA
"Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti…
Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona nimezuiliwa kinyume cha sheria na utaratibu uliopo.
Mfungwa au mahabusu anaweza kutembelewa na...
Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama.
Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na...
Serikali imeweka wazi kuwa Magereza mbalimbali nchini sio Sehemu ya Mateso huku ukiwepo ushahidi wa Maendeleo kwa Wafungwa kuhitimu Masomo ya ngazi mbalimbali na Mafunzo wakiwa ndani ya kifungo ikiwemo Wafungwa 209 waliohitimu Masomo ya Ujasiriamali katika Chuo cha Uhasibu Arusha na wafungwa 201...
Kiongozi wa upinzani nchini Guinea-Bissau, Domingos Simoes Pereira, ameachiwa huru kutoka gerezani baada ya kukaa mahabusu kwa miezi kadhaa.
Alikuwa mmoja wa wanasiasa waandamizi waliokamatwa na jeshi baada ya kuchukua madaraka mwezi Novemba, kwa mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais Umaro...
https://youtu.be/85bP-YM4ynQ?si=NANNLo0GT5vnfQt_
HAKI huchelewa tu lakini kamwe haijawi kushindwa na dhuluma
Tujiandae kumpokea uraiani shujaa na mpigania HAKI asiyeyumba wala kutikisika, mwana wa Ikungi, Singida...
Ni TUNDU ANTIPHASY MUGHWAY LISSU, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mpigania HAKI...
Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu
Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni kiburi au ni kitu Gani?
Mtu km mdude, pole pole,soka n wenzake kweli Samia ameamua kuwapoteza?
Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa gerezani si kwa sababu watawala waliomweka huko wanataka aendelee kuwa gerezani.
Kubaki gerezani kwa Tundu Lissu sasa hivi kunawatesa sana watawala, laiti kama wangekuwa na njia ya kumwondoa huko bila ya kuonekana kuwa wameshindwa kumdhibiti wangefanya hivyo...
Salaam!
Ikiwa kuna gen Z walioshiriki maandamano na kushtakiwa kwa kesi dhaifu ,batili ya uhaini wako uraiani,
Nini kinamshikilia Tundu lissu gerezani Hadi sasa ambaye hata hakuwa uraiani maandamano yalipotokea?
Hakuna kesi, hakuna ushahidi, hakuna shahidi lakini bado anashikiliwa.
Ninyi GEN...