Uharibifu wa uchaguzi ni jambo moja baya sana jambo lingine baya zaidi ni kumiliki taarifa za watu binafsi, kwa maana nyingine CCM wakitaka kumshughulikia mtu kwa njia yoyote ile wanaweza kujua kuanzia kijiji chake hadi anapofanya kazi, ndugu zako wote nchi nzima nje ya nchi na mahali popote...