games

A game is a structured form of play, usually undertaken for enjoyment and sometimes used as an educational tool. Games are distinct from work, which is usually carried out for remuneration, and from art, which is more often an expression of aesthetic or ideological elements. However, the distinction is not clear-cut, and many games are also considered to be work (such as professional players of spectator sports or games) or art (such as jigsaw puzzles or games involving an artistic layout such as Mahjong, solitaire, or some video games).
Games are sometimes played purely for entertainment, sometimes for achievement or reward as well. They can be played alone, in teams, or online; by amateurs or by professionals. The players may have an audience of non-players, such as when people are entertained by watching a chess championship. On the other hand, players in a game may constitute their own audience as they take their turn to play. Often, part of the entertainment for children playing a game is deciding who is part of their audience and who is a player.
Key components of games are goals, rules, challenge, and interaction. Games generally involve mental or physical stimulation, and often both. Many games help develop practical skills, serve as a form of exercise, or otherwise perform an educational, simulational, or psychological role.
Attested as early as 2600 BC, games are a universal part of human experience and present in all cultures. The Royal Game of Ur, Senet, and Mancala are some of the oldest known games.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Michezo ya akili: Wakati uvumi wa kifo cha Netanyahu ukienea, Israel imefanikiwa kuwaua Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Iran na mkuu wa Basij

    Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
  2. Bawabu wa pili

    Nchi zetu zinataka tutumie internet kuangalia games, mpira, pornography, movies na mambo kama hayo. Ukigusa sensitive issues hawataki kabisa

    Africa sijui tutakuja kuamka lini aisee Unaona viongozi wanapambana sana na Internet linapofika suala la mambo ya msingi mustakabali wa maisha yetu na kutaka haki na utawala bora. Ukweli ni kwamba aidha watake au wasitake hawawezi kupambana na teknolojia. Mwanzo walianzaga hivihivi, wakaanza...
  3. V

    Community Discussions Around Casino Jackpots and Crash Games in Tanzania

    Community Discussions Around Casino Jackpots and Crash Games in Tanzania The observation is unmistakable on Tanzanian forums and social groups: casino jackpots and crash games have become regular discussion topics. Football fans in Tanzania now follow betting discussions alongside match reports...
  4. ELI COHEN

    JF MIND GAMES: Hii ni picha ya nini.?

    Tafadhari usitumie AI, chekecha bongo
  5. M

    Makampuni huwaita HACKERS, sisi tunawaita WAKOMBOZI, bila wao tusingeweza kutumia microsoft word, kupiga window, kucheza games, adobe na kadharika.

    Microsoft office, word, excel, n.k - $99.99 kwa mwaka (Tshs 245,000 ) AutoCad - $2,095 kwa mwaka (Tshs 5,140.000 ) Photoshop - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 ) Adobe Premiere - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 ) Internet Download Manager - $24.95 full package (Tshs 60,000 ) Windows 11 -...
  6. ELI COHEN

    Je, Botha alikuwa sahihi kuhusu sisi watu weusi au basi tu alikuwa anacheza "MIND GAMES"?

    Botha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi. Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech" ALISEMA: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki...
  7. M

    Njia mpya ya kuchipu PS4 yagunduliwa !! PS4 version 12 zinaweza kuchipiwa kwa mbinu ya CD.

    watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account, Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza. PS4 zenye soko kubwa ni version 9.00 kwasababu ya urahisi wake wa kuchipu, juu ya hapo watu wengi wanazikwepa au...
  8. matunduizi

    Nini chanzo cha watoto kupenda katuni, games na vyakula visivyo na afya

    WATOTO WA KISASA Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza. Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice...
  9. Perfectz

    Pc games zinapatikana hapa 0710701361

    Pc games zinapatikana kuanzia za actions, racing, adventures, simulations na sports. Bei yentu ni nafuu sana kuanzia 5k na kuendelea 0710701361 🔥🔥🔥 Tuna games kubwa na zile ndogo kwa ajili ya pc za kawaida kabisa. Baadhi ya games zilizopo 👉🏾PES 17 PATCH 25🔥🔥🔥 👉🏾FIFA 14 PATCH 25🔥🔥🔥 👉🏾PES 21...
  10. pascal luoga

    Nafikiria kufungua biashara ya play station

    Habari zenu wakuuu. Nimepata pesa kiasi kadhaa ila nafikiria kufungua biashara ya play station. Ila huwa nafuatiliaga sana mitandaonj kuna vitu huwa naviona vinanikatisha tamaa kuanza hii biashara. 1.Naonaga watu wanalalamika sana kwamba ni ugomvi na kin mama kuhusu watoto wao 2.kushtakiwa...
  11. Perfectz

    TUNAWEKA GAMES PS4 PS3 PS2 PC AND XBOX GAMES ZA KUTOSHA 0710701361

    KARIBUNI SANA KWA HUDUMA BORA YA GAMES 0710701361. TUNACHIP NA KUWEKA GAMES KWENYE PS4 PS3 NA PS2.PIA KUNA PC GAMES NYINGI SANA ZA KUTOSHA. 👉🏽PES 2025 YA PS3 PATCH KALI KABISA IPO 🔥🔥🔥 👉🏽PES 2025 NA FC 25 KWA MASHINE ZA KUCHIP ZA PS4 9.00 HADI 11.00 IPO 🔥🔥🔥 👉🏽 PES 25 YA PS2 IPO PIA 🔥🔥🔥...
  12. Mtuiz

    Kuendesha PlayStation (Playstation Management)

    Habari gani👋🏾 Je kuna mtu yoyote ambae ana experience ya kuendesha Play station?🎮 Je unazijua changamoto? Je zinatatuliwaje? Zipi mbinu za kuvuta watu zaidi? Games zipi ni pendwa zaidi? Decorations za ndani zipi zinavutia zaidi? Kwa sasa watu wanapenda Ps4 au Ps5? Yapi maswali mengi ya kujiuliza...
  13. Dr Count Capone

    Msaada jinsi ya kununua akaunti kwa ajili ya kudownload games za ps4

    Salaam wakuu, Kwa wajuvi naomba msaada wa namna ya kununua akaunti kwa ajili ya kuDownload games za PS4. Mashine yangu ni ya games za akaunti. Naomba kuwasilisha.
  14. Keyboard_Warrior

    Nahitaji PS4 games

    Niaje!? Eeeh bwana mimi nahitaji hizi game 5. NBA 2K FC mpira RED DEAD REDEMPTION GHOST OF TSUSHIMA GOD OF WAR PS4 yangu haijawa jailbroken! Nipeni muongozo.
  15. JuniorDarilson_

    Ps5/Ps4 Digital Games Installation

    Habari Wakubwa! Naitaji kujua hii biashara ya playstation digital games installation ni inafanyikaje?
  16. R

    Wenzetu mliopo kwenye majiji makubwa, watoto mnawapeleka au mnawaruhusu wapi wakacheze ukiachana na games za TV

    Nakumbuka niliwahi kwenda kwa ndugu yangu kwenye moja ya jiji kubwa, watoto ni GETI KALI !! wakitoka shuleni ni ndani hakuna kutoka, michezo yao ya ndani wnacheza game ya kwenye TV, baiskeli wanazunguka nazo ndani hakuna kutoka, midoli, n.k. nilikuwa nawaonea huruma sana wanakosa mengi sana...
  17. EvilSpirit

    Kuna msomi wetu yeyote wa Computer Science amewahi hata kutengeneza simple computer games kama hizi?

  18. D

    Wazee wa GAmes, Kwanini Google Stadia ilifail?

    Chief-Mkwawa Kwanini Google stadia ilifail wakati naona ilikuwa na potential kwa sababu ulihitaji tu kuwa ni kifaa cha interneet kama tv na chrome cast, laptop basi. Hahikuhitaji ununue game consoles za bei mbaya na mtu unaweza kucheza game kali kali maana computing power inafanyika kwenye...
  19. Perfectz

    SOFTWARE PC games zinapatikana hapa

    KARIBUNI SANA SKYGAMES KWA HUDUMA BORA YA MASUALA YA GAMES NA GAMING KWA UJUMLA 0710701361 TUNACHIP NA KUWEKA GAMES KWENYE PS4 PS3 NA PS2.PIA KUNA PC GAMES NYINGI SANA ZA KUTOSHA. PES 2025 YA PS3 YENYE USAJILI KAMILI KABISA IKO TAYARI🔥🔥🔥 PES 2025 NA FC 25 KWA MASHINE ZA KUCHIP ZA PS4...
  20. KnucleBreaker

    Used PS4 & PS5 Games - CDs - Bei kitonga

    1. Fifa 24 (FC 24) - PS5 => 45,000 tshs 2. The Last of Us Part II - PS4 => 49,000 tshs 3. Far Cry 6 - PS5 => 49,000 tshs 4. Assassin's Creed Valhalla - PS5 => 49,000 tshs 5. Fifa 23 - PS5 => 35,000 tshs Karibuni.
Back
Top Bottom