gambo

  1. PreGE2025 Balozi Nchimbi awakutanisha Paul Makonda na Mrisho Gambo, wapiga picha ya pamoja

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025. Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na...
  2. Hawa vilaza wanaogombania ubunge wa Arusha Mjini Makonda na Gambo je ni wazaliwa wa Arusha.?

    Kwanini hawa Vilaza Makonda na Mrisho Gambo wasiende kugombea ubunge sehemu walipozaliwa ? Nitashangaa Sana watu wa Arusha wakiwapa nafasi
  3. PreGE2025 Makalla amtangaza Makonda mgombe Ubunge Arusha mbele ya Gambo

    KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amewatakia kila la kheri Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, katika Uchaguzi Mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  4. Mke wa Mrisho Gambo aondolewa uafisa elimu

    Heshima sana wanajamvi. Vita ya ubunge Arusha baina ya Gambo na Makonda vyazidi kupamba moto. Mkutano wa Mbunge Gambo Soko Kuu Arusha ambao kwa kiasi kikubwa ulitumika kumnanga Makonda umeanza kuzaa matunda. Mke wa Gambo Afisa elimu alipanda jukwaa na kumtetea mume wake Gambo. Kitendo hicho...
  5. Daraja la mbunge gambo ni milioni 21.

    Aisee tukisema wazungu wanatuona nyani tukubari sio kupanic. Jf kama ili swala litaki kuzungumziwa sababu ni CCm na wana CCm wao waliopo hapa JF wanaweza kusema leo ni usiku wakati mchana. Nimeona huko global TV wakionesha daraja la milioni 21 na wakisema ni awamu ya kwanza. Sasa ijajulikana...
  6. Je, ya Makonda tumuachie Gambo au ya Gambo tumuachie Makonda au ndiyo ile inayosemekana kuwa Mkakati wa kuendelea kuharibu mambo sana ili Samia afeli?

    ARUSHA NI VITA YA EGO; MAKONDA VS GAMBO JIVISHE uhakimu, andika hukumu ya Paul Makonda. Ametumwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mkuu wa mkoa ni nembo ya rais. Matarajio ya Rais Samia kwa Makonda ni kumsaidia kazi na kutunza misingi ya uongozi wake ndani ya jiji...
  7. Nina mashaka na afya ya akili ya Mrisho Gambo

    Nimeshangaa Mbunge wa Arusha kuzindua daraja lenye mabanzi mawili Yaani ameenda ni timu ya viongozi kutoka CCM kufanya mzaha na upumbavu kama huu Hilo daraja kulitengeza haizidi elfu 20 za Kitanzania Yaani watu mnajaza mafuta kwenye v8 na Kaunda suti zenu mnaenda kuzindua daraja la mabanzi mawili
  8. Mke wa Gambo kusema kuwa Wanawake wa Kaskazini hawaolewi na Maboya Mdomo uliteleza tu au kamaanisha ili Wengine tumjibu ki UBAYA UBWELA?

    Nami pia namjibu Mke wa Gambo kuwa hakuna Eneo ambalo lina Wanawake MABOYA kama la Kaskazini mwa Tanzania ambako anatoka Yeye Mke wa Gambo. Kwanza nilikuwa simjui Mkewe Gambo, ila nilivyomuona tu AKIMNADI Mumewe kwa Nguvu zote Jukwaani nimegundua ya kuwa kumbe hata tu Dada wangu wa Kazi amemzidi...
  9. PreGE2025 Meya jiji la Arusha: Siyo kwamba Gambo anaonewa ukweli ni hahudhurii vikao, na akihudhuria anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka

    Katika kipindi cha Medani za Siasa kinachofanywa na Edwin Odemba (Chief Odemba) na kurushwa na Star TV, Meya wa jiji la Arusha aliulizwa kuhusu malalamiko kwamba Mbunge Gambo haudhurii vikao na haya yalikuwa Majibu ya Meya. “Siyo kwamba Gambo anaonewa, ukweli ni kwamba Gambo hahudhurii vikao...
  10. Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere

    Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere Hoja za ufisadi katika ujenzi wa miradi ya maendeleo Arusha iliyotolewa na Mrisho Gambo haitakiwi kujibiwa na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa au Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo aliibua tuhuma za ufisadi matumizi...
  11. PreGE2025 Meya jiji la Arusha: Mrisho Gambo ndiye anayemchokoza Makonda, ni mgomvi kwa kila mtu

    “Si kwamba namtetea Makonda lakini katika sakata lao hili, Gambo ndie anaemchokoza Makonda, Gambo ana ugomvi na kila kiongozi anayekuja Arusha, alikuwa na ugomvi na viongozi waliopita wakina John Mongela, Kennani Kihongozi hata mimi hayuko sawa na mimi” Maximilian Iranqhe - MEYA JIJI LA ARUSHA...
  12. Sakata la Gambo na Mchengerwa angalau lilipaswa kuishia mikononi mwa CAG.

    Huwezi kutuhumiwa na hapo hapo ukajichunguza na kujihukumu. Gambo alitoa shutuma nzito za ubadhirifu dhidi ya wizara ya TAMISEMI, ilitosha kwa spika wa bunge kumuagiza CAG kwenda kupitia matumizi ya pesa za ujenzi uliotuhumiwa na ripoti yake kujadiliwa bungeni, mwisho wa siku mbichi na mbivu...
  13. Kwa hiyo Mrisho Gambo, kuomba kwako MSAMAHA unakiri kua Umetoa Taarifa za Uongo Bungeni zenye chuki na kisasi dhidi ya Makonda na Mchengerwa?.

    Duuhh Gambo Gambo Gambo !!
  14. Mrisho Gambo anaweza kuwa na hoja lakini amekosea namna ya kuwasilisha

    Inawezekana Mbunge wa Arusha alikuwa na hoja muhimu lakini amefanya makosa namna ya kuiwasilisha. 1-Kosa la kwanza yeye alikuwa ni mmoja wa wanaserikali ambao mara nyingi hupingwa na jamii. 2-Kama mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Serikali yapo mengi sana aliwahi kuyafanya na kuyaamua ambayo...
  15. Gambo una hoja, ila hujiamini-Chini ya Mchengerwa, TAMISEMI imekuwa Wizara ya ovyo

    Nimefuatilia mjadala wako Gambo, unayo hoja na ukweli… changamoto kubwa ninayoiona ni CONFIDENCE and DUE DILIGENCE! Hata Usimamaji wako….ni kama kuku wa Broiller anaeogopa mwanga wa jua. Hatua uliyofikia hupambani tena na Makonda, bali unapambana na Mchengerwa pamoja na Boss wake...
  16. Yanayotokea Bungeni Sakata la Gambo na Mchengerwa Linadhihirisha Umuhimu wa Kuepuka Teuzi za Kifamilia

    Kumekuwa na mgogoro mkubwa unaendelea Bungeni tangu majuzi kati ya Mbunge wa Arusha Mjini Ndugu Mrisho Gambo na Waziri wa Nchi, OR TAMISEMI Bwana Mchengerwa. Kwa ufupi ni kamba, Mchengerwa ambaye ni Mkwe wa Rais ameonesha tu kujikweza kwa kibri bila ya kutoa majibu ya hoja za Gambo. Kwa...
  17. HIKI NDICHO ANACHOFANYIWA GAMBO

    Wakuu Ulishawahi kuwa na wafanyakaz wenzako mlioshibana kabsa mnapiga story na kuambiana mambo mengi sana ila kumbe wafanyakaz wenzako wanakukubali kwa sabab tuu boss anakukubal hata ukisema kitu wanahofia kukujibu kwa sababu tuu boss anakukubali Ila siku ikitokea boss akaanza kukukataa hata...
  18. PreGE2025 Mchengerwa amshukia Gambo "Tuhuma zake ni za Uongo"

    Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameeleza kuwa tuhuma zilizoibuliwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo wakati wa mjadala wa bajeti ya wizara yake ni tuhuma za uongo na zisizokuwa na uthibitisho, akieleza kuwa hakuna fedha...
  19. PreGE2025 Mrisho Gambo atoa msaada kwa wajasiriamali Arusha mjini, waimba 'Dear Gambo hatudanganyiki'

    Wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo mkoani Arusha wamemshukuru Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuhimiza sera na kuweka mazingira wezeshi ya kufanyia biashara nchini. Wafanyabiashara hao wamesema kuwa...
  20. PreGE2025 Baraza la Madiwani wagoma kuligawa jimbo la Arusha mjini mara mbili

    Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji. Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…