Unatuletea siasa uchwara Kanda ya Kasikazini utachinjwa mchana kweupe we endelea na magonjwa yako badala ufanye kazi unaanza siasa mfu heti Maendeleo yalichelewa kisa upinzani, kwani Hela ni Mali ya CCM?
Mnaturudisha kwenye siasa za kishamba kwa manufaa ya nani?
Umepewa bilioni mbili...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Mrisho Gambo, amewasili kwenye msiba wa marehemu Mzee Edwin Mtei, mmoja wa waasisi wa CHADEMA, huko Arusha.
Hii ni mara ya kwanza kwa Gambo kuonekana hadharani baada ya kutoonekana kwa kipindi kirefu
Gambo...
Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.
Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania?
Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto.
Usijifungamanishe na wana Arusha
Nauliza kwanini ema ulishindwa kuwapatanisha Gambo, na Makonda kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni?
Alishindwa kuwaita na kuwapatanisha mbona mikoa mingine walifanikiwa kufanya hivyo?
Kwanini CCM ndio imeleta uadui mkubwa kwa vijana Hawa? Nini hatima ya VIZAZI vyao?
Juzi Nchimbi alikuwa...
Maisha yetu yamefichwa katika kesho nyingi tusizozijua wala kuzitarajia.
Una rafiki yako kipenzi unayeamini kuwa ndiye rafiki yako wa dhati? Usiwe mwepesi kumuamini kwa macho, wewe uachie muda nafasi ukudhibitishie yupi ni rafiki wa dhati na yupi ni rafiki wa maslahi na yupi ni adui yako...
Ile kauli kuwa "Kuna li-MTU ambaye tuliamumini anapeleka mambo yetu nje"
It was a sign that ur game is over in SISIEMU politics .
Sasa kwa age yako
Wasifu wako
Maisha kijumla.
Then unaenda kumuomba mkate MTU ambaye ameshakuonesha waziwazi hakutaki .
Sielewi sisi wabantu tuna shida gani...
Heshima sana wanajamvi.
Kipindi cha nyuma enzi za TANU na CCM ya wakati uleeeeeee iliwepo nafasi ya wagombea ndani ya chama wanapofanyiwa mizengwe walikuwa nafasi ya kukataa rufaa kwa wananchi.
TANU ya wakati ule kipindi cha nyuma waliwahi kuondosha jina la Sarawat kwa mizengwe.Sarawat...
Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini ndg Mrisho Gambo yuko katika hatua za mwishomwisho za kuteuliwa, kuapishwa na kupelekwa Havanna Cuba kuiwakilisha nchi katika uga wa kidiplomasia kama balozi.
Kila kitu kiko tayari, kinachosubiriwa ni taarifa rasmi ya Mawasiliano Ikulu muda wowote.
JF kuwa wa...
Pole Sana Gambo. Najua mke wako sasa anarudi kupiga chaki.
Ila usivunjike moyo karibu katika kilimo cha mananasi ,papii , oliento sasa mlemavu ududu yaani.
Sitaki kuamini hii naomba isiwe kweli .
Gambo huyu aliyekuwa anamnyanyasa Lema
Gambo huyu huyu mpakaji wa Majungu .
Gambo huyu huyu ambaye alizuia hosptali ya Mama na mtoto isijengwe Arusha.
Ahaaaaa!!!!!!
Najua hii habari ikiwa ni ya kweli basi bia zitaisha kwenye bar , maana watu...
Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi.
Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa Sabaya, Makonda alipaswa ajitokeze mbele ya Taifa na Kuliomba msamaha Taifa Kwa aloyafanya
Watu wanaweza...
Asante Gambo , hakika tutakukumbuka Ila ndo hivyo tulitaka utuhudumie Ila haikuwa riziki .
Pamoja Sana katika upambanaji wako .
Nayafikiria maisha mapya bila vyeo sijui yatakuaje na mke wako ameshaporwa uafisa na sasa anapiga chaki
Pole Sana jemedali
Gambo umejionea mwenyewe .
Lema yupo na Access ya Canada
Familia yake inaishi na watoto wanasoma ulaya .
Ulimfanyia Figisu
Akakosa ubunge
Ukaharibu reputation yake
But now it is ur time to reap ur karmic debt .
Pole Sana , What you sow you shall reap.
Hii ndo universe utamfanyia MTU ubaya...
Nikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini
Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana.
Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
Naongea haya kwa masikitiko makubwa
Moja ya watu waliotuhumiwa kwa utekaji na Mambo mengine moja wapo ni Hawa watu
Halafu leo wanagombea Tena ubunge na nchi hii ilivyo ya mazuzu wanawashangilia tu
Hawa watu WANATAKIWA kukamatwa na takukuru na kohojiwa kwanza kwa kutumia madaraka yao vibaya...
Ulipozuia kutokujengwa hosptali ya mama na Mtoto kisa Lema ndo alileta wafadhili basi hiyo karma haiwezi kukuacha salama utafutwa katika ulimwengu wa siasa
https://www.facebook.com/share/r/16zAdR6ndf/
Mrisho Gambo kwa jinsi ulivyoumiza watu Sana , nakupa huu ushauri huu usiharibu kiinua Mg on go chako kugombea.
I hope you gonna shine with another way Nigga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.