galaxy

  1. adriz

    Kati ya iPhone 17 pro max na Samsung Galaxy S26 Utra ninunue simu ipi ?

    Moja kwa moja . Nina mpango wa kuvunja kibubu ninunue simu Kali wakuu maana nimechoka kutumia kifaa Cha mawasiliano . Mwaka huu In Shaa Allaah mambo yakiwa mazuri nataka nitenge bajeti ya kununua simu isizidi Million 4 , sasa katika pitapita zangu simu zinazotrend sasa Duniani ni hizo. Lengo...
  2. Funny boe

    Matatizo ya Samsung Galaxy S Series used hasa za kutoka Dubai

    Habari wakuu ..! Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao. Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu...
  3. Mad Max

    Samsung wamezindua simu Galaxy S26 Series!

    Ni February nyingine, Samsung wanatuletea S Series. Wamekuja na S26, S26+ na S26 Ultra. Kusema kweli mabadiriko ya kimuonekano ni madogo sana ukifananisha na S25 kwahiyo vichache vya kuandika.
  4. Troll JF

    SAMSUNG galaxy A36

    Wadau naombeni kuuliza ubora wa Samsung Galaxy A36 ninataka nimununulie Bi Mkubwa simu kwake kwa ajili ya kupiga na kupokea simu she is around 60’s Kingine Price yake inaweza kuwa shilingi ngapi? Kwa maduka ya Tanzania? Na Ni maduka gani highly recommend? Kwa sababu binafsi Samsung Sijawahi...
  5. M

    Phone4Sale Samsung Galaxy A16 inauzwa

    Brand new.imenunuliwa week iliyopita. Inauzwa. Sababu za nje ya dharura.
  6. J

    Samsung Galaxy Tab 8 Inauzwa

    Nauza Samsung Galaxy Tab 8 Kwa Tsh 250,000,Iko kwenye hali nzuri na Ina mwaka mmoja. Kwa maelezo zaidi unaweza njoo inbox.
  7. M

    Sim INAUZWA SAMSUNG galaxy a14

    Samsung A14 Camera 🔥 Sim Mpya Official sio mkopo Gb 64 Ram 4 Bei 185 Chapu Piga sim 0612323330
  8. M

    SIM INAUZWA SAMSUNG GALAXY A32

    Samsung Galaxy A32 Camera Gb 128 Ram 4 Sim Bado Mbichi Bei 230 Maongezi yapo Kidogo Piga sim chapu 0612323330
  9. M

    Sim INAUZWA SAMSUNG galaxy A32

    Samsung Galaxy A32 GB 128 Ram 4 Sim Mpya Kabisa Aimjui Fundi Bei 240 Maongezi yapo Kidogo Pia Nafanya Exchange Na Samsung A15 TU BASI Piga sim chapu 0612323330
  10. A

    Simu ya zamani Samsung galaxy grand prime + Inasumbua

    Nimekua nikitumia simu hii kwa muda mrefu tangu mwaka 2019 hadi nilipopata changamoto ya kugoma kuwaka baada ya kuinstal App ya kudownload content mtandaoni ambayo niliitoa nje ya playstore. Baada ya kuipeleka kwa fundi aliniuliza kama naweza kukumbuka email na password za google akaunti yangu...
  11. Fbn

    Kama tupo duniani kwenye sayari zaidi ya bilioni ndanu ya ulimwengu wa galaxy tuliyopo na zaidi ya galaxy bilioni 2.Basi kuna viumbe vipo huko

    Naweza kukataa kuwa sisi tuliopo duniani ndio watu wenye uhai pekee. Kwa tafiti za wanasayansi wanavyo zidi kutambua sayari zenye mfano wa dunia kama kepler na nyingine zinaweza kuthibitisha kuwa uhai wa viumbe hupo sehemu nyingi kwenye ulimwengu wa anga za sayari. Kama tutaweza kuwa na vyombo...
  12. Mad Max

    Samsung wamezindua Galaxy S25 EDGE: Slim zaidi ya Normal S25

    Yeah hujakosea tittle. Samsung leo wamezindua Galaxy S25 EDGE ikiwa ni miezi mitatu tokea Galaxy S25 ya kawaida izinduliwe. Hii Edge ni Special Edition ili ije kupambana na iPhone 17 Air itakayokuja zinduliwa September. Galaxy S25 EDGE ni slim zaidi, ina battery dogo la 3900 mAh...
  13. Secret Star

    Ukubwa wa dunia ukilinganisha na galaxy yetu

    Ili Dunia ifanane kwa ukubwa na Jua, zaidi ya Dunia milioni moja zitahitajika kuungana ili kufikia saizi kamili ya Jua. Ikiwa umelipunguza Jua kutoka kwenye saizi yake halisi hadi kufikia saizi ya jicho la binadamu, basi ukubwa wa Galaxy yetu, Milky Way, utakuwa sawa na Dunia. Mwanga...
  14. K

    SAMSUNG GALAXY NOTE 20 ULTRA

    Simu imenunuliwa mpya imetumika wiki mbili tuu. RAM: 12GB ROM: 256GB BEI: 600,000Tsh LOCATION: AIRPORT DSM PHONE: 0686210608 & 0748474936 ~KARIBUNI SANA~
  15. K

    Phone4Sale Samsung Galaxy S20 ULTRA ipo sokoni

    Simu imenunuliwa mpya imetumika wiki mbili tuu. RAM: 12GB ROM: 256GB BEI: 600,000Tsh LOCATION: AIRPORT DSM PHONE: 0686210608 & 0748474936 ~KARIBUNI SANA~
  16. Fbn

    Katika elimu ya anga nje ya dunia kuna daiwa kugundulika shimo kubwa ambalo linaweza kumeza nyota zote mpaka galaxy yetu.

    Elimu ya anga naona teknolojia za AI na mahesabu kuchanganuliwa kwa haraka kumekuwa na ugunduzi mkubwa sana kuhusu upatikanaji wa sayari mpya na nyota mpya ambazo ni kama ndoto kwa habari. Wanasayansi wamegundua moja ya mashimo makubwa nje ya ulimwengu kama yakiwa kwenye galaxy yetu basi ni...
  17. Llio 002

    Samsung galaxy a55 inauzwa

    Habari wana jamii Forum ninauza simu yangu Samsung galaxy a55 ni simu kali na latest kwa series za A Samsung Galaxy a55 Gb 256 Ram 12 5g network Bei Tshs 900,000/= 0625 557 395 Dar Es salaam Karibuni sana
  18. Mad Max

    Samsung wamezindua simu tatu za Galaxy S25 series!

    Wapenzi na wadau wa Samsung. Jana usiku Wakorea walitoa vitu vyao vutatu vya mwaka 2025, Samsung Galaxy S25, S25+ na S25 Ultra. Ya kuongea ni machache kwasababu ni upgrade ndogo kutoka S24 series. Samsung pia walituonesha Galaxy S25 Slim aka S25 Edge ambayo itazinduliwa hivi karibuni...
  19. Ritz

    Yemen itaachia meli ya Israel Galaxy Leader pamoja na wafanyakazi wake baada ya Hamas kuwaombea.

    Wanaukumbi. ⚡️🇾🇪BREAKING: Yemen itaachia meli ya Israel Galaxy Leader. Katika taarifa ya Ansarallah "Houthis" VP ya vyombo vya habari: “Kwa ombi la ndugu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hamas na kupitia kwa ndugu zetu katika Usultani wa Oman, wafanyakazi wa meli ya Israel, ambao...
  20. Kyatile

    Ipi simu bora kati ya iphone 12 pro na Samsung Galaxy A35 mwaka huu 2025?

    Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata. Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na kweli bado ina vitu kadhaa vinavyovutia ila sikushawishika kuinunua hiyo pamoja na kuwa na bei sawa...
Back
Top Bottom