fursa

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara Bukoba mtaji million 5

    Habari Wana JF Naomba kwa mtuu anae ifahamu Bukoba anipe abc za fursa za kibiashara Nina mtaji wa million 5 nanimgeni katika mkoa huo 🙏
  2. JamiiForums Tanzania David Kafulila: Maamuzi ya Rais Donald Trump kusitisha Misaada ni fursa kwa Afrika

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta binafsi (PPPC), David Kafulila amesema kitendo cha Rais wa Marekani, Donald Trump kuja na sera za kusitisha baadhi ya misaada kwa nchi za Afrika, kimefungua fursa mpya kwa Tanzania na kwamba serikali iko mguu sawa kuzitumia fursa hizo...
  3. JamiiForums Tanzania Wahitimu msing'ang'anie kuomba kazi bongo pekee hata kama uridhiki na ajira uliyonayo muda haurudi nyuma fursa popote

    Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
  4. JamiiForums Tanzania Fursa/ kazi watu wanapiga pesa ndefu na hazijastukiwa na wengi

    Binafsi me ni msomi na Kwa Sasa nimejiajiri katika kilimo. Kama kawaida kilimo Kuna kipindi tunapata Kuna kipindi hali inakuwa mbaya mno Kuna fursa au taaluma zinalipa Kwa vijana, Ile kijana kusomea kupasua miamba, sijui doctor wa ubongo, sijui ualimu wa physics umalize ukose kazi au ulipwe...
  5. JamiiForums Tanzania Sehemu zenye fursa nyingi zaidi Tanzania.

    Tanzania ina maeneo mengi yenye shughuli nyingi za kiuchumi na fursa za biashara. Hapa chini ni orodha ya maeneo 13, yenye fursa nyingi za kiuchumi: 1. Dar es Salaam: Jiji kuu la kibiashara nchini, lenye bandari kubwa inayohudumia nchi nzima na majirani. Shughuli za kibiashara na viwanda ni...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya

    Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), katika mwendelezo wa ziara yake nchini Hungary, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. György Hölvényi, Mbunge wa Bunge la...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Fursa katika frem ya biashara

    biashara nyingi zinahitaji frem..sio zote ila nyingi....na sio frem tu...ni frem iliyo location muhimu..sio iliyojificha ficha... kuna frem inapangishwa SIFA ZA HII FREM **frem iko barabarani, main road kabisa **frem ni kubwa sana pana na imeingia ndani **frem ina ubaraza mkubwa sana kiasi...
  8. JamiiForums Tanzania Fursa Zimelala Wapi?

    Nchi yangu Tanzania imejaa fursa nyingi ambazo bado hazijachunguzwa kikamilifu. Kutokana na rasilimali tulizonazo, kuna maeneo mengi ambapo fursa zinaweza kupatikana, kutoka kwa kilimo, nishati mbadala, teknolojia, na utalii. Lakini, fursa hizi zipo wapi na tunawezaje kuzichangamkia ili kukuza...
  9. JamiiForums Tanzania RC Makonda Ahimiza Uwekezaji wa Viwanda Arusha, Kuongeza Fursa za Ajira kwa Vijana

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) akihimiza suala la Ujenzi wa viwanda na ufufuaji wa Viwanda vilivyokufa Mkoani Arusha kama sehemu ya Mkakati wa kukuza dhamira njema ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kama mtanzania napataje fursa ya kwenda kufundisha nchi kama Shelisheli, Kanada, Norway au Kenya?

    Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana Ahsanteni
  11. G

    JamiiForums Tanzania UTALII WA KILIMO: Hiki ni kitu nilichokishuhudia wakati natafuta fursa za Kilimo Mkoa wa Iringa

    Habari za jioni wana JF. Katika kutafuta fursa za kimaisha baada ya kustaafishwa rasmi na Trump 😃😄😁😀. Niliwasiliana na jamaa yangu mmoja ambaye naye amestaafishwa na Trump ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye shirika moja la Kilimo huko Iringa. Jamaa alinieleza fursa za Kilimo kwenye Kulima...
  12. JamiiForums Tanzania Waliowahi hizi fursa miaka ya 2000 hadi 2010 walijetengenezea pesa sana

    1: Kutoa virus kwenye computer 2: Usambazaji wa Vifaa vya solar 3: Internet cafes 4: Uzaaji wa vocha jumla 5: Kusomea na kufahamu lugha nyingin (eng, frnc, chinese,etc)
  13. S

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara Morogoro Mjini vs Ifakara Mjini

    Naomba kuuliza kati ya Morogoro Mjini na Ifakara wapi kuna fursa nyingi za biashara.?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Jamaa kaamua kujipa raha Mwenyewe. Kaigeuza Changamoto kuwa Fursa

  15. C

    JamiiForums Tanzania Fursa Trainee Zanzibar

    Habari ndugu zangu, naomba kujua kama humu ndani Kuna mtu anafanya kazi au unajuana na mfanyakazi wa MICHAMVI SUNSET BAY HOTEL. Kama yupo namba tuwasiliane DM maana nahitaji kupata fursa ya trainee pale, maana nilienda mwenyewe, walinzi wakanirudisha wananiambia hamna nafasi, wakati watu...
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye uelewa na hii fursa nasikia mwisho Feb 28 mwezi huu watu wanakuwa matrilionea

    Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija. Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu...
  17. JamiiForums Tanzania Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  18. JamiiForums Tanzania Fursa zilizopo DR Congo

    Watu wengi wanaokwenda kuwekeza DRC Congo kutoka Tanzania hurudi wakiwa na utajiri mkubwa. Je, ni biashara gani hasa wanazofanya huko zinazowaletea mafanikio haya?
  19. JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara ya ARV (za kupima/reja reja)

    Ikiwa ruzuku ya ununuzi wa ARV itakata basi fursa yaja kwa wajasiriamali kutembea na beat na kuanza kulangua ARV za kupima
  20. JamiiForums Tanzania NAFASI YA AJIRA: Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…