UDOM imeongeza Programu 5 mpya za Shahada za Awali:
✅ Bachelor of Science in Medical Laboratory Sciences (BSc-MLS)
✅ Bachelor of Business with Education (BBE)
✅ Bachelor of Counselling Psychology (BCP)
✅ Bachelor of Science in Crop Production and Technology (BSc-CPT)
✅ Bachelor of Science in...
Katika hatua inayoweza kubadilisha kabisa mwonekano wa hisa za NMB kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Bodi ya Wakurugenzi wa NMB Bank Plc imependekeza mgawanyo wa hisa (Share Split) wa uwiano wa 1:10, ambapo hisa moja ya kawaida itagawanywa kuwa hisa 10 za kawaida.
Pendekezo hilo...
Sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano Tanzania inakua kwa kasi ya ajabu. Uwekezaji wa Kirusi katika miundombinu ya kidijitali, setilaiti na mawasiliano unaweza kusaidia Tanzania kuharakisha mabadiliko yake ya kidijitali. Hii inafungua fursa mpya za biashara ya kidijitali kati ya nchi hizi...
Kumeibuka chapisho la tangazo linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, likiwa na kipande cha video kinachomuonesha Abubakari Bakhresa akidai kuwa kampuni yake ya Azam inatoa fedha kwa Watanzania kuanzia TSh 4,000,000 hadi 6,500,000, huku usajili ukidaiwa kufanyika ndani ya...
Kwa muda mrefu, nchi za Afrika zimekuwa zikijiuliza: nani hasa atakayefungua milango ya soko na kutimiza ahadi zake? Hivi karibuni, mabadiliko makubwa ya sera ya China yametoa jibu la waziwazi.
Katika barua ya pongezi kwa mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika mwezi huu, Rais wa China Xi Jinping...
Wee acha tu! Siku hizi kila kijana yuko kwenye mission ya “kujitengenezea maisha” lakini pia hataki kukosa soft life. Unakuta mtu analipwa mshahara wa kawaida, lakini weekend unamkuta kwenye lounge anakula bata, kisha Jumatatu anarudi kwenye group la WhatsApp kuomba loan. Sasa swali linabaki: Ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.