freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aliyewakamata akina Mbowe ameturudisha nyuma miaka 3

    Serikali ya CCM tuliipa nchi yetu tangu 1961 tulipopata Uhuru. Tumewapa Kodi na rasilimali zetu zote ili watupatie huduma kwa miaka yote hiyo. Bila shaka wamefanya mengi yanayoonekana kwa macho ya nyama na yarohoni. Wana hofu gani inayosababisha kuwaogopa na kuwakamata akina Mbowe? Tanzania...
  2. JamiiForums Tanzania Oscar Oscar: Kwanini Polisi hawajawahi kukamata viongozi wa CCM? Je, hawakosei?

    Jumapili hii taarifa za kukamatwa kwa viongozi wa CHADEMA akiwepo Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, Makamu mwenyekiti Tundu Lissu na viongozi wengine zilitangazwa kupitia vyombo mbalimbali vya habari.Taarifa rasmi ya msemaji wa CHADEMA ilieleza pia. Hii Siyo Mara ya kwanza, kwa viongozi Hawa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akimuita Mbowe na uongozi wake kufanya mazungumzo ya masaibu yaliyowapata utamshauri vipi Mbowe?

    Swali ili limetokana na lawama ambazo watu wamekuwa wakizitoa kwa Freeman Mbowe kuwa kwanini alikwenda kwenye maridhiano na kwanini alipotoka jela alikubali kwenda Ikulu kwa Rais Samia. Kila mmoja ametoa mawazo yake na walio wengi bila sababu (reason). Sasa kwa hili la kuwaweka jela/mahabusu...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru baadhi yao kwa dhamana. Pia limesema ambao hawakuachiwa ni wale walioshindwa kukidhi masharti ya dhamana au kuwa na makosa zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Wanachama na Viongozi wa CHADEMA waliokamatwa hadi sasa ni 427

    https://www.youtube.com/live/Lw1Orezvek4 Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), John Mrema amedai kuwa mchakato wa kuwakamata Wanachana na Viongozi wa Chama hicho unaendelea. Akizungumza na JamiiForums amesema “Hadi kufikia leo Asubuhi...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe

    Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu umeongozwa na RPC wa Mbeya. ======================== Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe atoa tamko. Alaani kukamatwa kwa viongozi na vijana wa CHADEMA

    "Tunalaani vikali Jeshi la Polisi kukamata Viongozi wetu Wakuu wa Chama ikiwemo Viongozi wa Baraza la Vijana wa Chadema, BAVICHA. Aidha, tunalaani mkakati wa Msajili wa Vyama vya Siasa kwa kushirikiana na Polisi kuzuia kongamano la Bavicha katika kuazimisha siku ya vijana duniani hapo kesho...
  8. JamiiForums Tanzania Imebainika kuzuia Kongomano la Vijana wa CHADEMA Mbeya ni kuzuia Mh Mbowe asijibu hoja feki za Msigwa

    TAYARI imebainika, woga wao ni kuzuia Mhe. Mbowe asitumie jukwaa rasmi ili kuulezea ulimwengu uhuni na wepesi wa hoja za mwana CCM Msigwa. CCM wanatumia Polisi na Msajili ili kumlinda Msigwa, Yaani CCM wanatangaza vita kisha wanakufunga mikono ili usijibu mapigo. Kama mnajiamini Sana na huyo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Mbowe siyo Msakata Rhumba maarufu ndio sababu hadi sasa bado yuko Jukwaani japo muda umeisha!

    Mchungaji Msigwa amesoma Adui Namba Moja wa Demokrasia hapa Nchini ni Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Msigwa amesema kuna msemo unaosema "Msakata Rhumba maarufu anajua muda wa kuondoka Jukwaani" kwa bahati mbaya Mbowe amekaa muda mrefu na hana mpango wowote wa kuondoka. Soma Pia: Peter...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yupo sahihi, tunapinga umungu mtu ndani ya vyama vyetu sio CHADEMA tu bali hata CCM

    TUNDU LISU YUPO SAHIHI, TUNAPINGA UMUNGU MTU NDÀNI YA VYAMA VYETU SIÔ CHADEMA TUU BALI HATA CCM. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu aina ya LISSU wàpo vyama vyote sio CHADEMA tuu, wàpo Mpaka CCM na vyama vingine vidogo. Ndàni ya nchi yetu kûna tatizo la umungu Mtu, umungu taasisi, Jambo...
  11. JamiiForums Tanzania Msigwa: Mbowe ananiogopa, hapokei simu zangu

    Mwenyekiti amekuwa na hulka ya tofauti hivi karibuni, imepita takribani miezi sita hatuwasiliani na siyo mimi tu, sana sana tunaonana kwenye vikao vya kamati wakati mwingine akipigiwa simu hapokei hawasiliani na viongozi wenzake'' ---- Mbòwe acha uoga, pokea simu za Msigwa.
  12. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe Ahudhuria Ibada ya Mazishi ya Mama yake Halima Mdee

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe leo 05/08/2024 Amehudhuria ibada ya kuaga mwili wa Mama Theresia, ambaye ni Mama Mzazi wa Halima Mdee, aliyewahi kuwa mbunge wa Chadema kabla ya kuvuliwa uanachama kwa makosa ya Aibu ya Usaliti. Kwa sasa Halima Mdee hana chama ila ni Mbunge wa viti maalum...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msigwa: Bwana Mkubwa ana historia ya kuondoa wanaomfahamu. Orodha ilitajwa kuwa lazima Msigwa, Lissu, Lema na Heche waondoke

    Akihojiwa na Mwanahalisi Digital, aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na baadaye kuhamia CCM, Mchungaji Peter Msigwa amesema kuwa kuna orodha kabisa imewekwa ya Watu wa kuondoka ambapo yupo Msigwa, Lissu, Lema na Heche kwa sababu ni watu wana uelewa na wanahoji Amesema Wakati...
  14. JamiiForums Tanzania Lissu anataka kugombea Urais na Mbowe inasemekana anataka kugombea Uenyekiti na Urais. Hawa watu dola iingilie kati

    Ndugu waheshimiwa mabibi na bwana Mimi Kama Kikwava nimeona yafuatayo kwenye siasa za chadema 1. Kuna mazingira ya kimgogolo Kati ya mwenyekiti wa chadema na makam wake ambapo wao wenyewe hawataki kuyaweka wazi. Tunaiomba serikali iwasuluhishe hawa watu wanakoenda siyo kwenyewe Mfano ifuatayo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe hastahili huduma ya Balozi wa mtaa anaoishi

    Mzee Mbowe amekuwa akizunguka na Chopa huku akifurumusha matusi hadi kwa marehemu. Juzi alipokuwa Arusha aliwahadaa wale vijana wa huko kuwa Rais wa awamu ya tano aliwatesa wachagga wakati wa utawala wake. Naomba popote anapoishi asipewe huduma yoyote ile toka kwa viongozi wetu wa shina...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Mchungaji Msigwa kaikimbia CHADEMA kwa ufukara wake au amevutiwa na Demokrasia na kutokuwepo kwa Umungu mtu ndani ya CCM?

    Shalom, Kazi ya uzushi ya kubweka, kubwaka na kubwata vyataka ule ushibe Nimewaza kuhusu kauli za mchungaji Msigwa hasa juu ya tuhuma za Mbowe kuwa fisadi na Chadema kuwa Mali binafsi ya Mbowe. Tangu kitambo Chadema ni Mali ya Mzee Mtei ambayo sasa iko chini ya Mbowe na familia pamoja na...
  17. JamiiForums Tanzania Kule Kenya Gen Z wanadili na Wakusanya Kodi wa Kenya, Tanzania tunadili na Mbowe ambaye hakusanyi kodi

    Gen z wanadili na Ruto ndio anaye kusanya kodi na kuzitumia vibaya, Raila wala Kalonzo hawakusanyi Kodi, Raiala yuko enzi za Moi na hakusanyi kodi za Kenya waka hapangi bajeti ya Kenya. Tanzania SAMIA ndio anaye kusanya kodi na tozo na kuzitumia kwa anasa huyu wajinga hawamuini. Wanaoambana...
  18. JamiiForums Tanzania Mbowe must go, hatukutaki!

    Hivi huyu mzee tangia ujanani mwake mpaka sasa hivi amezeeka amekuwa aking'ang'ania hiyo nafasi ya Uenyekiti ili aendelee kupiga mabilioni ya ruzuku. Sasa leo watu wamempa makavu kwamba asepe, yaani mtu kwenye chama tu hutaki kuachia madaraka ukipewa nchi si yatakuwa ya Mugabe. Aisee wewe...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa: CHADEMA idhibitiwe kabla haijaleta vurugu nchini

    Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye amejiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) hivi karibuni Mchungaji Peter Msigwa amemshauri Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji (mstf) Francis Mutungi kuhakikisha anafuatilia kwa karibu vyama vya siasa vya upinzani nchini ili...
  20. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kwenye mahoteli yetu wameajiriwa Wakenya

    "Mna tabia ya kufikiri Wakenya wana akili sana, Wakenya hawana akili yoyote ya maana kuliko Watanzania ila tofauti yao na sisi wale walifundishwa Kiingereza tangu chekechea kwahiyo ukienda kwenye mabenki yetu, mahoteli ya mbuga za wanyama huko wameajiri Wakenya kwa sababu waliandaliwa kushindana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…