fountain gate

Westfield Fountain Gate is a super-regional shopping centre located in Narre Warren in the south-eastern suburbs of Melbourne, Australia. It is the second largest shopping centre in Australia by floor area. However, it is the largest shopping centre in Australia with all 3 discount department stores, Big W, Target and Kmart.

View More On Wikipedia.org
  1. Kichuguu

    Nimepata hasara kubwa sana kutokana na mechi ya Simba dhidi ya Fountain Gate

    Niliweka mkeka mkubwa sana kuwa Simba itshinda kwa magoli zaidi ya matano hasa kwa vile nilijuwa usajiri wa fountain gate una walakini Dah nimepoteza kila kitu naomba michango yenu kunisaidia angalu kupata ugali wa kesho
  2. A

    KERO Watumishi wa Fountain Gate tuna hali mbaya kiuchumi, Serikali itusaidie tupate stahiki zetu

    Mimi ni mdau wa elimu, naomba ujumbe huu ufike kwenye mamlaka za Juu Serikalini, lengo sio kuchafua taasisi yetu bali ni kutusaidia sisi Watanzania ambao tuna hali ngumu na hatuna mtu wa kutusaidia. Siwezi kuharibu taasisi yangu wakati najua ndio sehemu ambayo Napata ugali wangu na familia...
  3. kipara kipya

    Tff mnapuuzia bila kufanya uchunguzi kocha matano wa fountain gate amewafungulia njia yanga wanapanga matokeo....

    Hatua zichukuliwe za haraka kuliokoa soka letu..jana kocha wa fountain gate kaweka kila kitu wazi kuhusu kipa wao vipi kuhusu marefa nao wenye kufumbia macho haya...ligi inapoteza heshima leo kazungumza hapa kesho anakwenda kuhojiwa bbc bado kocha atarudia kauli ile ile bila kupepesa kuhusu...
  4. Kipenzi Changu

    Kocha Fountain Gate: Kipa wetu kauza mechi

    Kocha huyo amesema golikipa ndiyo amewatoa mchezoni mapema maana magoli aliyofungwa ni ya kupeana tu.
  5. ngara23

    Wacha nimtetee kidogo goal keeper wa Fountain Gate John Nobo

    Kuna wachambuzi na baadhi ya wajinga ikiwa ni pamoja na coach wake Matano aliyemtupia lawama baada ya kufungwa goal 2 Goal keeper Nobo amefanya saves 4 kubwa na kuinusuru timu yake ila analaumiwa Kwa makosa ambayo magoli kipa hufanya Zile goli ni kupongeza tu washambuliaji wa Yanga Mzize na...
  6. kiwatengu

    FT: Fountain Gates FC 0-4 Young Africans SC | NBC Premier league | Kwaraa Stadium | 21-04-2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Fountain Gate FC🆚Young Africans SC 📆 21.04.2025 🏟 Tanzanite Kwaraa 🕖 10:00 Jioni #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko KIKOSI CHA FGFC kinachoanza. Kikosi cha Yanga Kinachoanza. Updates Kipindi cha Kwanza. 00' Mpira umeanza Yanga ndio wameanza mpira uko...
  7. M

    Huenda bahasha ndizo zinawapa Simba ushindi na siyo kocha, mechi ya Simba na Fountain Gate imenipa wasi wasi juu ya hilo

    Hii ni aibu kwa marefarii wa nchi hii unaruhusu goli la offside dhidi ya fountain gate unaita Mpira kati,,najiuliza endapo fountain gate ndio wangefunga goli la namna Ile je refa angeita kati? Lakini waswahili usema ukiua kwa upanga na wewe utakufa kwa upanga yule yule aliyekuwa ameotea akatoa...
  8. Powder

    Naona Kocha wa Fountain Gate kaamua kuwatafutia Simba Hili.

    Kwa kuwaambia Wachezaji wake kipindi Cha pili wafunguke mwanzo mwisho.
  9. Tembosa

    Full Time: Fountain Gates FC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | Kwaraa Stadium, Babati | 06-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. VIKOSI VINAVYOANZA LEO. p UPDATES..... 4:15pm Kandanda imeanza tayari, Game inapigwa zazuri kabisa. DK 2 Simba wanafanya move nzuri hapa, inababatizwa na Mchezaji wa FG inakuwa warusha. Unarushwa hauleti madhara yoyote 0-0 DK 4 Mpira unaendelea vizuri kabisa hapa. Simba...
  10. Waufukweni

    Kocha wa Fountain Gate: Mimi ni shabiki wa Simba, asema mechi ya leo ni kuonana kwa Simba na Simba

    Kuelekea mchezo kati ya Fountain Gate Fc dhidi ya Simba Sc, Kocha mkuu wa klabu ya Fontain Gate Fc, Robert Matano ameweka wazi kuwa yeye kwao Kenya anaitwa Simba na anakwenda kukutana na mnyama mwenzie. "Mimi ni mpenzi wa Simba toka miaka mingi toka nacheza wakati huo marafiki zangu wanacheza...
  11. kipara kipya

    Fountain gate dhidi ya simba mechi nzuri yenye kuvutia upinzani wa soka la bongo hii haina uhusianao na singida?

    JIoni ya leo tunashuhudia mechi halisi mpira halisi na matokeo halisi yaani fair play yasiyo na chembe ya mashaka fountain gate dhidi ya simba ni mechi ya kukamiwa simba ni aina ya mechi simba anazo zipenda huwapa mazoezi na ukomavu wachezaji wao si mechi za bahasha si ajabu kukuta kibu d au...
  12. kalisheshe

    Machache yaliyoonekana Yanga ikiibuka na ushindi mnono dhidi ya Fountain Gate

    1. Yanga imecheza vizuri mno, hii ni salamu tosha kuelekea mechi yao na Tp mazembe. 2. Nadhani fountain gate ndio timu yenye safu mbovu kabisa ya ulinzi, wamechagua kupishana na Yanga wakaadhibiwa. 3. Pacome zouzou amestahili tuzo ya mchezaji bora wa mchezo, ule uwezo wake uliopotea mechi...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    Refa apuyanga, awapa tuta jepesi mno Prison wakicheza dhidi ya Fountain Gate leo

    Video clip iko insta kwenye ukurasa wa AzamTv Refarii katoa penati rahisi sana na ambayo hata watoto wa Umiseta hawawezi kupewa. Itafute hiyo clip, wakati Tanzania Prisons wakipewa penati iliyopelekea kupata goli la kusawazisha. Na ikapelekea Tanzania Prisons kupata ushindi wake wa kwanza...
  14. M

    Suala la Kagoma Fountain Gate mlishajichanganya pakubwa bora mkae kimya Yanga ashughulike na mhalifu wake

    Nimemsikiliza msemaji wa fountain gate vizuri akisema yanga walikiuka makubaliano kwa kuchelewesha fedha walizokubaliana juu ya mauzo ya kagoma ivyo mkataba ukawa umevunjika na wakawauzia Simba mchezaji! Hiki ni kichekesho kingine kwakuwa mkataba wa mchezaji aliousaini na klabu husika auwezi...
  15. L

    Mambo 15 niliyoyaona Simba ikiiangamiza Fountain Gate leo

    1. Kipa wa Simba ana utulivu sana ni moja ya makipa bora kabisa ambao Simba msimu huu tunajivunia 2.Abdulrazak Hamza nimewaona akina Costa, Deo Njohole, Nico Bambaga wakati fulani akicheza namba nne, hata marehemu Method Mogella, Juma Limonga, Fikiri Magoso, Godwin Aswile, Mustafa Hoza, Juma...
  16. Majok majok

    Simba kuweni makini na hiyo timu yenu, wekeni akiba ya maneno, ushindi dhidi ya Tabora, Singida fountain gate usiwafanye mkaona mko vizuri

    Nimeona mashabiki na wanachama wa Simba wakifurahia kupitia kiasi ushindi wao wa mechi 2 dhidi ya wagonjwa TABORA united na singida FOUNTAIN GATE lakini Kuna wengine wanaoujua mpira Wala awakufurahi Bali wanasema Simba bado aijaanza ligi kulingana na aina ya timu walizokutana nazo kuwa ni dhaifu...
  17. comrade_kipepe

    Tetesi: Msemaji wa Vital' O Arsene bucuti anukia usemaji Singida Fountain Gate

    🚨 Transfer News Live:Arsene Bucuti To Fountain Gate🔜 Klabu ya Fountain Gate,iko kwenye mazungumzo ya mwisho kukamilisha usajili wa msemaji wa Vital’O arsene Bucuti. Singida wamempa ofa ya mkataba wa mika miwili wenye $2500 (tsh 6,721,237) kama Sign-on fee) mshahara wa $1500 (tsh 4,032,742)...
  18. Blasio Kachuchu

    Kampuni ya Mati Super Brands Limited yadhamini timu ya Fountain Gate

    Na Ferdinand Shayo, Manyara Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi iliyopo mjini Babati Mkoani Manyara imedhamini timu ya mpira wa miguu inayoshiriki ligi kuu ya soka tanzania bara ya Fountain Gate kupitia kinywaji chake kipya cha Tanzanite Royal Gin ambapo timu...
  19. Hussein Massanza

    Sikufukuzwa kazi Singida Fountain Gate, nilivunja mkataba kwa makubaliano

    Watu wa Soka, Umofia kwenu. Nimekuwa nikipokea SMS nyingi na maswali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu nini kimetokea kati yangu na Klabu ya Singida Fountain Gate ambayo nilikuwa naitumikia kama Msemaji na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano. Kuweka rekodi sawa tu, sijafukuzwa kazi wala...
  20. uran

    FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

    Muda ni Saa 2:15 Usiku. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Kikosi cha Singida FG Kinachoanza #nguvumoja#. Updates... Dakika ya 5' Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama. Dakika ya 8' Penati wanapata Simba. Anaipiga Saidoo Goaaaaaaaaalllll 2-0. Dakika ya 34' Fredddd...
Back
Top Bottom