form four

In mathematics, a quadratic form is a polynomial with terms all of degree two ("form" is another name for a homogeneous polynomial). For example,




4

x

2


+
2
x
y

3

y

2




{\displaystyle 4x^{2}+2xy-3y^{2}}
is a quadratic form in the variables x and y. The coefficients usually belong to a fixed field K, such as the real or complex numbers, and one speaks of a quadratic form over K. If



K
=

R



{\displaystyle K=\mathbb {R} }
, and the quadratic form takes zero only when all variables are simultaneously zero, then it is a definite quadratic form, otherwise it is an isotropic quadratic form.
Quadratic forms occupy a central place in various branches of mathematics, including number theory, linear algebra, group theory (orthogonal group), differential geometry (Riemannian metric, second fundamental form), differential topology (intersection forms of four-manifolds), and Lie theory (the Killing form).
Quadratic forms are not to be confused with a quadratic equation, which has only one variable and includes terms of degree two or less. A quadratic form is one case of the more general concept of homogeneous polynomials.

View More On Wikipedia.org
  1. Just Pray

    Sikiliza huyu mzazi, mtoto wake alifukuzwa shule ili aende VETA kisa uwezo mdogo, mzazi akakaza form four akapata zero

    'Kuna Mwalimu wa shule ya sekondari nilimpeleka mwanangu kidato cha kwanza siku chache baadae mwanangu akarudi na fomu ya veta nilipomuuliza mwalimu akasema mwanangu inatakiwa aende veta sababu anauwezo mdogo' amesema mzazi
  2. October 2pm

    Kwamba jeshi likiwaunga waandamanaji ndio mishahara yao au cheo kitapanda? Wee form four utabaki na cheo hikoko abadan

    Halula! Yadunia yanachosha.. wewe darasa la saba, yule mwingine forum four faliya. Wadhani kuunga maandamano ndio mishahara utaongezwa sio! Hata ungekuja utawala wa Mansa au yule sultan bado ungepokea kidogo pengine kufurushwa kabisa. Na bado!
  3. 05CUBA

    GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

    ( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee Salaam wana jamvi. Mara trekta milioni 10. Mara kusikiliza kero kidigitali. Mara nishati Safi ya kupikia. Tena mitaa ya viwanda sijui...
  4. SankaraBoukaka

    Katiba liwe somo lifundishwe kwa Wanafunzi wa Sekondari haswa kidato cha nne

    Katiba ni nyaraka kuu ya taifa lolote. Ni dira, mwongozo na msingi wa maisha ya wananchi wake. Inabeba kanuni, sheria, haki na wajibu wa kila raia pamoja na viongozi wanaoongoza. Kwa maana hiyo, katiba si jambo la wanasheria pekee, bali ni chombo cha kila mwananchi. Hata hivyo, changamoto kubwa...
  5. Dennis Robert Shughuru

    Mwanafunzi anayeanza form one mpaka form four anatakiwa afundishwe sheria za barabarani na udereva wa magari mbalimbali

    Mwanafunzi anapoanza form one anatakiwa ajifunze udereva na sheria za barabarani ni ajabu udereva haufundishwi mashuleni Kuanzia form one mpaka four Mwanafunzi anatakiwa asomee udereva wa Magari madogo Magari makubwa Fork-lift Grader Telescopic handler Magari yanatotumika kwenye kilimo...
  6. Mr Beach Boy

    Nimemaliza chuo nimeingia kwenye bodaboda, nimekutana na yule aliishia form four huku huku

    Kwaiyo Mimi na yule jamaa alieishia form four ni sawa ndio maana wote tumekuwa mabodaboda Depression
  7. DR HAYA LAND

    Bora Mtu umalize form four na miaka 30 kama yule jamaa ambaye hazeeki kuliko kununua cheti kwakuwa utakuwa na cheti kizuri ila kichwani hamna kitu.

    Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
  8. Mrndumbarojl

    After Form Four & Form Six, Foreign Admissions and Career Guidance

    🎓 Career Mastery Hub – Your Trusted Partner for Global Success At Career Mastery Hub, we do more than just handle paperwork. We provide expert career counseling and foreign admissions guidance tailored to your unique goals and aspirations. Whether you’re a student aiming for international...
  9. G

    Nina swali kwa Wanaomaliza form four na kuchaguliwa au kwenda vyuo vya kati

    Je, hawa wanafunzi wanaomaliza form four na kwenda vyuo vya kati, huwa wako entitled kupata mikopo kama vyuo vya elimu ya juu (HESLB)? Au ni mzazi anaendelea kupambana kama sekondari.
  10. Munch wa Annabelle

    Utatiti: Waamuzi wengi karibia asilimia 75 ni form four failure na division four ya mwisho hivo maamuz yao yanaakisi upeo mdogo wa kuchakata taarifa

    Kwa utafiti wangu mdogo kutoka vyanzo mbalimbali vinaonesha kuwa karibia asilimia 75 ya waamuzi ligi kuu ya NBC ni ngumbaru hvo hicho wanachokitoa ndo uwezo halisi ukiacha mambo ya maelekezo kwenye baadhi ya mechi. Ukienda EPL la Liga Bundesliga na french Ligue 1 Kuna waamuzi Wana Hadi PhD, lkn...
  11. Carlos The Jackal

    Mbunge Tauhidi, alowatukana Watanzania KENGE , kumbe ana Elimu ya kuunga unga sana, kafeli form four mara Kadhaa

    Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!. Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '. Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi. Kama MTU kafeli form four mara...
  12. Dennis Robert Shughuru

    Wanafunzi waliomaliza form four watakuwa na uwezo wa kutumia excel kisawa sawa, graphics design na programming language zisizopungua 8

    Kwa wale watakaosoma shule za serikali moja ya mambo ambayo ntayatimiza kwa sababu yana-manufaa makubwa sana kwa nchi
  13. Dennis Robert Shughuru

    Wanafunzi waliofeli form four na kupata div 4 na Zero watapewa nafasi ya kwenda VETA

    Nikiwa Rais wanafunzi wa form four waliopata div 4 na zero wataenda VETA kwa udhamini wa serikali, na watapata ujuzi ambao anagalau utawasaidia kwenye maisha yao Vyuo vya veta vitaboreshwa na kuwa vya kisasa na maabara za veta zitaboreshwa maradufu ili wahitimu wakitoka wawe compentent
  14. Dennis Robert Shughuru

    Syllabus ya shule za msingi za serikali na private inatakiwa iwe sawa na mtihani uwe mmoja kama ilivyo form four

    Nikiwa Rais shule zote ambazo zinafanya mitihani inayosimamiwa na baraza la mtihani necta kuanzia primary mtihani utakuwa ni wa lugha moja kama ni English wote ni English Sio sawa hata kidogo mtoto wa maskini anamaliza shule ya msingi hana msingi wa lugha ya kingereza ilihali watoto wa wenye...
  15. M

    Natamani kusoma HGE advance, nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o level

    Natamani kusoma HGE advance. Nimemaliza form four mwaka jana, ila sijasoma Economic o_level. Hivi itawezekana kuchaguliwa hii combination natamani?
  16. J

    Chuo gani cha VETA Arusha kiko vizuri na ada zao ni nafuu?

    Habarini wanaJF, nina mdogo wangu amemaliza form four mwaka jana na ameomba tumtafutie chuo bora cha VETA akasomee kozi ndefu ya umeme, ana pass ya C 2 na D 4 maana anapenda sana umeme so nilikuwa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie kimawazo ni chuo gani cha veta bora ARUSHA. Au hata sehemu...
  17. hon daniel killion

    Habarini wadau, je inawezekana kijana ambaye amemaliza form four 2018 na kutaka kusoma diploma nyingine ya upande wa afya mwaka 2025

    Habari zenu humu ndani, Nauliza mfano mtu kamaliza form four 2018 na akaend diploma akamaliza 2022, je anaweza apply mwaka 2025 kusoma diploma ya afya mfano MUHAS na kupata au achague tu private ingawa qualifications anazo.
  18. D

    Zamani haikuwa rahisi kupata division three; Kwanini sahivi imekuwa rahisi sana?

    Kusema ukweli kuna kitu hakipo sawa kwa sasa! Miaka 20 iliyopita division 3 kuipata ilikuwa kipengele sana, Hata waliopata walikuwa nauwezo flani hivi kiakili! Sasa hivi siyo ajabu mtu ambae hata hajui what is biology anapata. Division 3, Mtoto ambae hata simultaneously equation hajui lakini...
  19. Z

    Matokeo ya form four yanatoka lini?

    Humu kuna watu wanafanya kazi baraza la mitihani. Matokeo yanatoka lini?
  20. Fufua Tumaini Jipya

    Binti anatafuta kazi , Elimu yake form four na anajua kutumia computer vizuri sana.

    Habari ya uzima. Yupo binti anatafuta kazi , Elimu yake kidato cha nne, Ila anajua kutumia computer vizuri. Kazi yoyote anaweza kufanya mfano dukani , kwenye taasisi Kama office attendant, n.k Angependa alipwe 200-250K Sifa zake. Umri 24 Mchapaka Kazi Anafundishika. Mtu wa kujituma na kutoa...
Back
Top Bottom