fomu

Fotomuseum Antwerp, also known as FOMU, is a museum of photography in Antwerp, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. LGE2024 Tundu Lissu: Kachukueni fomu mapema, msisubiri tarehe 1 itakula kwenu "Tuwe Wajeuri, Watu Jeuri Watashinda Uchaguzi”

    Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Lissu amewataka Watia nia...
  2. B

    PreGE2025 Wafuasi Chadema wamsindikiza Meya Mstaafu Boniface Jacob kurudisha fomu ya uenyekiti

    05 September 2024 Dar es Salaam, Tanzania Boniface Jacob arudisha fomu akisindikizwa na mamia ya wanachama wa CHADEMA leo hii jijini Dar es Salaam. Jeshi la polisi lapongezwa kwa kutoa ulinzi katika maandamano hayo. Hali ilivyo mitaani Ubungo, Kibamba, Manzese hadi Kinondoni maandamano ya...
  3. T

    Aliimba " Nina imani na Lowasaaa" T2020 nimaimba "Nina imani na Dr. Nchimbi ku-print zaidi ya fomu moja 2025"

    Hakuna namna kwa hali ilivyo fomu zaidi ya moja haikwepeke kama kweli CCM watanganyika wanatupenda watanganyika wenzao. Mambo ni magumu sana huku bara. Ajira kiduchu, Hata Kinana anajua. Huduma za jamii kiduchu, Hata Mch. Msigwa anajua Mikopo mabenki riba juu sana, Hata Dr. Mwigulu...
  4. Chikulupi Kasaka Achukua Fomu ya Kugomea Ubunge, Bunge la Afrika Mashariki (EALA)

    Chikulupi Njelu Kasaka ambaye ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amechukua fomu ya kugombea ubunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) tarehe 14.08.2024. Chikulupi Njelu Kasaka amechukua fomu katika Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa...
  5. M

    Msaada tutani kuhusu fomu ya mapunjo NSSF

    Habari Naomba kwa wenye uzoefu yeyote ambae kashawahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF anisaidie kunijuza kama kuna mzunguko wowote wa nenda rudi au hiyo fomu ya mapunjo haina mambo mengi Mana ile fomu ya madai kuna mambo ya kwenda mahakamani, kwa muajiri na bank kuchukua statement. Sasa nataka...
  6. T

    Kama kweli Samia ni muumini wa demokrasia aruhusu fomu zitolewe nyingi. Ili kujitofautisha na chadema.

    Ni ukweli usiopingika kuwa ccm imetengeneza udikteta wa kilkatili sana. Yaani inawalazimisha watu kutawaliwa kwa lazima na mtu ambaye hawana namna. Hata kama mna rirais la hovyohovyo maadamu tu halijamaliza miaka kumi hamuwezi kufurukuta, na ukizingatia kwamba katiba yetu na mifumo yetu...
  7. L

    PreGE2025 Wabunge mnasubiri nini kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais?

    Ndugu zangu watanzania, Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia alivyo miminia na kutiririsha Mamilioni ya pesa majimboni mwao kwa ajili ya miradi mbalimbali ya...
  8. Shara Amran Khamis achukua fomu kuwania nafasi ya Makamo Mwenyekiti Zanzibar ndani ya Chama cha ADC

    Aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) na kushika nafasi ya pili nyuma ya Mgombea wa CCM katika uchaguzi wa Jimbo la Kwahani Unguja (Zanzibar), Shara Amran Khamis, amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Makamo Mwenyekiti Zanzibar kupitia Chama cha ADC...
  9. Doyo Hassani Doyo achukua fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa Chama cha ADC

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Allience for Democratic Change (ADC), Doyo Hassan Doyo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho kumrithi Hamad Rashid ambaye amekiongoza kwa miaka 10 na kumaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba. Doyo amechukua fomu hiyo leo Juni 11, 2024 Makao makuu...
  10. L

    PreGE2025 Wananchi Wamchangia Mbunge Babu Tale Pesa Ya kuchukulia Fomu ya Ubunge Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwasogezeeni taarifa hii ya kuwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki linaloongozwa na Mheshimiwa Babu Tale yaani Khamisi TaleTale wameamua kwa umoja wao na kwa hiyari ya mioyo yao kumchangia Mbunge wao pesa ya kuchukulia Fomu ya Ubunge hapo mwakani...
  11. PreGE2025 Mwenyekiti CCM Taifa naomba uruhusu kuchapisha fomu nyingi za kugombea Urais ndani ya chama kukuza Demokrasia

    Nitofautiane na makada wenzangu kwenye swala Zima la desturi kuifanya sheria ndani ya chama! Hatuna Cha kuogopa Wala kupoteza kwenye mchakato wa ndani wa kumpata mgombea mpya hapo 2025, ninaamini katika kudra za mwenyezimungu kuhusu hatma Yako ya urais wa 2025 -2030 kuliko kulazimisha kama...
  12. R

    PreGE2025 Godbless Lema: Tundu Lisu alishaahidi kutokuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA, CCM acheni kujitekenya

    Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini amewataka CCM kuachana na kicheko cha kujitekenya badala yake wajikite kwenye hoja. Amesema propaganda za CCM kuhusu Ugomvi wa Lisu na Mbowe zipuuzwe na kuwataka kufahamu kwamba hii siyo Duniani ya kufundisha wakubwa kugombana. Lema amesema suala la...
  13. Shangwe la Msigwa akirejesha fomu Kanda ya Nyasa latikisa Mbeya

    Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka mitandaoni hivi sasa . Pichani ni umati wa wafuasi wa Chadema wakimsindikiza Mchungaji Msigwa akirejesha fomu ya kuomba tena Uenyekiti wa Kanda ya Nyasa . Ilibidi Jeshi la Polisi lifanye kazi ya ziada kupanga misululu ya wat
  14. J

    Jokate: Fomu ya urais ni moja tu

    "Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni...
  15. Joseph Mbilinyi arejesha Fomu ya kugombea Uenyekiti Kanda ya Nyasa, Asindikizwa na William Mungai

    Bwana Sugu ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , leo Amerejesha fomu ya kuomba uenyekiti wa Kanda ya Nyasa. Bilionea huyo amesindikizwa na Umati wa Matajiri wa Kanda hiyo kutoka Kyela, Mbeya yenyewe, Njombe na Iringa. Hali ilikuwa hivi .
  16. Pambalu na Polisi ana kwa ana wakati akichukua fomu ya kugombea Uenyekiti wa Kanda ya Victoria

    Polisi wamelazimika kufika zilipo ofisi za chadema mjini Bukoba baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa vijana Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Pambalu kwenda kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo akiwa na msafara wa boda boda. hata hivyo polisi walipofika katika eneo hilo walioneka na...
  17. Msaada kujaza fomu ya passport online

    Habari zenu wakuu ? Niko hapa najaza fomu ya kuomba Passport online. Nimefika hii hatua natakiwa nijaze dhumuni la safari na maelekezo yanasema ni lazima kujaza. Sina safari yoyote bali nahitaji tu kuwa na passport. Kwa wenye uzoefu natokaje hii hatua ? Nashukuruni sana kwa msaada wenu.
  18. PreGE2025 Makonda: Mbinguni walimchukulia fomu Rais Samia. Adai Mbowe anajua kama Samia ametumwa na Mungu

    Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu. ====================== For English Audience The 2025 political winds have already...
  19. R

    PreGE2025 Ni sahihi chama cha walimu Tanzania kutumia michango ya walimu kuwachukulia fomu wagombea? Mchakato wa kupitisha fedha hizi upo kisheria?

    Inapotoa toa fedha kwa jina la taasisi maana yake hizo ni fedha za taasisi. Kumeibuka kauli kila kona ya nchi kwamba chama cha waalimu Tanzania kimetoa fedha za fomu baadhi zikienda kwa Mhe. Rais na nyingine sasa zinasambazwa kwa wabunge. Walimu kwa mishahara yao ilivyo kila siku wanalalamika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…