foleni

  1. JamiiForums Foleni ya kuoga ya nyumba za kupanga

    Kwenye nyumba za kupanga moja hivi kuna mpangaji mmoja huwa anachukua mda mrefu kuoga, akiingia yeye lazima achukue dakika kam arobaini. Wapangaji wenzake wanachukia Sana maana inawabidi wasubiri mda mrefu atoke na wengi huchelewa asubuhi. Mama mwenye nyumba leo kamtolea uvivu kamwambia “wewe...
  2. JamiiForums Baada ya kukaa masaa matatu kwenye foleni, nauliza, hatuwezi kujenga flyover juu ya Mfugale bridge?

    Nimeona niulize hili baada ya kukaa kwenye foleni kwa takriban masaa matatu kutoka Bandarini hadi kuvuka Tazara.
  3. J

    JamiiForums Abiria wa treni Dar - Moshi walalamikia ukatishaji tiketi wadai foleni ni ndefu sana

    Abiria wa treni ya Dsm kwenda Moshi wamemuomba mkurugenzi wa TRC ndugu Kadogosa kuwaboreshea Huduma za ukataji tiketi kwani abiria ni wengi na foleni ni ndefu sana. Abiria hao wamedai kipindi hiki shule zimefungwa na wananchi wengine wanaenda nyumbani kula sikukuu za mwisho wa mwaka na treni...
  4. JamiiForums Kuna foleni ya kishenzi sana hapa Kawe round about!

    Nashindwa hata kuongea yani..
  5. JamiiForums Ondoa gari inayosababisha foleni

    Moja kati ya gari hizi 7 ndio inayosababisha foleni na ikitolewa basi foleni nzima itapotea. Je, ni gari namba ngapi ya kuitoa?
  6. JamiiForums Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni Kata ya Kigamboni, Mtaa wa Feri Wagombea wote wa upinzani Hawajateuliwa. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Kata ya Mabibo Mtaa wa Matokeo Wagombea wote wa Upinzani Hawajateuliwa. Jimbo la Ubungo, Kata ya Manzese: Mtaa Chakula Bora - Wagombea wote wa...
  7. JamiiForums Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Habari wana jamvi, Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…