flyover

Anna Flyover, also known as Gemini Flyover, is a dual-armed grade separator in the central business district of Chennai, India. Built in 1973 and dubbed one of the top-rated flyovers in the country, it is Asia's First Grade Separator, the first flyover in Chennai and the third Flyover in India, after the ones at Kemps Corner and Marine Drive in Mumbai. It was the longest flyover in the country when it was built. Its main purpose is to allow traffic movement on Mount Road—now renamed Anna Salai—near Nungambakkam High Road (Uthamar Gandhi Salai) to continue unhindered by the cross traffic. The presence of the Gemini Studios, which was demolished later, resulted in the flyover coming to be known as Gemini Flyover and the area being referred to as the Gemini Circle.
On two sides of the circle roundabout below the centre of the flyover are two identical statues of a man controlling a horse placed there to commemorate the banning of horse racing.
Anna Flyover has been beautified with other elements such as water fountains, landscaping of its 24,000 square feet (2,200 m2) traffic islands, cove lighting under the traffic movement area, restoration of the horse statue, a toilet for the police personnel, murals depicting social messages, and so forth.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    GE2025 Salum Mwalimu aahidi 'Flyovers' Tunduma

    Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameahidi kujenga barabara za juu (flyovers) katika mji wa Tunduma ili kupunguza msongamano wa malori katika eneo hilo la mpakani. Mwalimu alitoa ahadi hiyo leo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Tunduma, kabla ya kuelekea...
  2. JanguKamaJangu

    Dkt. Habiba: Ujenzi wa Flyover Mwanakwerekwe na Amani utagharimu Dola Bilioni 18, utaondoa usumbufu wa magari

    Video: Wasafi TV Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia kwa katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi, Dkt. Habiba Hassan Omar imesema miradi ya flyovers, daraja la Uzi pamoja barabara ya Paje Kitogani itarahisha shughuli za kijamii na kufungua fursa mpya za uchumi Zanzibar Dkt...
  3. Tabutupu

    Kwanini TANROADS wanajenga kituo cha mwendo kasi eneo la Flyover Mwenge?

    Nchi hii ni ya maajabu sana, ukipita pale mwenge junction, utakuta kuna kituo cha mqendokasi kila upande kinajengwa. Kwa utalaam wa ujenzi, unatakiwa kuondoa vitu kama stand au masoko karibu na junction. Imekuwaje tanroad wameamua kujenga vituo vya mqendo kadi mita chache kutoka junction...
  4. Just Pray

    Ajali, Magari matatu yagongana kwenye Flyover Ubungo

    Magari matatu yamegongana kwenye flyover ya Ubungo muda mfupi uliopita, na kusababisha taharuki kwa watumiaji wa barabara hiyo. Hadi sasa, hakuna taarifa za kifo zilizoripotiwa, ingawa uharibifu wa magari na msongamano mkubwa wa magari umetokea eneo hilo. Chanzo Cha ajali hiyo bado...
  5. S

    TANROADS epukeni mfumo wenye traffic lights kwenye barabara kuu zilizo na magari mengi, kwanini mnatuangusha kama hamna utaalamu?

    Nimeshindwa na kutoelwewa kwa nini TANROADS wanajenga mifumo ya flyover ambayo inahitaji taa za kuongoza magari (traffic lights) kwenye barabara zilizo busy. Mfano ni flyover za Ubungo, Tazara na junction ya Kilwa road/Mandela road. Ni kwa nini TANROADS wanatumia mifumo ya flyover sehemu kama...
  6. Stephano Mgendanyi

    Ushirikiano wa Tanzania na Japan Kuwezesha Ujenzi wa Flyover Morocco - Dar

    USHIRIKIANO WA TANZANIA NA JAPANI KUWEZESHA UJENZI WA FLYOVER MOROCCO – DAR. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania inaendelea kuimarisha ushirikiano na Japani hususan katika Sekta ya miundombinu ambapo Tanzania inaendelea na mazungumzo na nchi hiyo ya...
  7. P

    Phone4Sale Nauza Simu aina zote

    Je, unataka simu bei chee? Je, una abudget ndogo na unataka simu? Je, unataka kufanya Top up au exchange? Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako. Exchange na Top up tunafanya! Simu tulizonazo dukani ni; 📱Google pixel 📱aquous arrow 📱samsung 📱Iphone 📱LG 📱Sonny Xperia...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Ukipita Ubungo Flyover lazima umkumbuke Hayati Magufuli

    Jina la John Pombe Magufuli limejikita katika historia ya Tanzania kama kiongozi mwenye maono na utendaji wa kasi. Moja ya alama kubwa za uongozi wake ni Ubungo Flyover, daraja ambalo limebadilisha mandhari na mtiririko wa usafiri katika jiji la Dar es Salaam. Kabla ya ujenzi wa daraja hili...
  9. mdesi

    Miundombinu ya Ubungo flyover nani huiharibu?

    Naomba niende direct kwenye point;- Huwa nachukizwa na kupata uchungu sana kuona raia wanaharibu miundombinu ya umma kwa maksudi bila sababu yeyote ya msingi. Yaani si kwa bahati mbaya wala sababu fulani justifiable iliyo sababisha uharibifu huo. Pamoja na sehemu nyingine hapa ubungo chini ya...
  10. J

    Mungu wa Mbinguni mrehemu Hayati Magufuli, Saba Saba magari yanateleza tu. Kilwa road haina foleni Flyover mkombozi!

    Kila ninapoikuta flyover nasema moyoni Mungu wa mbinguni amrehemu sana Shujaa Magufuli. Kazi zake tangu akiwa Waziri wa Ujenzi hadi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zitadumu mioyoni mwa Vizazi vya Watanzania. Mlale Unono!
  11. S

    Tanzania hakuna FLYOVER. Yote ni madaraja

    Kuna mtu aliipenda sana sifa. Akatumia kila aina ya uwongo kuwalaghai wananchi ili ajipatie sifa. Mchana kweupe tena bila ya aibu akajidai amejenga kwa fedha za ndani kile alichokiita flyovers pale Ubungo, Buguruni na Kurasini. Ukweli ni kwamba haya yote ni madaraja ya juu sawa na lile...
  12. FRANCIS DA DON

    Kuna foleni kali sana Ubungo flyover mida huu, saa nzima gari hazitembei

    Mimi nipo nyuma sana kwenye foleni, mliopo mbele huko kuna nini jamani?
  13. Execute

    Lile eneo chini ya Flyover ya Kijazi lililowekewa fensi waweke vibanda vya machinga

    Nimepita pale ubungo na kuona fursa kwa halmashauri. Chini ya flyover ya kijazi kuna eneo safi sana limewekewa fensi. Fanyeni kujenga daraja kama la manzese ili raia waweze kuingia pale ndani ya fensi kwa usalama na kununua bidhaa za machinga. Kwahivyo pale kwenye ile nafasi wekeni vibanda...
  14. figganigga

    Daraja la Wami liitwe Samia na Flyover ya Kurasini iitwe Mwinyi

    Salaam Wakuu, Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma. Pia...
  15. G-Funk

    Kwa jinsi mwendokasi unavyojengwa na flyover tutashuhudia mengi

    Ukiangalia tu kwa karibu jinsi ambavyo mwendokasi unajengwa na madaraja ya flover yajayo ikiwamo la kurasini na Vetah pale. Utagundua aidha mkandarasi amepewa standards za chini tofauti na aliyejenga phase ya kwanza ya Kimara Mwisho hadi posta pamoja na Morroco. Barabara zimeunganishwa na...
  16. TODAYS

    Zanzibar: Unguja kuanza ujenzi wa barabara za juu (Flyover)

    Mradi wa ujenzi wa barabara za juu (Flyover) katika mkoa wa mjini magharibi kisiwani unguja, unatarajiwa kuanza hivi karibuni baada ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia katibu mkuu wa wizara ya ujenzi mawasiliano na uchukuzi wa Zanzibar Bi.Khadija Khamis Rajab kusaini mkataba na...
  17. Championship

    Aibu, Ghana ilijenga Pokuase flyover kwa dola 94M wakati Tanzania imejenga daraja la Kijazi kwa dola 100M. Wote walitumia mikopo. Fananisha picha

    Hii hapa Pakuase flyover. Na hili hapa daraja la Kijazi Nadhani wote tunaweza kuelewa tatizo letu lilipo.
  18. FRANCIS DA DON

    Amini usiamini, Tanzania hadi sasa ina flyover mbili (2) tu zinazofanya kazi rasmi

    Maana kwanza nicheke, hivi hii nchi tunaambiwaga ina watu milion 60 ni kweli au ni nadharia? Yaani flyover 1 kwa watu milioni 30?! Hivi hii inaingia akilini kweli? Hebu tusubiri Sensa tuone, hadi majibu ya Sensa yatoke ndio ndio nitaamini
  19. FRANCIS DA DON

    Napendekeza kazi za kuhesabu idadi ya watu (Sensa 2022) ifanywe na wajumbe wa nyumba 10 , pesa zitakazookolewa zikajenge flyover TAZARA

    Kwa kupitia serikali za mitaa / vijiji (local government) , wajumbe wa nyumba 10 wapewe fomu za sensa na wapite kwenye nyumba zilizochini yao, wapewe wiki moja tu wawe wameshazitembelea nyumba zote zilizochini yao na kuzijaza fomu zote kwa kila nyumba, wakazikabidhi fomu hizo kwenye ofisi za...
  20. FRANCIS DA DON

    Aliyeruhusu kituo cha daladala mdomoni mwa Ubungo flyover (riverside) alitoroka lini mirembe?

    Hivi kuna faida gani kutumia bilioni 300 kujenga Ubungo flyover ili kuondoa foleni halafu tunakuja kuruhusu kituo cha daladala mdomoni kabisa mwa flyover ambapo gari ndio zinaingilia? Kitendo cha daladala kuingia na kutoka kwenye kituo hiki inasababisha magari kushindwa kabisa kuflow kama...
Back
Top Bottom