figisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DodomaTZ

    Mkutano wa Butiku na Wazee uliopangwa kufanyika leo (Januari 22, 2026), je, utafanyika au utakumbana na figisu?

    Mzee Butiku aliitisha mkutano na wazee kutoka kada mbalimbali kushiriki mazungumzo yanayoweza kuchochea mawazo ya kuondoa mkwamo wa kisiasa uliopo nchini. Katika mkutano wake na waandishi wa habari (press conference), alizungumza mambo mbalimbali, ikiwemo suala la kufungwa kwa ofisi za CHADEMA...
  2. Fbn

    Serikali ya CCM ilishawahi kumfanyia figisu Said Salim Bakhresa sababu alidhamini CUF

    Miaka ya 90 ukisikia chama cha CUF kilikuwa moto kwa CCM. Kafu ilifanyiwa figisu sana na polisi,wanachama kununuliwa,propaganda ya udini na mpaka kutishia matajiri. Said Salim Bakhresa alikuwa mzamini mkubwa wa mchango pesa kwa CUF leo CCM wakichangiwa sawa ila wengine wakichangiwa ni wahaini...
  3. Ngongo

    Figisu la Chikwete na Laigwanani lamponza Fred !.

    Heshima sana wanajamvi. Mbunge wa Monduli Fred Elowassa kaliwa kichwa pamoja na kushinda kwa kishindo kura za maoni. Ikimbukwe katika msiba wa Baba yske Fred Marehemu Ngoyai Mzee Chikwete hakupewa nafasi ya kutoa salamu. Inasemekana jambo hilo lilimkera sana Rais Mstaafu kiasi cha kupandwa na...
  4. W

    Nje ya kampuni za kizungu na kijapani, mazingira ya ajira katika kampuni nyingi Tanzania yamejaa mateso, figisu, ubaguzi, maumivu na manyanyaso

    Unakuta hakuna mikataba ya ajira, likizo haijulikani, na ukihoji unaambiwa ‘mlango upo wazi’.” Wanaajiri kwa kuahidi mishahara mikubwa, lakini wanakupa pesa nusu na matusi kamili. Wengine hufanyishwa kazi saa 12+ kwa siku bila malipo ya ziada overtime, muda mchache wa kupumzika au kula ubaguzi...
  5. Matteo Vargas

    Figisu figisu za mpira wa Africa zimefanya tuaibike kombe la dunia la vilabu

    Mpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi. Na kitu cha kushangaza zaidi asilimia kubwa ya timu za Africa zinazofanya vizuri kwenye AFCON huwezi kuona...
  6. E

    PreGE2025 Meya Mwanza alalamika kufanyiwa figisu na wana CCM wenzake

    Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Constantine Sima ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Mhandu amedai kufayiwa hujuma na fitina zinazofanywa na baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM kwa maslai yao binafsi. Akieleza kazi zilizotekelezwa katika kata hiyo kwa kipindi cha mwaka 2020-2025, Sima amesema...
  7. Mtemi mpambalioto

    CHALAMILA usipoangalia MSANDO atakufanyia figisu utolewe Dar es Salaam

    Jiji la Dar kwa sasa kila sehemu kumechimbuliwa kwa kweli hali ya usafiri ni mbaya sana! sasa huyu Msando amekuja kukugombanisha na wana Dar es salaama kwa kusingizia wanatanua barabara wanaleta foleni! Huyu anatafta kiki utolewe wewe ili yeye akae hapo aonekane ndio mchapa kazi! ni kwa kuwa...
  8. Genius Man

    PreGE2025 Je, kutopewa kibali cha helicopter na uwanja kwa CHAUMA ni mwanzo wa figisu kwa chama hicho baada ya kuonekana kimeanza kupata baadhi ya mafanikio?

    Je, kutopewa kibali cha helicopter na uwanja kwa CHAUMA kule mwanza ni mwanzo wa figisu kwa chama hicho baada ya kuonekana kinaanza kutrend kuelekea uchaguzi ? Je, unafikiri CCM watakubali chama hicho kitrend zaidi na kufanya mikutano yake bila figisu ? Kama kutakuwa na figisu vipi na wale...
  9. ELI COHEN

    Yesu ndio anabaki kuwa "religious figure" bora kuwahi kutokea. Katika safari yake hakuagiza damu yoyote wala hakufanya figisu kuufikia umashuhuri.

    Sijali kama utamuita Mwana wa Mungu, Nabii au Mwalimu. Ila katika maandishi ya vitabu na simulizi hatujaona mahara alisema mchukie wayahudi kwa kunikataa, muaue waroma kwa kunisurubu na muangamize wote wasiotaka kufata kile nilichowafundisha. CHRIST IS KING
  10. Mshana Jr

    Kesi ya UHAINI ya TAL .. Figisu zimeanza

    Nimepokea taarifa ya kusikitisha na ya kutia wasiwasi kutoka kwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Kenya (LSK), Wakili Faith Odhiambo, kuhusu kunyimwa kuingia nchini Tanzania kwa Mawakili Gloria Kimani (Mjumbe wa Baraza la LSK), Martha Karua, na Lyn Ngugi. Mawakili hawa walipanga kuhudhuria na...
  11. C

    Lissu alipaswa kudhibitiwa kabla hajashinda Uenyekiti CHADEMA au figisu zilishindikana?

    Huyu Mwamba alipaswa kutopewa nafasi ya kushinda Uenyekiti CHADEMA. Ni hatari zaidi ya hatari yenyewe. Kichwa kibovu kile kitaleta amsha amsha kuelekea uchaguzi ambayo Sisi Mbogamboga hatuitakagi.
  12. M

    PreGE2025 Simiyu: Luhaga Mpina anusa kufanyiwa figisu, ataka kampeni za wazi Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, amesema kuwa licha ya muda wa kampeni za ubunge ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bado kutokuwa rasmi, watia nia katika jimbo hilo wanapaswa kuruhusiwa kufanya kampeni mchana kweupe badala ya usiku. Mpina amesema kuwa kampeni zinazofanyika kwa kificho...
  13. Akotia

    Mechi ya Karne Yachezwa Nje ya Uwanja: Siasa, Figisu Figisu na Mchezo wa Giza kwenye Ligi Yetu!

    Hii saga ya kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga ni noma sana, na inatia mashaka kinoma. Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, na kwa bahati mbaya au kwa makusudi, mechi kubwa zaidi Tanzania imeahirishwa kwa sababu ambazo zinaonekana kama zimetengenezwa makusudi. Simba walikuwa na haki yao ya...
  14. Mwizukulu mgikuru

    Mnaotufanyia figisu tusipate ajira za kudumu kwa hili mmefeli

    Ndio hivyo tena hii ni 2025 .... Napikiwa na naandaliwa na maji ya kuoga, kila mwaka napiga hatua moja mbele japo ndio hivyo kibishi sana alhamdulilah. Nyie endeleeni kutusagia kunguni, endeleeni kutukandia kila mnapotuona tukija na bahasha zetu kwenye hizo ofisi za ndugu zenu au jamaa zenu...
  15. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Ikiwa walishindwa kumfanya MWABUKUSI asishinde TLS Licha ya Figisu zote, TUNDU Lissu atashinda Mwenyekiti CHADEMA

    Zipo nyakati ambazo mtoa Mamlaka hua amemuamlia mtu. Zinapofika Nyakati hizo, hata ufanyeje, hata uwe na nani nyuma yako, Kamwe hatuwezi kuzuia Hilo. Mungu anachukia DHURUMA, Mungu anachukia Uonevu, Mungu yupo tayari Kumtumia Shetani ili tu Jambo lake likamilike. Na niseme wazi , Kama LISSU...
  16. Dabil

    PreGE2025 Tundu Lissu akifanyiwa figisu ahamie ACT Wazalendo tutamfuata huko huko

    Uchaguzi wa Chadema unatakiwa uwe fair kama jina la chama lilivyo,chama inahubiri demokrasia lakini Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu hata CCM sio hivo,chama imekuwa chama cha ukoo,kila mwenye wazo tofauti na Mbowe anaonekana msaliti, Mbowe na machawa wake kama kina Yericko ndo wanaonekana...
  17. T

    KERO Hivi haya mateso ya kujaza gasi kwenye magari yanamnufaisha nani!? Sio figisu za wauza mafuta kweli!?

    Nimetafakari sana hizi foleni za kuweka gas naona kama kuna hujuma za wauza mafuta, iweje mpaka sasa tuwe na vituo vitatu tu. Sio kwamba upatikanaji wa gas kwa wingi unaathiri uuzwaji wa mafuta!?
  18. Jumlisha

    Figisu Hatimae kufukuzwa kazi

    Bila kupoteza wakati maana nina mengi ya kuwaza baada ya hili Nilikuwa nikiona watu wanao timuliwa kazi ni wazembe na mara nyingine tukikaa vijiweni tunawazungumzia vibaya hawa mara kafukuzwa kazi sababu ya wizi mara alikuwa jeuri sana mambo mengi mabaya tunawazungumzia bila kujari upande wake...
  19. M

    Kesho ndo watu watajua kuwa waarabu wana figisu figisu ya kufa mtu kwenye mechi ya Misri Vs Cae Verde

    Misri haitakubali iishie kwenye hatua ya makundi wakati itakapokutana na Cape Verde. Hadi sasa Misri ina pointi 2 tu kwenye mechi zake mbili. Kesho ikifungwa itakuwa imeyaaga mashindano!! Kesho waarabu watakuambia KAMA MBWAI NA IWE MBWAI, watafanya lolote linalowezekana hata kama ni kulazimisha...
  20. azithromycim

    Nafanyiwa figisu na wafanyabiashara wenzangu kwenye biashara yangu

    Habari Wana jamiiforum. Bila kuwachosha naenda kwenye mada moja kwa moja. Nimejikamua Kama kijana nimeamua kufungua liquor store yangu mkoani Tanga ambayo inafanyakazi masaa 24 kila siku za wiki. Sasa nauza vinywaji kwa bei ambayo Mimi napata faida Mfano:- Highlife -2000 Double kick -2000 Block...
Back
Top Bottom