Fei Toto alitoka Yanga ikiwa haina kombe la CAF na yuko Azam ambayo haina kombe la CAF. Yanga ilikuwa inashinda vikombe vya ligi ikiwa na Fei na inaendelea kushinda bila Fei. Aliikuta Azam ikiwa haina vikombe na Azam ikiwa na Fei haina vikombe pia.
Simba na Yanga msidanganyike, Fei ni mchezaji...