fei toto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Futeni picha ya Fei Toto na mpira kifuani. Wekeni ya mshindi

    Kwanza wamefungwa... Wekeni picha ya mshindi. Yani M-Morocco Picha ya loser haiwezi kupamba front page ya media... hamuoni hata mapicha ya media za dunia? Pili tunajaribu kuponya akili za Mtanganyika - detoxify, reprogramme, reeducate - ili afute kichwani mentality za kipumbavu za kumuona...
  2. M

    Najiuliza je Azam wamemlipa fei toto mabilioni kwa ajili ya mechi za ndani ama ndio fei toto akawabebe na kimataifa CAF ?

    Hili swali huwa najiuliza sana toka nilivyosikia azam wamemlipa fei toto bilioni. Na mshahara wa milioni 50 sijui milioni 40 kwa mwezi ? Kwa kumtazama toka nimemjua Fei toto , kwenye mechi ngumu za kimataifa.. huwa hana maajabu na anakuwa mzigo uwanjani. Fei toto wa kimataifa Yupo vile vile...
  3. DodomaTZ

    Feisal Salum "Fei Toto" kachemka hili swali, wewe ungeweza?

  4. Waufukweni

    Tetesi: Yanga waweka mezani TSh. 750 milioni kuinasa saini ya Fei Toto na mshahara wa TSh. 40 milioni kwa mwezi

    Imefichuka kuwa klabu ya Yanga imemwaga dau nono ili kumshawishi kiungo mahiri Feisal Salum "Fei Toto" kurejea Jangwani. Kwa mujibu wa taarifa, Yanga wameweka mezani ofa ya shilingi milioni 750 kama sign-on fee pamoja na mkataba wa miaka miwili. Aidha, kiungo huyo ameahidiwa mshahara wa shilingi...
  5. kipara kipya

    Ushauri wa bure kwa Feitoto: Timu sahihi ni Simba, muda mwingi ipo kwenye mashindano

    Jana nimemuangalia Fei toto kuna vitu anakosa kutokana na timu aliyopo na alizo pitia mfano tangu kipindi feisal alipotoka zanzibar angejiunga Simba. Muda huu kiwango cha feisal kingekuwa ni cha juu zaidi ya alipo na uzoefu mwingi wa mechi za kimataifa angepata..kuna vitu vingi anakosa kwa...
  6. Waufukweni

    Fei Toto awaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC

    Wakati huu Ligi ya NBC ikiwa katika mzunguko wa 23 Kiungo fundi wa Soka, Feisal Salum maarufu Fei Toto amewaacha mbali Nzengeli, Jean Ahoua, Aziz Ki na nyota wengine kwa upisha wa mabao Ligi Kuu ya NBC akiwa ametoa pasi za mwisho za magoli (assists) 12 huku wanaomfuatia wakiwa na 7 Soma: Jean...
  7. R

    Nani kama mama, Alimuokoa Fei toto wakanuna, kwa mara nyingine anaenda kuwa mgeni rasmi Derby waliyosusia

    Nani kama mama, Walidhamiria kumpitisha msoto Fei Toto lakini mama akaweka mambo sawa, Walinuna 😁 wakajaribu kulipa kisasi kwa kumsajili Dube, yani anachofanya uwanjani hakiendani na milioni 500 za usajili na mshara wa milioni 30 😁😁 bora hata Baleke Majuzi hapo wametoa tamko hawachezi, za...
  8. Waufukweni

    Fei Toto alivyotinga uzi wa Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya mechi

    Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum maarufu Fei Toto akiwa amevaa jezi ya Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
  9. GENTAMYCINE

    Tetesi: Huyu anayetudanganya Kutwa kuwa Fei Toto anakuja Simba SC ni nani? Haya sasa 'Kuleni Chuma' hiki kuwa kwa 85% anarejea Walikomdharau na Kumnyanyasa

    Kwa 90% wameshamalizana nae na Mshahara wake wa sasa huko ni 'Kufuru' na Jumba la Kifahari Mbweni Ufukweni.
  10. kavulata

    Fei Toto anaisaidia Azam kubaki ligi kuu, amezidiwa na Mzize

    Kuwa na pesa na kuwa na mafanikio ni vitu tofauti, binadamu anahitaji vyote kwa nyakati tofauti. Pesa zinaisha lakini mafanikio (legacy) yanadumu. Kiwango cha FeiToto kwenye football kiko kwenye kilele chake cha juu lakini kinatumika kuisaidia Azam kubaki ligi kuu badala ya kuipeleka kwenye...
  11. Waufukweni

    Tetesi: Fei Toto apokea Ofa ya Tsh Milioni 600 kutoka Simba SC kwa Mkataba wa miaka Mitatu

    Kiungo fundi wa Azam FC, Feisal 'Fei Toto' Salum inadaiwa amepokea ofa ya Tsh milioni 600 kutoka kwa miamba ya Soka, Simba SC, ikiwa ni malipo ya kusaini mkataba wa miaka mitatu. Simba wapo tayari kulipa kwa mafungu ya Tsh milioni 200 kila mwaka. Soma: Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje...
  12. Waufukweni

    Tetesi: Fei Toto aweka Masharti magumu kwa Azam, anataka Tsh Milioni 70 kila Mwezi ili asaini Mkataba Mpya

    Fei Toto, mchezaji maarufu wa Azam na Taifa Stars, amewaambia baadhi ya viongozi wa klabu hiyo kwamba atasaini mkataba mpya endapo wataweza kumlipa Tsh 70 milioni kwa mwezi. Hata hivyo, kiasi hicho kinaonekana kuwa kigumu kwa klabu ya Azam. Iwapo klabu hiyo itakubali kulipa kiasi hicho, Feisal...
  13. Stunnaman008

    Fei Toto mbovuu

    Kuna watu humu JF walisema sijui fei toto kibonge, fei toto mbovuu Jana kaliheshimisha Taifa
  14. Waufukweni

    Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida

    Mdau wa michezo, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Waziri wa Fedha, ameeleza matamanio yake ya kuona kiungo wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars", Feisal Salum (Fei Toto) akiichezea klabu ya Singida Big Stars baada ya kuvitumikia vilabu vya Yanga, Azam na Simba. "Mwanangu buana...
  15. kiwatengu

    Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024

    Match Day ⚽ Azam FC vs Yanga SC 🏟️ Benjamin Mkapa Stadium 🛡️ Community Shield. 📅 11.08.2024 ⏰ 7:00pm #Daimambelenyumamwiko# Tukutane saa Moja kwa Updates... Mwanzo mwisho!! Kikosi Cha Yanga Kinachoanza. KIKOSI CHA AZAM Updates.... Timu zote sasa zinaingia uwanjani ili mchezo uanze...
  16. sinza pazuri

    Tetesi: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC

    Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto. Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna vipengele vigumu lakini hakuna linaloshindikana. Na deal ikikamilika Fei atakuwa ndio mchezaji anaelipwa...
  17. WAPEKEE_

    Fei Toto kama Cristiano Ronaldo, ukubwa una vita kubwa

    Vita ya pili ya dunia ilikuwa inaelekea kumalizika na Ujerumani kinara wa vita , ilikuwa dhahiri kwamba wamepoteza vita kilichobaki ilikuwa ni kusalimu amri. Mbaya zaidi , mshirika wao wa karibu , Finland, alikuwa amewasiliti dakika za mwisho wakiwa wamemsaidia kupambana na URUSI, baada ya...
  18. Lupweko

    Khalid Aucho awapasha mashabiki wa Yanga wanaomzomea Fei Toto

    Haya ni maneno mazito ya Khalid Aucho, Mchezaji wa Yanga kwenda kwa mashabiki wa Soka Tanzania akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukabidhiwa Kombe la Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League. Aucho aliulizwa baadhi ya maswali ikiwemo ni nani anatamani kucheza naye na kumtaja kiungo...
  19. Kichwa Kichafu

    Feitoto angekuwa mfungaji bora, mngekubali Aziz Ki apewe tuzo ya MVP?

    Habari Wapenda Soka Na Wasiopenda Soka. Ligi imetamatika kwa viungo wachezeshaji wakiwa bora katika kufunga magoli pamoja na kutengeneza nafasi nyingi za magoili. Stephan Aziz Ki akiwa ndio mfungaji Bora wa msimu wa ligi kuu ya NBC 2023/2024 kwa magoli 21 pamoja na assist 8, Akifatiwa na...
  20. Mkalukungone Mwamba

    Kanuni ipo hivi kwa mfungaji bora wa ligi kuu NBCPL msimu huu 2023/24

    Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili. Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
Back
Top Bottom