fedha

  1. JamiiForums Tanzania Wa Kawe Tanzania analndwa kwakuwa anakula na aliye Bungeni, wa Fedha, Juha wa Arusha na ni Mganga pia wa Queen Sheeba wa Baharini

    Lamor Whitehead, mhubiri wa New York, Marekani, maarufu kutokana na maisha yake ya kifahari, amekutwa na hatia kwa makosa ya kutumia nafasi yake kama kiongozi wa dini kuwalaghai watu pesa ili kugharamia maisha yake ya kifahari. Maafisa wanasema alitumia pesa za waumini wake kununua vitu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya fedha inayotekeleza miradi katika nchi hii ni fedha za mikopo?

    Kama nchi tunatakiwa tujisimamie sisi wenyewe katika utekelezaji wa miradi inayotekelezwa katika nchi hii. Karibu zaidi ya asilimia 90 ya miradi yote inayotekelezwa katika nchi yetu ni fedha za mikopo huku tukitamba kuwa Mama analeta fedha za miradi kumbe ni fedha nyingi ni za mikopo...
  3. JamiiForums Tanzania Kushika Pesa, Kisha Zipotee Ghafla na Watu Wako Wapotee

    Utangulizi Usimamizi wa fedha ni ujuzi muhimu ambao unaweza kuamua utulivu wa kifedha na ubora wa maisha ya mtu. Nukuu, "Ushike hela, halafu zipotee ghafla na watu wako wapotee, ukizishika tena sidhani kama utakua mjinga tena 😄 Yaani watasimuliana namna umekua na roho mbaya," inafafanua kiini...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Jumaa Aweso, amewataka watumishi wa Wizara ya Maji kukagua na kujiridhisha na thamani ya fedha katika miradi

    AWESO AHITIMISHA VIKAO VYA IDARA KWA IDARA WIZARA YA MAJI, ASEMA TAASISI ZINAFUATA Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) akihitimisha Wiki ya Vikao vya Idara kwa Idara amewataka watumishi wa Wizara ya Maji kukagua na kujiridhisha na thamani ya fedha katika miradi maji ili kuisaidia wizara...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kemea haya ya matumizi mabaya ya fedha za umma angalau kidogo

    Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
  6. JamiiForums Tanzania Habari Njema; Nimeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Kutoa Elimu ya Fedha

    Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo. Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto tu unanisumbua. Nikiwa shuleni nilifuata vizuri ile kanuni maarufu ya NENDA SHULE, SOMA KWA BIDII...
  7. JamiiForums Tanzania Barbra: Watu wamelipwa fedha kutengeneza propaganda.

    "Propaganda zilizofadhiliwa zimefikia hatua ya kuchukiza sana kama vita za kisiasa. Kwani hatuwezi kuona kikamilifu nyuma ya hii Content rahisi iliyolipiwa ?! " ©️ Barbara Gonzalez CEO wa zamani wa Simba SC Via X
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yaomba Benki ya Exim China kusaidia fedha za ujenzi wa SGR

    Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo ikiwemo upatikanaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali

    WAKAZI WA KIGOMA WASHAURIWA KUWEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI Na Chedaiwe Msuya, WF, Kigoma. Wananchi Mkoani Kigoma wametakIwa kujenga utamaduni wa kuwekeza fedha zao kwa kununua Hati Fungani mbalimbali zinazouzwa na Serikali ili iwe moja ya vyanzo vya kujiongezea vipato badala ya...
  10. JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha kutumia Tsh. Trilioni 17.63 kwa Matumizi ya Kawaida, Tsh. Bilioni 544.05 kwa Matumizi ya Maendeleo

    Bajeti ya Wizara ya Fedha kwa Mwaka wa Fedha 2024/25: Muhtasari Utangulizi: Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2024/25, ikijumuisha ombi la kuidhinishiwa matumizi ya jumla ya shilingi trilioni 18.17. Kiasi hiki kimegawanywa katika matumizi ya kawaida na maendeleo kwa...
  11. JamiiForums Tanzania KERO Fedha za nauli ya likizo kwa waalimu inalipwa lini Magu DC?

    Shule za serikali zimefungwa tangu mwishoni wa wiki iliyopita tarehe 31/5/2024. Waalimu tulijaza Ankara za fedha za nauli ya likizo hii mapema sana na kuziwasilisha kwa wahusika ofisi Halmashauri ya Wilaya ya Magu kabla shule hazijafungwa; tukitarajia kwamba malipo yangefanyika mapema au mara...
  12. JamiiForums Tanzania Lindi: Wanaume wawili wahukumiwa kwenda Jela Miaka 50 kwa kosa la kubaka na Utakatishaji Fedha

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Lindi, imewahukumu kwenda jela miaka 30 kwa kosa la ubakaji na miaka 20 kwa kosa la utakatishaji fedha pamoja na kulipa fedha Sh milioni 35 walizoiba na pia Mahakama imeamuru kutaifishwa kwa mali zao. Waliohukumiwa ni Kazil Hamis @Kaftanyi (43) Mkazi wa Dar es salaam na...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Miradi yote mikubwa imesimama kwa nchi kukosa fedha

    Miradi yote mikubwa ya ujenzi kama barabara, maji, SGR na umeme imesimama kwa sababu ya Serikali kukosa fedha za kulipa wakandarasi. Mfano kwa SGR lot 3 na 4 Kampuni ya Kituruki imesimamisha shughuli kutoka Makutopora , Tabora, Isaka. Vilevile lot 5 Isaka Mwanza , Kampuni ya Kichina pia...
  14. JamiiForums Tanzania Mungu anatosha

    Watu wanataka hela, wanataka gari, wanataka nyumba, wanataka kuwa milionea. Lakini Mungu tu anatosha. Ukimpata Mungu umepata kila kitu. Vita kubwa wanapigana Kongo kugombea changarawe na kokoto zinazochimbwa ardhini. Watu wanajali fedha kuliko utu. Ndugu wanagombana kwa ajili ya mali...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini RC wengine huwa hawana fedha kama ilivyo kwa Makonda?

    Tangu akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amekuwa akitatua shida za watu zinazohutaji fedha kirahisi Sana. Kuna wakati inaleta maswali, jee hizo fedha ni zake binafsi ama ni za umma? Kama ni zake binafsi, jee zinatokana na mshahara wake, michango ya marafiki zake au Faida...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Suma Fyandomo Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati

    MBUNGE SUMA FYANDOMO Alia na Barabara ya Mbeya, Ataka Mkandarasi Apewe Fedha kwa Wakati "Nampongeza Waziri Bashungwa, anafanya kazi nzuri sana, anaitendea haki Wizara ya Ujenzi, endelea na moyo wako huo unaokutuma kufanya kazi za Watanzania, sina mashaka na wewe unafanya kazi kubwa sana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Fedha za HESLB kuunganisha na mfumo wa NSSF

    Jambo hili huweza kusaidia Kwa namba moja au nyingine katika kujikwamua kimaisha mara baada ya masomo hivyo Kwa Tanzania tuitakayo Kwa kipindi Cha miaka 5 Hadi 25 jambo hili linaweza kuwa chachu ya mabadiliko miongoni mwa wanamabadiliko.
  18. JamiiForums Tanzania Kiasi Gani Cha fedha uliwahi kuokota? Ilikuwaje?

    Jana kulikuwa na sherehe ndogo ya ofisi kwenye ukumbi Fulani. Nilibanwa nikaenda washroom. Kulikuwa na mwanga hafifu lakini haikunizuia kuona kitu kama pochi kimedondoka chini Nilitaka kuignore, lakini nilipofocus nikagundua ni pochi ya hela. Nikaiokota haraka na kurudi kwenye sherehe...
  19. JamiiForums Tanzania Mbunge Nicodemas Maganga amesema Trilioni 1.7 ni Bajeti Ndogo kwa Wizara ya Ujenzi, Fedha Iongezwe

    MBUNGE NICODEMAS MAGANGA Amesema Trilioni 1.7 ni Bajeti Ndogo kwa Wizara ya Ujenzi, Fedha Iongezwe "Maeneo ya Kanda ya Ziwa tunayo changamoto, Barabara ni mbaya sana, nyingi ni za vumbi, Magari yanakata Chesesi kwasababu ya ubovu wa Barabara. Bajeti ya Trilioni 1.7 ni ndogo sana, Waziri wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizi na ufisadi wa fedha za serikali uliokithiri katika awamu hii, suluhisho haliko ndani ya CCM wala upinzani kuwa mbadala wa CCM

    Tumefikia mahali ambapo hali ya wizi na ufisadi wa fedha za serikali inatisha. Si Tamisemi tu, bali hata vyombo vya usalama na taasisi za serikali ugonjwa ni huo huo. Udanganyifu katika mifumo ya malipo imekuwa ndio habari ya mjini, kuanzia tozo za kupaki magari, fine za trafiki, miamara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…