fedha za umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa fedha za umma TMRC

    Mkrugenzi Mtendaji wa taasisi ya TMRC achunguzwe kwa umakini. Hadi leo taasisi ya TMRC haina mfumo wa tehama unaoeleweka Fedha za Umma takriban shilling billion mbili zilitumika vibaya.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi waliothibitika kuiba fedha za umma hawawajibishwi zikarudishwa elimu ya juu nchini ikawa bure?

    Wahitimu waliomaliza elimu ya juu kwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kutwa wanabanwa kurudisha mikopo hiyo wakati wengi wao wanahangaika mtaani bila ajira wala shughuli za kufanya. Wakati ukiangalia upande mwingine kuna ubadhirifu mkubwa unafanywa serikalini, viongozi wanaiba mabilioni kwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Watakiona chamoto watakaobainika Kuchezea fedha za Umma katika uongozi wa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia alishaweka wazi na kujipambanua kimaneno na kimatendo juu ya hasira zake Kali na maamuzi yake magumu kwa yeyote atakaye chezea fedha za umma,Hana Cha Nani Wala Nani katika Hilo,hamuogopi mtu Wala haangalii sura katika hili, Hana uvumilivu Wala Subira katika...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Upigaji na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi kulikokithiri kwa Sasa, nini kifanyike?

    Habari JF. Kumekuwa na ubadhirifu wa fedha za umma kupitia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya 6. Hali ni mbaya ktk kila idara na wizara, mashirika na mamlaka mbalimbali. Ziara za waziri Mkuu na mawaziri wengine yanaibua madudu mbalimbali. Uporaji upo ilihali Rais yupo...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Binti wa William Ruto akana kutumia fedha za umma kwa matumizi binafsi

    Ametoa kauli hiyo baada ya kuibuka kwa maneno mengi mitandaoni kuwa taasisi yake binafsi inatumia fedha za umma kuendesha shughuli zake mbalimbali. Tangu kuapishwa kwa baba yake, Septemba 2022 kuwa Rais wa Kenya, Charlene Ruto amekuwa akikutana na viongozi kote Nchini na kuhudhuria makongamano...
  6. JamiiForums Tanzania Kalamu ya Mkali: Kuundwa kwa Kamati ya Mwigulu ni Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma

    HII NI HUJUMA NA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA WANANCHI. Hebu tutazame kiasi gani cha fedha zitafujwa kupitia hii Kamati kwa kitu ambacho jibu liko wazi,tozo ni "Poll Tax," kwa hiyo wananchi hawapaswi kutozwa,vitafutwe vyanzo vingine vya mapato,na vipo.. 1) Hao wajumbe 200 kila mmoja atalipwa...
  7. JamiiForums Tanzania Songwe: Mtendaji afungwa jela miaka 8 kwa ubadhirifu wa fedha za umma

    Noah Ruben Mwanjali, aliyekuwa mkusanya mapato, amehukumiwa kwenda jela miaka 8 au faini ya milioni 4 kwa kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, ufujaji na ubadhirifu wa fedha za umma, Tsh. milioni 26. Hukumu hiyo ya Shauri la Uhujumu Uchumi Na. 06/2021 imetolewa Agosti 30, chini ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kigoma: Afisa Mtendaji ashtakiwa kwa ubadhirifu wa fedha za Umma

    TAKUKURU Mkoa wa Kigoma imefungua shauri la Uhujumu Uchumi Na. ECC. 22/2022 katika Mahakama ya Wilaya ya Kibondo, Agosti 29, 2022 dhidi ya aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kata ya Nyaruboya, Boniface Balishimura Kibada. Bw. Kibada anatuhumiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu wa Fedha za Umma...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ubanaji wa matumizi ya Fedha za Serikali tuanze na viongozi wenyewe ndipo tutafanikiwa

    Bajeti kuu ya mwaka huu 2022/2023 chini ya Serikali ya awamu 6 imedhamiria kubana matumizi ya fedha za umma kwa vitendo na kuhakikisha thamani ya fedha kwa kila mradi unao endelea nchini. Suala la kubana matumizi ya fedha za umma unapaswa uanzie kwa kila kiongozi aliye pewa dhamana kwenye eneo...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapinga Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya CCM

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema; "Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma." "CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Stendi Iliojengwa Kwa Fedha za Umma unapobadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada wa Kuchoma Mbuzi.

    Wakuu habari ya Jioni. . Kuna pahala nimesoma na kuona picha mbalimbali kwamba Stendi ya dala² Mafiga Morogoro Imebadilishwa Matumizi na Kuwa Mnada utakaokuwa unachomwa mbuzi na Watu Kupata Kinywaji. . Nimesoma na Kuona Dc Msando akiwakaribisha Kesho wananchi wa Moro kufika Kwa Ajili ya...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaonekana si mtu wa kujisifu; shida kuna walakini kwenye usimamizi wa fedha za umma

    Jambo la kuweza kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan inaonesha dhahiri ni mpole sana na ni rais asiyependa makuu kwa viongozi wa chini yake anaowaongoza hili kwa kifupi yeye linampa heshima kubwa kwa kusifu na kuabudiwa kuwa anaupiga mwingi huku wahuni wakila...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kumkwamisha Rais Samia Suluhu ni kuikwamisha Tanzania

    ==== Ukweli ni kwamba, lipo kundi ndani ya Taifa hili tukufu la Tanzania linaloinyooshea vidole Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imekumbwa na Rushwa na Ufisadi wa kutisha ghafla. Kundi hili hatari kwa Taifa letu linamwona Rais Samia Suluhu Hassan...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza wote waliotajwa kwa wizi wa Fedha za Umma kwenye Ripoti ya CAG washughulikiwe

    Rais wa Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote Tanzania ikiwemo TAKUKURU Mhe Samia Suluhu Hassan amesema haya... "Mkurugenzi wa TPA, Waziri na TAKUKURU mpo, naamrisha ripoti ya CAG mkaisome, halafu mchukue hatua, fedha nyingi sana imepotea watu...
  15. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Chato inayotaka kuwa Mkoa yawa kinara matumizi mabaya ya fedha za umma

    Pamoja na malalamiko mengi mitandaoni, ya miradi isiyo na tija kwa Taifa huko Chato, ukweli umeanza kudhihiri. Wilaya ya Chato sasa ni rasmi, ni moja ya wilaya zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za umma. CAG ameamrishwa na Waziri wa Fedha Dk Nchemba kufanya uchunguzi wa kina kwa...
  16. JamiiForums Tanzania SoC01 Wizi wa Fedha za Umma: Mapendekezo ya Hatua za Kuchukua

    Tanzania ni moja kati ya nchi masikini Duniani kwenye kundi hilo tupo na Burundi, Sudan Kusini, Niger, Msumbiji pamoja na nchi nyingine nyingi. Nchi hizi masikini Duniani zina sifa zinazofanana ambazo ni kama vile kuwa na vita, njaa, ufisadi, miundombinu mibovu, huduma mbaya za afya,elimu duni...
  17. JamiiForums Tanzania Tume ya Maendeleo ya Ushirika imechangia upotevu wa matrilioni ya fedha za umma, Kassim Majaliwa kwepa mtego huu

    Nawasalimu kwa salamu ya mama yetu: Kwa wale msiopenda kusoma nyuzi ndefu ntajitaidi kuwakwepa mapema. Taifa la Tanzania lipo katika mtanzuko mkubwa hasa pale Taaluma inapogaragazwa na kundi la WANASIASA tena wanasiasa wachumia tumbo ambao ndio waliojaa kwenye vyombo vya maamuzi. Mfano,mwaka...
  18. JamiiForums Tanzania Katavi: RC ataka fedha zilizoibwa (Milioni 867) zirudishwe kabla ya Juni 30

    MKUU wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko ameamuru watumishi walioiba zaidi ya shilingi milioni 867 wawe wamezirudisha ifi kapo Juni 30, mwaka huu. Fedha hizo zinazodaiwa kuibwa kwenye halmashauri tano, zinakadiriwa kuweza kugharamia ujenzi wa vituo viwili vya afya. Mrindoko alitoa agizo hilo...
  19. JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

    Wanabodi, Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Paskali kuwa ni "an enemy of the people!", Ibsen anasema, the strongest man on earth is the man who can stand alone!", hivyo na mimi, katika jambo ambalo nina uhakika nalo na ninaamini ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…