FANTASY PREMIER LEAGUE
Familia karibuni kwenye ligi ya watu wa mpira ya fantasy msimu huu mpya wa premier league, ligi yetu ina season 5 hadi sasa za ushindani karibuni tukafurahie msimu mpya wa ligi bora, kama uko interested nicheki tu PM ili tujoin kwenye group la whatsapp na tuanze kupanga...