familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Anaandika PCK: Hizi hapa ndio details za familia ya Mafwele ilipo

    Mliopo South Africa hembu fuatilieni hizi details kama zina ukweli. Kwa msiomjua huyu jamaa mi Mrundi ashafanya kazi na wasanii wa Tanzania ni Promoter wa Muziki, ameanza kukemea hali inayoendelea tanzania kwasasa kwa takriban week chache zilizopita, na ashawahi kuishi Tanzania na ana...
  2. DOKEZO Walipanga auawe tarehe 12/10/2025 na waendelee kushikilia account zake za kijamii, Ila account familia imezi-rescue

    Baada ya kumteka wanahangaika kudukua accounts zake za mitandao ya kijamii kwa kutumia device zao kwa kusaidiwa na wachina (tunawajua hao wachina na tutawaripoti wanyongwe na serikali yao na wakiona hii post waache mara moja) wamepanga wakisha hack wamuue wamtupe kwenye tindikali then...
  3. K

    Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia 3 zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo

    Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia nne zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo. Tuna vyombo vya machawa sio vyombo vya usalama . familia hizo ni Mwinyi Samia Kikwete
  4. Hatuwezi linda amani ya Mafisadi, Tunataka kuona kodi zetu na mapato ya nchi yakimnufaisha mTanzania bila kujali chama chake, familia aliyotokea, dini

    Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka. Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
  5. Kwa mtanzania makini toka familia duni ukipitia hii orodhaya WanaCCM alafu bado unashabikia kishabiki una matatizo

    Usulutani na ufalme ndani ya Chama ambacho kiliundwa kutetea maslahi ya wakulima na wafanyakazi. 1. Salma Kikwete 2. Ridhiwan Kikwete 3.Wanu Hafidh Ameir 4. Abdul 5. Adul Mwinyi 6. Jesca Magufuli 7. Fred Lowassa 8. Mathayo David 9. Karume 10. Karume 11. Karume Orodha ni ndefu sana.
  6. M

    Nilikuwa Msabato, lakini nikaondoka kwa sababu Kanisa halikuwa na athari chanya kwenye jamii na maendeleo. Sikutaka watoto wangu wapitie hivyo.

    Kwanza kabisa, ni muhimu niseme kwa upande wangu, uhusiano wangu na Mungu ni wa kipekee na unatokana na matendo yangu zaidi kuliko kujitolea kwa kanisa moja. nipo tofauti kidogo na watu wengi wanaoliabudu kanisa au mchungai zaidi kuzidi Mungu. Sababu kuu iliyosababisha uamuzi wangu wa kuhama ni...
  7. M

    Ni huzuni kuona watu wazima waliozaliwa kwenye familia zenye uwezo na zilizowajali wakipitia shida kwa sababu walipuuza fursa zilizokuwepo

    Kuna watu ambao wamezaliwa katika familia zinazojiweza, na walikuwa na nafasi nyingi mbele yao, lakini waliamua kuzichezea. Walikuwa na uwezo wa kusoma shule na vyuo bora, hata kuletewa walimu majumbani lakini walikataa elimu kwa kuona kupiga msuli ni mateso. connection zilikuwepo za kazi...
  8. Familia kutoka Uingereza imeuza nyumba yao ya £500K na kuhamia Africa wakidai maisha ni mazuri zaidi huku

    Familia moja kutoka Uingereza imehama kwenda umbali wa maili 5,000 baada ya kugundua kwamba walikuwa wanaishi “kwa kusurvive tu” wakiwa Uingereza. Natalie Furk, mwenye umri wa miaka 35, na mumewe James, mwenye umri wa miaka 37, pamoja na watoto wao wawili, walihamia kusini mwa Afrika baada ya...
  9. Je, ni kweli hii nchi ni ya Familia zisizopungua 50 wengine sisi ni wapangaji au Vidampa

    Je kweli maana mpaka sasa Polepole anaongelea mafichoni ukiangalia hamna kosa ila ameongea yale yale familia 50 wasiyopenda. Lissu yuko jela tatizo nini kaongea yaleyale familia 50 wasiyoyapenda. Wengine tumebaki kua makasuku kuimba yale ambayo famallia 50 wanapenda Leo Maxi Mello walimwambia...
  10. Nimeshuhudia Familia ya kimafia with Low Key Tanzania

    Hii familia mpaka leo nikiitafakari huwa sipati jibu, Kwanza ni familia ya kiungwana sana wako very very humble ni wacha Mungu, na kanisani hawakosekani na ni watu wenye kusaidia wengine kwa moyo bila kujisifu, Ni familia ya kipato cha kati si matajiri wala si masikini wako OK,(Juuuuust right)...
  11. Misiba ya sisi waafrika ndipo unapojua maisha ya upande wa nyuma ya marehemu na familia yake lakini pia ndipo vikao vikuu vya watu wambea na wanafiki

    Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu, Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu, michepuko yake inakuwa around kama wataweza kugawiwa chochote. Kuna wale speculators: wanaomchukia...
  12. Unahitaji kuwa mfugaji wa nguruwe kibiashara!?

    🌍 Rubaba Media – Tukiinua Ufugaji na Kilimo Tanzania 🌱🐖 Kwa muda mrefu, Rubaba Media tumekuwa tukipokea jumbe kutoka kwa watu wa aina mbalimbali – wanafunzi, wafanyakazi, wafugaji wapya na hata wale wa muda mrefu. Wengi wao wanatamani kuingia kwenye ufugaji wa nguruwe kibiashara, lakini...
  13. Tarehe ya Leo , sept 7 , tuitumie kumuombea Ndugu Tundu Lissu yeye na familia nzima ya CHADEMA

    Leo September 7 , tuitumie kumuombea Ndugu Lissu yeye na familia yake pamoja na CHADEMA.
  14. Sijui kwanini baadhi ya vijana wengi waliotekea familia masikini alafu wakahi kutusua kimaisha wanakuwaga "matajiri limbukeni"

    Atavaa kila aina ya nguo awalingishie, kila demu atazaa nae kuonesha umwamba wake, kila hatua atakayopiga ata prove kwenu kuwa amewazidi kwa maana nyie ni wapumbavu kuzidi yeye Juzi mmoja wao amewaambia mnalalamika sana na hamfanyi kazi utafikiri mmesimama tu mnakenua bara barani. Anyway pesa...
  15. Sativa: Familia nyingi zinalia Tanzania hakuna haki

    Edgar Mwakabela maarufu Sativa anadai kutekwa Juni 2024 nchini Tanzania, baada ya kile alichodai kuwa kuikosoa serikali kuhusu masuala ya kikodi na kuunga mkono mgomo wa wafanyabiashara uliolenga kudai haki. Sativa anadai kuwa aliteswa kisha kutelekezwa kwenye msitu baada ya kupigwa risasi...
  16. Familia ya kikwete inamiliki 1/3 ya uchumi wa Tanzania , polepole akifika hapa watu wataamka.

    Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 . Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
  17. M

    Tutarajie familia za aina hii nyingi huko mbeleni, mtu hana ndugu wala ndugu yeyote wa upande wa wazazi

    Hapo mtoto hana kaka, dada wala wadogo wa damu, pia hana wajomba, mama mdogo, mama mkubwa, baba mdogo, baba mkubwa, mashangazi wala binamu.
  18. R

    Haya ni manyangau, hayana hata aibu/haya/soni. Yamesha jilimbikizia mali Dubai likitokea la kutokea yanakimbilia huko na familia zao. What next?

    Haya yamesha kula nyama za watu, ukiisha anza kula nyama za mtu huwezi kuacha. Yameshakuwa manyangau , hayakamatiki. Tunatokaje hapa tulipofikia? Tumpuuze Polepole au tumuunge mkono for a second Indepencence/liberation strugle!?
  19. M

    Umri unavyoenda marafiki hupungua sana, Wanaobaki ni ndugu na familia, ushuhuda ni wajomba zangu waliokuwa hawapatani ila ukubwani wamekuwa karibu

    Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa. option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao. wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
  20. B

    CCM lala hoi mjue mnapoapa kulinda CCM jueni wazi, mnatumiwa kuzilinda familia 3

    Unakutana na kijana anajiita Msambwanda mara mwingine anajiita chinembe kutwa nzima kutetea CCM. CCM ya Leo ndugu zangu wabangaizaji sio ile alioasisi Mwl JK Nyerere. CCM ya Leo ni ya mabwanyenye ambao umasikini wako wewe mwanaccm sio kipaumbele chao zaidi ya kuongwa kanga na kofia ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…