familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kama una sifa hizi basi huwezi kutegemewa, sitisha hata kuwa na familia

    KAMA UNA SIFA HIZI BASI HUWEZI KUTEGEMEWA, HAIRISHA HATA KUWA NA FAMILIA 😔 1. Kila changamoto inakuliza na kukuumiza. 2. Mtu wa kulalamika tu. 3. Unaishi kijanja janja kukwepa majukumu. 4. Hutaki kuwajibika kwa makosa yako. 5. Mtu wa kususa hovyo. 6. Unajitetea sana 7. Bado una utoto wa...
  2. L

    Hongera Lema kwa kuiacha familia yako Canada maana Arusha sasa iko moto

    Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya. Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako halafu hapo hapo unatangaza kugombea tena kama sio uchizi ni nini. Unawaambia watu huwezi kwenda...
  3. Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

    Eti? Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili? Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au hata mechi pendwa za soka..... ukibadili channeli watoto hao wanakukimbia sebuleni unabaki mwenyewe...
  4. T

    Uzinzi umeharibu maisha ya familia yetu

    Wakuu bila shaka mnaendelea vyema. Tumezaliwa watoto wanne , mimi nikiwa wa tatu. Mtoto wa kwanza ni wa kike yeye aliolewa wakati wa ukuaji wangu hivyo sifahamu sana kuhusu kumhusu. Kaka yangu alikuwa ni kipanga tangu darasa la kwanza hadi la saba hakuwahi kutoka top 3, alivyomaliza la saba...
  5. Kwanini familia ya Kikwete inapendekeza mishahara kwa wake wa viongozi wakati tayari wengi wao wako serikalini?

    Moja kati ya makosa makubwa yaliyowahi kufanyika nchi hii ni kumpa Jakaya Kikwete madaraka ya uraisi. Pamoja na mapungufu makubwa aliyoonyesha kiungozi bado aliingiza familia nzima katika urais huku wakipigana vikumbo kutafuta fursa na kujipenyeza. Mengi yanajulikana, lakini kinachoniuma zaidi...
  6. Katibu Tawala aliyeiba mafuta anabebwa na familia ya Kikwete

    Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete. Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo...
  7. Mtu yoyote aliyewahi kuishi na mwanamke/mwanaume na kuunda familia Hawezi kuwekwa katika Kundi la Kataa Ndoa

    Kwema Wakuu! Vijana wa siku hizi wamechanganyikiwa mno. Hata vitu vidogovidogo kama maana ya maneno au dhana hawajui. Mathalani, Neno "Ndoa". Kuishi na mwanamke au mwanaume kiunyumba kwa lengo la kuunda familia ndio tafsiri sahihi ya Ndoa. Ndoa ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke kuishi...
  8. Sheria inasemaje kiongozi wa juu akiwa mahututi? Je, familia inaweza kumzuia nyumbani?

    Suali hilo limenijia baada ya mkuu wa majeshi mstaafu, Captain Mabeyo aweke wazi hali ilivyokuwa kabla na baada ya kifo cha raisi wa awamu ya 5, John Pombe Magufuli. Sehemu iliyonipa hisia ni pale ambapo Serikali kupitia vyombo vya usalama viliona visitangaze kifo chake kabla ya familia yake...
  9. R

    Ni kigezo gani hutumika na viongozi wa kitaifa kutoa pole kwa familia iliyoondokewa na mpendwa wao?

    Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya kijamii anapaswa kuzingatia vigezo gani? Je, anapotumia barua rasmi ya Ikulu kutoa pole utumia...
  10. Binti aliyetelekezwa hospitali na familia yake

    Ni video ya dk kadhaa binti akihojiwa na kuelezea mkasa mzima wa maradhi yaliyomkumba mpaka kufikia hatua ya kutelekezwa hodpitali na familia yake nzima bila uangalizi. Inahuzunisha na kusikitisha sana. Somo la siku zote: Wengi tunaocheka nao na kufurahi nao tukiwa wazima wa afya, au wazima...
  11. M

    Baadhi ya ndugu wauza nyumba ya familia Kariakoo iliyokuwa na waqfu. Mapanga yatembea nje nje

    Nimeona video inatrend ya ugomvi mkubwa wa nyumba ya urithi Kariakoo mtaa wa Manyema. Nyumba hiyo ya ghorofa 5 ilijengwa na mzee anaeitwa Mohammed Alidina ambae alifariki miaka kazaa iliyopita. Mzee huyo wakati akiwa hai alitoa sehemu ya nyumba hiyo. Floor ya juu itumike kama madrassa na...
  12. Vijana wanakufa kwa ajali za bodaboda kila siku. Serikali haina taarifa au kwakuwa wahanga ni familia za kimaskini?

    Sina mambo mengi Hali ni ngumu, kila siku unasikia misiba huku na kule. Nazungumzia hii misiba ya bodaboda, serikali iko kimya kama hamna kinachoendelea. Je, serikali haina taarifa ya misiba hii ya bodaboda au haijali kwakuwa wahanga ni familia maskini?
  13. Ni nani mwenye haki ya mirathi katika familia?

    Za asubuhi wapendwa, hope nyote mu wazima wa afya, na kwa wale wagonjwa Mwenyenzi Mungu awafanyie wepesi. Hapa mtaani kuna mama amerehemika, huyo mama ameacha mume na watoto 3. Mali zote alizokuwa nazo huyo mama kawarithisha wanawe, yaani mume mtu kaambulia pangu pakavu. Kumetokea mvutano wa...
  14. Ndoa ni lazima kwa watu wanaotaka kuwa na familia na kizazi Bora, ila kizazi cha mbwa au nyoka Ndoa sio lazima

    NDOA NI LAZIMA KWA WATU WANAOTAKA KUWA NA FAMILIA NA KIZAZI BORA, ILA KIZAZI CHA MBWA AU NYOKA NDOA SIO LAZIMA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kama hutaki kuzaa watoto na kuwafanya wawe watoto bora wenye malezi ya Baba na Mama. Basi kwako Ndoa sio lazima. Ndoa sio ishu ya Sex pekee. Sex...
  15. R

    Familia ya Mramba ni waajiriwa wa TANESCO au ni wanahisa?

    Kuna hawa wafu wanaitwa Mramba, kila likitokea tatizo la umeme lazima wajitokeze mbele na stori nyingi zisizobadilika. Ningependa kufahamu hawa ni wamiliki wa TANESCO au wanahisa au wamesomea sana umeme na kwamba bila wao umeme hautakuwepo Tanzania? Kuna siri gani kati ya familia ya Mramba na...
  16. Kwanini NSSF hawatoi Fao la uzazi kwa Mwanaume ambaye anajukumu la Kulea Familia?

    Malalamiko ni mengi juu ya utoaji wa fao la uzazi, Hivyo tunataka kujua kwanini wanao nao wasipewe Fao hili Kwasababu ndio manajukumu kubwa la kulea Familia hivyo wanahitaji Fao hili ili kuwawezesha Nao kuweza Kukimu uzazi na baada ya Uzazi na maisha kipindi cha uzazi kiujumla
  17. B

    Tuige Mfumo wa Kifamilia kama Waarabu na Wahindi, Tutafanikiwa kama Familia na Taifa kwa Ujumla

    Nimeishi kwenye jamii za Hawa watu Takriban miaka 8 sasa. Nimefanya nao kazi za Maofsini na za Nje ya ofisi yaani za kijamii na Uchumi. Pamoja na changamoto nilizoona ktk familia zao na mfumo mzima wa maisha yao lakini bado kuna nafuu sana ukilinganisha na ya kwetu sisi watu weusi. Hizi jamii...
  18. Dar: Polisi wamsaka Mganga aliyelewesha Watu 16 wa familia moja kisha kuwaibia

    Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la mtu mmoja aliyejifanya mganga wa jadi huko maeneo ya Mji mwema, Kigamboni, Dar es Salaam kwa kuwanywesha dawa inayodhaniwa kuwa ni sumu na kuwalewesha watu 16 wa familia moja na baadae kuwaibia simu. Tukio hilo limetokea tarehe...
  19. Maswali muhimu ya kumuuliza Mpenzi wako kabla hamjafikia hatua ya kuoana

    Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo. Ulipaji Bili zetu utakuwaje? Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje? Una madeni yoyote na yanalipwaje? Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
  20. Ndugu wajitafakari wanapotaka kutembelea watoto wao wenye familia

    Ni meshindwa kuweka kichwa cha habari vizuri ila mtaelewa kuhusu mada hii. Kijana anapoingia kujitafuta na mwenzake pande hizo mbili mnageuza studio p funk majani kila mtu kuja ijalishi mwenzenu ana vyumba vingapi. Kuna kijana hapa bodaboda ana chumba kimoja yani katembelewa na mama mkwe ,dada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…