falsafa

  1. JamiiForums Tanzania Safari ya Akili Huru: Tafakuri ya Maisha, Fikra na Uhuru wa Ndani

    SAFARI YA AKILI HURU: Mwaliko wa Kufikiri kwa Uhuru Na: Mwandishi Wako Swali hilo, japo rahisi kwa matamshi, linatetemesha msingi wa maisha ya kila mmoja wetu. Lakini kwa bahati mbaya, wengi wetu hatupendi kujiuliza. Tunashughulika, tunakimbizana, tunatii... ila hatufikiri. Karibu sana...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Falsafa na Maadili Yanasaidia Nini Kama Wenye Nguvu Hufanya Watakavyo?

    Katika dunia ya leo, ambapo wenye mamlaka hupuuza kanuni na kupata wanachotaka, mtu anaweza kujiuliza. Je, falsafa na maadili yana maana yoyote? Ikiwa ukweli haubadilishi matokeo, kwa nini basi kuushikilia?. Dhana ya “mwenye nguvu ana haki” ni moja ya kauli zinazopingwa mapema kabisa katika...
  3. JamiiForums Tanzania Falsafa ya jamii na uongozi

    "Pale ambapo taifa linashuhudia kuibuka kwa wanasiasa na viongozi wa dini wenye hulka ya kuropoka, kueneza uongo, na kuchochea hisia bila mantiki, huo ni uthibitisho wa kuwepo kwa changamoto ya afya ya akili katika jamii. Endapo hali hii haitadhibitiwa kwa maarifa na maamuzi magumu, ipo hatari...
  4. JamiiForums Tanzania Uzi wa nukuu mbali Mbali Za wasanii, Wanasiasa, Wagunduzi, Wanafalsafa

    Habari wakuu. Uzi huu ni kwajili ya Quotes Mbali Mbali Kwa watu mashughuli duniani ambao bado wapo Hai na wengine waliotangulia kwenye ulimwengu mwengine.
  5. JamiiForums Tanzania Falsafa ya Mafanikio

    "Utukufu wa sasa usikufanye kusahau mikono iliyoijenga misingi ya mafanikio yako." Alloyce, P.R.
  6. JamiiForums Tanzania Falsafa ya uzembe wa kiroho: Mambo yanayoharibu maisha ya watu bila wenyewe kutambua mapema

    Kuna namna mtu huharibika polepole. Hakuruki shimoni — anateleza kwa utulivu. Na hilo ndilo tatizo kubwa zaidi. Karibu kwenye tafakari ya kina kuhusu hali inayowaathiri watu wengi — bila hata wao kujua. 1. Maisha kwa Mkopo: Matumizi Mengi, Maumivu ya Kijinga Leo hii, watu wanaishi kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Martha Karua na Falsafa ya Wagombanapo ndugu!

    Adabu. Niruhusuni mimi nitumie neno "kiasi" kuelezea utovu wa adabu na ukosefu wa nidhamu wa kuingilia mambo ya kifamilia ya familia nyingine na kudai hiyo ni "haki". Kuna tofauti kati ya upumbavu na hekima na yaonekana baadhi yetu somo hili bado ni gumu kwetu. Moja ya tabia za wakoloni wa babu...
  8. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Mijadala ya Falsafa ya Maisha baina ya Waafrika Inanipa Wasiwasi Tofauti Yetu na Sokwe ni Kwamba Sisi Ni Sokwe Tuliochangamka

    Tangu nilipoanza kujitambua na kupitia misukosuko ya utu uzima, nimejikuta nikivutwa na hitaji la kutafakari maisha ya binadamu kiujumla — si kwa mtazamo wa mafanikio binafsi, bali kwa namna ambavyo maisha yetu yameumbika kama jamii, kama viumbe wenye akili. Maswali haya yamekuwa yakijirudia...
  9. JamiiForums Tanzania Nini hasa falsafa ya Rais Samia

    Kila awamu za utawala wa Rais una falsafa zake za kiuchumi Ila Kwa Sasa naona tunajiendea kama ng'ombe anapelekwa Vingunguti machinjioni 1 Mwalimu JK Nyerere_ Ujamaa na kujitegemea Nyerere ndo Rais wa awamu ya Kwa kwanza alipokea Taifa likiwa changa kutoka Kwa mkoloni Falsafa yake ilikuwa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu anatekeleza kwa Vitendo Falsafa ya 'Uasi' iliyoasisiwa na Mwalimu Nyerere

    Picha kwa hisani ya: Mwananchi: https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/matukio-kumi-ya-uasi-wa-mwalimu-nyerere-3805830 Tutake tusitake, sasa ni wazi kwamba, kupitia ajenda ya "No Reform No Election" Tundu Lissu anatekeleza kwa Vitendo Falsafa ya "Uasi" iliyoasisiwa na Mwalimu Nyerere...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Wenye Imani za Kikristo na Kiislamu, Mlijengaje Imani Zenu? Mimi hata Upagani Umenishinda; Nifanyeje Kumuona Mungu Mnayemuona?

    Dini zote zinaegemea juu ya udhaifu wa binadamu wa kufikiria na kukubali hali ya kutokuwepo baada ya kifo. Lakini ni nini hasa kinachotufanya tusikubali wazo la kutoweka bila alama yoyote? Je, ni woga wa kutokuwa na maana, au ni hitaji la kufarijika kwamba kuna mwendelezo wa safari hii baada ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kesi Dhidi ya Dini: Mtazamo wa Kiakili

    1. Uvumbuzi wa Dini na Wanadamu Dini imekuwepo kwa maelfu ya miaka, lakini hakuna dini moja ambayo imewahi kutawala imani za wanadamu wote kwa ujumla. Kila jamii imeunda miungu, hadithi, na maandiko yake matakatifu, jambo linaloonyesha kuwa dini ni uvumbuzi wa binadamu badala ya ukweli wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  14. JamiiForums Tanzania Falsafa ziongozayo maisha ya Wayahudi

    Falsafa inayowaongoza Wayahudi imechangiwa na mafundisho ya kidini, kitamaduni, na wanafalsafa wakuu wa Kiyahudi kwa historia yao. Baadhi ya falsafa na mawazo yanayowaongoza Wayahudi ni kama ifuatavyo: 1. Uungu na Uumbaji: - Wayahudi wanaamini kwa Mungu mmoja aliyeumba ulimwengu na kuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Ado: ACT imejiridhisha maridhiano yaliyoahidiwa na Rais Samia yamesambaratika na falsafa yake ya 4R imeota mbawa

    ADO SHAIBU: RAIS SAMIA AJITATHIMINI Maazimio ya Halmashauri Kuu Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya Chama). Kikao hicho kilipokea...
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Maelfu washiriki 'Generation S Samia Jogging'

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Mhe. Jabir Shekimweri amesema Mbio za Gen S Samia Jogging ni Mbio za Falsafa zenye kizalendo kwani vijana hao wameweza kuona mbalimbali ambayo imejengwa katika Mji wa Dodoma na Serikali ya awamu ya sita ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mhe. Shekimweri ameyasema...
  17. JamiiForums Tanzania FALSAFA #1

    FALSAFA #1 : Anaandika mwanafalsafa mmoja ya kwamba, Katika hii dunia hakuna kitu kikubwa,kushinda mtu Na ndani ya mwanaume hakuna kitu kikubwa kinachoshinda FIKRA na UFAHAMU NENO Hapo mwanzo kulikua na Neno,naye Neno alikua kwa Mungu, Na huyo neno alikua Mungu. Pasipo yeye hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania Fahamu falsafa ya Order out of chaos inayotumika kuleta utaratibu mpya baada ya machafuko

    Habari zenu waungwana..... Order Out of Chaos (au Ordo ab Chao ) kama ilivyosemwa kwa Kilatini, ni moja ya kauli maarufu na Kauli hii ina maana kwamba mgogoro au machafuko yanaweza kutumika kama njia ya kuleta "utaratibu" au "mabadiliko" ambayo ni yenye manufaa kwa wale walio katika madaraka...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Mwimyi: Falsafa za Baba wa Taifa zinatekelezwa kwa vitendo

    RAIS MWINYI : FALSAFA ZA BABA WA TAIFA ZINATEKELEZWA KWA VITENDO. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kuwa kaulimbiu ya Mbio za Mwenge mwaka huu imeonesha umuhimu kwa Taifa linalohitaji maendeleo, sambamba na kuwa na mazingira endelevu...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa - Tekelezeni kwa vitendo falsafa ya 4r za Rais Samia

    06 September 2024 SEMINA ELEKEZI KWA VIONGOZI WAANDAMIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI 2024 https://m.youtube.com/watch?v=jsMEnkMCoc4 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka maafisa waandamizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Tanzania na viongozi wa vyombo vya usalama wa Wizara hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…