fake

Fake news is false or misleading information presented as news. It often has the aim of damaging the reputation of a person or entity, or making money through advertising revenue. However, the term does not have a fixed definition, and has been applied more broadly to include any type of false information, including unintentional and unconscious mechanisms, and also by high-profile individuals to apply to any news unfavourable to his/her personal perspectives.
Once common in print, the prevalence of fake news has increased with the rise of social media, especially the Facebook News Feed. Political polarization, post-truth politics, confirmation bias, and social media algorithms have been implicated in the spread of fake news. It is sometimes generated and propagated by hostile foreign actors, particularly during elections. The use of anonymously-hosted fake news websites has made it difficult to prosecute sources of fake news for libel. In some definitions, fake news includes satirical articles misinterpreted as genuine, and articles that employ sensationalist or clickbait headlines that are not supported in the text.Fake news can reduce the impact of real news by competing with it; a Buzzfeed analysis found that the top fake news stories about the 2016 U.S. presidential election received more engagement on Facebook than top stories from major media outlets. It also has the potential to undermine trust in serious media coverage. The term has at times been used to cast doubt upon legitimate news, and former U.S. president Donald Trump has been credited with popularizing the term by using it to describe any negative press coverage of himself. It has been increasingly criticized, due in part to Trump's misuse, with the British government deciding to avoid the term, as it is "poorly-defined" and "conflates a variety of false information, from genuine error through to foreign interference".Multiple strategies for fighting fake news are currently being actively researched, and need to be tailored to individual types of fake news. Effective self-regulation and legally-enforced regulation of social media and web search engines are needed. The information space needs to be flooded with accurate news to displace fake news. Individuals need to actively confront false narratives when spotted, as well as take care when sharing information via social media. However, reason, the scientific method and critical thinking skills alone are insufficient to counter the broad scope of bad ideas. Overlooked is the power of confirmation bias, motivated reasoning and other cognitive biases that can seriously distort the many facets of immune mental health. Inoculation theory shows promise in designing techniques to make individuals resistant to the lure of fake news, in the same way that a vaccine protects against infectious diseases.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Siri zimevuja kuna wimbi la account fake mpya za wanafunzi wa chuo mitaondoni lazima tujiulize hivi kweli tumefika hapa sisi ?

    :
  2. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kumtrace mtu kupitia instagram au x/twitter ikiwa alijiandikisha kwa account fake

    Kama mtu ajiandikisha Instagram kwa account fake au twitter kwa account fake na hajaweka details zake zozote je inawezekana kumpata ikiwa serikali inamtafuta? Inampataje kwa njia gani? Na kama alipost kitu akiwa anatumia VPN je inawezekana pia kumpata?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza

    Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza. Hamtaweza kusingizia TEC, Chadema wala Diaspora. Tatizo la yote ni moja tu HAKI bila kuweka utaratibu wa kupata HAKI yote mnayofanya ni bure. Mazoea ya kujidanganya yamefika mwisho
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kukwepa aibu: Sefue, Chande na Mwema jitoeni kwenye tume fake

    Kukwepa aibu: Sefue, Chande na Mwema jitoeni kwenye tume fake. Kesho CNN wanatoa report yao ya mauaji Dunia nzima. Je ni nani atawapa viza, nani atawapa kazi za kimataifa na mtabaki kuonekana ni machawa na kuvunja heshima zetu mlizojenga kwa muda mrefu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mikopo imegoma kwa serikali fake: Uza uza ya rasilimaji inakuja

    Mashirika ya kukuposha yamegoma sasa nchi kama China zimekaa mkao wa kula. Zinasubiri Mama na familia yake waende kupiga magoti na kuomba pesa za miradi yao hasa ile ya kifisadi. Hivyo tutaona uuzaji wa bandari ya bagamoyo, mbuga, migodi, haki za uchimabji wa mafuta, uendeshaji wa airport ...
  6. JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  7. T

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali ya CCM inaandaa Maridhiano na Gen-Z fake

    Kuna fununu kuwa Serikali fake ya CCM inakuja na mkakati wa kuwa na maridhiano na Gen-Z waliandaliwa na CCM, hili kuonesha kuwa Gen-Z wamemkubali Samia kama raisi. Tuwe makini na uongo wa CCM
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Katuga tangu alivyodanganya mahakama eti video ilichezwa Kisutu akapotea jumla

    Tusiwe wepesi wa kusahau, maana yale yalikuwa ni mauaji makubwa
  9. JamiiForums Tanzania Kama ulimsikikiloza Pasacall Mayalla utajua ukweli wa siasa na ukweli wa I'd fake za hapa JF !

    Watanzania ni watu wajinga Sana Ila pia ni wanafiki sana . Pascall Mayalla aliwahi kuzungumzia hii issue kwa urefu kuwa . Watakusifu unapoikosoa Serikali Ila ukikamatwa hawana habari na wewe. Ndo hawa hawa vilaza wamejazana humu na I'd fake wakitukana matusi na kumbeza Pascall Mayalla ...
  10. JamiiForums Tanzania Daktari feki aliyekamatwa Muhimbili aibukia tena Amana kutapeli watu. Huyu hapa akiwa amebananishwa

    Wakuu, Yaani huyu jamaa bhana hata kujieleza hawezi. Amejikanyaga sana. Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana inamshikilia Daktari feki anayejulikana kwa jina moja Mussa aliyetaka kuwatapeli Wagonjwa katika Hospitali hiyo. Mgonjwa mmoja aligundua kuwa Daktari huyo ni feki ndipo akaamua kuujulisha...
  11. JamiiForums Tanzania Alianza Kiboko ya Wachawi sasa Tony Kapola naye kuwadharau "Wajinga wanaoamini kwenye Manabii Fake"

    Habari za Sabato! Kiboko ya Wachawi aliwapa wapumbavu haki yao kikatiba kama asemavyo Malisa. Naona Tony Kapola naye kawatukana majitu majinga anayoyalia pesa au yanayoliwa pesa na Manabii wa mchango. Kapola ni wachungaji wa mchango hilo hata yeye analijua na mara nyingi anakiri hilo kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania How North Korean IT Workers Use Fake Identities to Get Remote Jobs and Fund the Regime

    How North Korean IT Workers Use Fake Identities to Get Remote Jobs and Fund the Regime In the era of remote work and global freelancing, a hidden cyber operation is quietly thriving — one in which North Korea has strategically positioned IT workers around the world to earn foreign income using...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kununua Spare Part Fake? Iliathiri Gari Lako Vipi?

    Wakuu habari zenu. Napenda kuanzisha mjadala kuhusu changamoto ambayo naamini wengi wetu ambao tunamiliki magari, au tunashughulika na magari, tumeikumbana nayo angalau mara moja – kununua spare part feki. Iwe ni kwa kukosa uelewa, kwa kushawishiwa na mafundi, au kwa sababu ya bei kuwa ndogo...
  14. JamiiForums Tanzania Binti! Jioneshe kwa uhalisia wako! Be natural! Don't fake life! Utaishia kwa fake guys!

    Leo kama zilivyo siku nyingi natumiaga pia usafiri wa umma. Leo nikapanda daladala za mlandizi wakati mimi natelemkia katikati kabla ya kufika mpaka wa Dar na Kibaha. Si unajua kwa mtu anayejielewa kubana matumizi?😏 Pale nilipopanda Mbezi mwisho, alipanda mdada mmoja umri wake yuko chini ya 20...
  15. JamiiForums Tanzania Trump Mzee wa Distraction: Alisambaza Fake News kwamba Biden ni Clone (Biden wa kweli alikufa 2020)

    Wanakati huku zinakuja News kwamba fortune (Utajiri wa Trump) umeongezeka mara mbili ndani ya mwaka na kwamba alikuwa rafiki wa karibu na molester wa vibinti vidogo Jeffrey Edward Epstein ; Trump akaamua kupost kwenye Platform yake kwamba Biden huyu aliyepo ni Clone... Kweli dunia ya sasa the...
  16. JamiiForums Tanzania Wazee wa Toyota easy to maintain. Mmeona kiwanda chenu vingunguti? Spare fake kibao

    Wananzengo habari, Jana mkuu wa mkoa wa DSM alikuwa kwenye magodauni vingunguti ambapo wamekuta viwanda vya kutengeneza spare za TOYOTA na NISSAN. Ina maana ukienda kariakoo au mitaani spare zinatoka pale na mafundi wanawaambia hii original. Navyojua hakuna spare original bei rahisi. Endeleeni...
  17. JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi wa kizazi Cha sasa(2000+) wanafake sana maisha ?

    Wakuu Habari yenu? Hapa Nina Uzi Wenye swali moja tu lakizushi.Hivi kwanini vijana wengi WA kizazi Cha sasa(2000+) wanafake sana maisha ? . Hasa kwenye social medias. zipi ni sababu kuu za hii tabia na je kufake maisha kunawapa faida gani?.Maana kwenye social medias Kila kijana anayejipost...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Inawzekana Bongo kuna breed ya fake human beings na breed ya real human beings huku fake wakiwa ndio majorly

    Hii ni baada ya kusikiliza kauli za watu fulani kupitia mikutano ya waandishi na zaid baada ya kusikia kauli za watu fulani kule mjengoni siku ya jana. Ningekuwa na uwezo na mamlaka, hii breed ningeinyunyizia dawa kama nafanya fumigation kuangamiza vimelea vya magonjwa visiendelee kuzaliana...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hashimu Spunda na mpango kazi wa Rais Samia na CCM kutengeneza upinzani FAKE. Je, Watanganyika watang'amua hili?

    Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama. CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…