Mnamo 17 May, 2023 klabu ya Mamelodi Sundowns ilitangaza kwenye mechi ya MAMELODI vs WYDAD AC kuwa Mashabiki watakaovaa jezi za Sundowns watapatiwa tiketi bure yaani tiketi itakuwa ni jezi ya njano katika uwanjani wa Loftus Versfeld.
Baada ya Mamelodi kutangaza hivyo hakuna Mwandishi au Media...