ezekia wenje

Ezekia Dibogo Wenje (born 2 October 1978) is a Tanzanian politician and part of the CHADEMA center-right political party in Tanzania and Member of Parliament for Nyamagana constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Mr-Njombe

    JamiiForums Tanzania Hakuna mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA Taifa nje ya Tarime anaweza kumpigia kura John Heche nafasi ya Makamu Mwenyekiti

    Heche anajulikana kwa ubinafsi, huku hekima na busara vikimpitia pembeni kama ilivyo kwa Lissu. Lakini pia ni Heche ni muoga sana field ukilinganisha na majigambo yake kwenye mikutano au press. Ana maadui wengi zaidi chadema sambamba na Tundu Lissu anaeona kila mjumbe wa mkutano mkuu chadema au...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA tumefika hapa tulipo (kwenye mtanziko) kwa sababu ya Wenje

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche, amemshutumu Ezekia Wenje, akidai kwamba hali ya sasa ya chama imechangiwa na hatua zake. Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA Akizungumza na wanahabari katika mkutano uliofanyika leo, Jumapili Januari 5, 2024, katika...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje: Wapambe wanawagombanisha Mbowe na Lissu

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza, amesema wapambe ndio wanaosababisha migogoro kati ya Freeman Mbowe na...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje: Siwezi kununa Lissu akiwa Mwenyekiti CHADEMA

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza. Soma, Pia: Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje awajia juu wanaotukana adai "Tuweke akiba ya maneno"

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kanda ya Victoria na Mtia nia wa nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa chama hicho bara Ezekia Wenje akizungumza na wanahabari siku ya Ijumaa Januari 3, 2025 mkoani Mwanza, amesema; "Chama (CHADEMA) ni kikubwa kuliko mtu yeyote, hii dunia wote...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

    Wakuu, Lissu anaongea club house sasa hivi kujibu hoja za wenje na kuongelea mambo mengine. Kati ya aliyosema ni kuwa hajawahi kumtuma Wenje kuhusu madai yake kabisa na kwamba ni uongo. Lakini pia hajawahi kutoa doc za madai yake kwa abdul ili amsaidie kufatilie madai yake. Pia soma: Pre...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wenje: Nilikutana na Abdul mara ya kwanza kwenye tafrija na kumuuliza kwanini serikali ya mama yake hailipi fidia ya Lissu, alisema angesaidia alipwe

    Wakuu, Kwahiyo Abdul ni nani serikalini hadi aanze kumhoji kuhusu serikali kushindwa kumlipa Lissu pesa za matibabu? Yaani anaenda kupull strings kama nani? Naona Wenye anatumia nguvu nyingi kujaribu kujiosha. Kwahiyo usiku huo alikuwa amempeleka Abdul kwa Lissu akiwa na hela za matatibabu...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njia nyeupe kwa Ezekia Wenje makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

    ikiwa hali ya kisiasa nchini na mipango mikakati kuelekea uchaguzi mkuu 2025 itakwenda kama ambavyo iko hivi sasa, basi ni dhahiri mgombea makamu Mwenyekiti Chadema taifa atabaki Ezekia Wenje pekee.. Je, ni ishara ya pumzi mpya, fikra mpya, mawazo mapya, harakati mpya na zama za hayati Chacha...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nia ya Ezekia Wenje CHADEMA kisiasa, ni kama sauti ya mtu aliaye nyikani tengenezeni njia, yanyoosheni mapito yake ni mwana mageuzi mwema

    Ni mwanamikakati makini mwenye dhamira, nia na maono ya mbali sana, anayejua siasa za Tz vyema na kusoma alama za nyakati vizuri sana. Naona amejipanga, ameanza vizuri kwa kutaratibu na anakuja vizuri mno kwenye safu ya juu ya uongozi chadema kitaifa. Ni muungwana asie mbishi wala...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa aliyoisambaza kwa vyombo vya habari. Makamu Mwenyekiti wa sasa wa Chadema ni Tundu Lissu, ambaye kama ataitaka tena nafasi hiyo basi atalazimika kupambana na Wenje na wengine watakaojitokeza. Tunatoa wito kwa Wanachama wengi zaidi kujitokeza kuwania nafasi za Juu...
Back
Top Bottom