eric shigongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

    Licha ya kufeli darasa la saba, mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanikiwa kuhitimu chuo kikuu akiibuka mwanafunzi bora aliyefaulu kwa kiwango cha juu zaidi. Kabla ya kwenda chuo kikuu, anasema alijifunza lugha ya Kiingereza mtaani, kama wengine wanavyojifunza lugha ya makabila. Shigongo...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bungeni : Eric Shigongo ampongeza Spika Ndugai kwa kuliletea heshima kabila la Wagogo

    Mh Shigongo ametoa pongezi hizo za kukata na shoka alipopewa nafasi ya kuchangia bungeni . "Mh Spika mimi nilidhani kazi kubwa ya Wagogo ni kujipanga barabara na kuuza maji tu , kumbe nilikuwa sielewi kwamba tunaweza kuwa na kiongozi bora kutoka huko " Chanzo : EA RADIO
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Eric Shigongo, njoo hapa nikufundishe maana ya vita ya kiuchumi

    Bahati nzuri nina kipaji cha ualimu ingawa mimi ni Askari kwa fani. Vita ya kiuchumi maana yake ni mgongano wa kiuchumi unaotokea baina ya mataifa mawili. Wakati mwingine msuguano huu unaweza kutokea baina ya mataifa mengi lakini yenye pande mbili zilizoungana direct or inderect zenye nguvu...
Back
Top Bottom