emmanuel tutuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Gavana wa BoT- Emmanuel Tutuba: Kiwango cha akiba yetu ya fedha za kigeni kinatosha uagizaji wa huduma na bidhaa kutoka nje kwa zaidi ya miezi 4.8

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imebainisha kuwa kiwango cha akiba ya fedha za kigeni nchini kimeendelea kuimarika na kufikia uwezo wa kuagiza bidhaa na huduma kutoka nje kwa kipindi cha miezi 4.8, kiwango ambacho kiko juu ya matakwa ya kisheria ya nchi. Hayo yameelezwa leo Juni 12, 2026, na Gavana...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania Gavana wa Benki Kuu, Tutuba: Kuimarika kwa Uchumi Kumechangia Riba ya BoT Kusalia 5.75%

    Benki kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza riba mpya kwa robo ya nne ya mwaka 2025 kupitia kamati ya sera ya fedha imesema kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) inasalia asilimia 5.75 katika robo ya nne ya mwaka inayoanza Oktoba hadi Desemba,2025. Kiwango cha Riba cha Benki Kuu (CBR) huwa kinatumika...
  3. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Gavana wa BoT: Deni la Taifa ni Tsh Trilioni 100, linazidi kukua japo bado linahimilika

    Wakuu, Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba akiwa anazungumza kwenye mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Florian Kaijage amekiri kuwa deni la taifa hilo linazidi kukua ila bado lipo chini ya ukomo wa uwiano wa deni la taifa na pato la taifa unaokubalika kimataifa wa asilimia...
  4. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Tanzania yazindua Noti Mpya toleo la 2010 zenye Saini ya Waziri Mwigulu Nchemba na Gavana Emmanuel Tutuba

    Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010, zitaingia kwenye mzunguko kuanzia tarehe mosi Februari mwaka huu. Gavana Tutuba amesema hayo wakati...
  5. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Mitihani mikuu mitano kwa gavana mpya wa BOT – Emmanuel Tutuba

    Kwanza kabisa, Tanzania tumekuwa tukipata magavana wa benki kuu ambao walibarikiwa kuwa na taaluma nzuri kwenye masuala ya kiuchumi, na pia upande wa sheria kwa kumuangalia Prof Luoga ambaye amemaliza muda wake. Hawa magavana ni watu walikuwa very intelligent, lakini pamoja na kuwa ‘very...
  6. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Tutuba ateuliwa na Rais Samia kuwa Gavana wa Benki Kuu (BoT)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo; 1) Amemteua Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Bw. Tutuba anachukua nafasi ya Prof. Florens Luoga ambaye amemaliza...
Back
Top Bottom