ELIMU YA BAJETI KWENYE FAMILIA!
Anaandika, Robert Heriel.
Picha linaanza nikaambiwa kwenye maisha hakuna pesa ndogo, sijafika mbali naambiwa nisiidharau pesa yoyote ipitayo mikononi mwangu. Picha linaendelea naambiwa usidharau kazi yoyote Ile ambayo iko mbele yako, siku zote fanya...