elimu

  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Njia mbili za kifikra kati jambo moja na maamuzi sahihi | siasa, ndoa, dini...

    Kupitia jukwaa hili nataka kuwafikishia elimu hii watumiaji wa jukwaa hili la jamii kuhusu NJIA MBILI ZA KIFIKRA KATIKA JAMBO MOJA NA MAAMUZI CHANYA. Kwa ufafanuzi zaidi ili kuleta maana harisi niliyotazamia katika jambo nalotaka kuzungumzia tuchukulie jambo hilo labda ni kosa katika sehemu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Je, ni mfumo wa elimu?

    Vijana wengi hasa wahitimu wa vyuo vikuu wamejikuta katika wimbi zito la ukosefu wa ajira. Siku ya kuhitimu pamoja na kufanya mahafali huwa ni siku nzuri sana na inayopendeza kwa wahitimu, familia zao pamoja na jamii nzima kwa ujumla. Ila wiki chache baada ya kuhitimu ndipo jamii inapokuja...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani serikali ifanye ili iweze kuboresha sekta ya elimu na ajira?

    1. Kubadilisha mfumo mzima wa elimu, kutoka elimu ya mitihani hadi uelewa? 2. Je, ni kutengeneza sera ambazo zitawalinda na kuwasaidia wafanya biashara wadogo? 3. Au kutoa mafunzo zaidi kuhusu biashara na ujasiriamali?
  4. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu, sanaa, michezo na ukombozi wa ajira

    Nina rafiki yangu ninamfahamu tunaishi naye mtaa mmoja, nimecheza naye mpira mara nyingi sana mtaani kwetu, nakiri kusema kuwa katika watu niliowahi kucheza nao mpira pengine yeye alikuwa ndiye mwenye kipaji kikubwa zaidi kuwahi kukishuhudia. Alikuwa anafanya vitu basic kwenye mpira kwa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kutumia elimu kupunguza tatizo la ajira

    Elimu kama kama zilivyo sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla,ni muhimu sana.Jamii nyingi na mataifa mengine yameitumia vizuri na wamefanikiwa sana. Ili elimu yetu iweze kutumika kupunguza tatizo la ajira inapaswa kufanya yafuatayo; (1)Kabla ya kutoa elimu kwa mtoto inapaswa...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Sintofahamu juu ya hedhi na mahudhurio ya wasichana mashuleni

    Takwimu kutoka Shirika la Mfuko wa Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) zinaonyesha kuwa, kila mwezi, takribani wanawake bilioni 1.8 ulimwenguni kote hupata hedhi. Mwanzo wa hedhi kibaiolojia inamaanisha kuwa kuna awamu mpya katika uwezekano wa ongezeko la mwanadamu duniani, yaani upatikanaji wa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mapungufu ya mfumo wa Elimu ya Tanzania yalivyonifanya niteseke kwa zaidi ya miaka 7

    Inawezekana ikawa mfumo wa elimu Tanzania ni mzuri kwa wengine Ila kwangu mimi mfumo huu unamapungufu mengi Na ulinifanya niteseke kwa miaka 7 nikitafuta maisha. Nitasimulia Hadithi ya maisha yangu . Mimi nimezaliwa mkoa wa Kagera ,wilaya Ya Bukoba vijijini.Nimesoma Elimu ya msingi mwaka...
  8. JamiiForums Tanzania Hii hali ni ushamba,ushirikiano au elimu?

    Nimefika wilaya ya ludewa mkoani njombe nimeshuhudia kama sherehe za ndoa nne kila anayepitisha tukio hili lazima akodi gari si chini ya kumi na kwakuwa mji mdogo watazunguka eneo lote la mjini hapo.Kituko wajasiriamali wasiyoalikwa wapo tayari kuacha biashara zao kusindikiza wakiwa wanacheza...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Aibu sana tajiri msomi kama Mengi kushindwa kuandaa succession plan ya utajiri wake. Bakhressa hana elimu ila ameweza

    Habari wadau. Nazani wote tunaona ona ugomvi wa mirathi wa familia ya mengi. Mtu unapata utajiri wa zaidi ya bilion 500 ila unashindwa kuandaa waendelezaji wa mali hizo. Mtu tajiri sana kama Mengi ila unaruhusu watoto wako wanakuwa wakubwa mpaka wanafika miaka 25 ama 30 bila kuoa hata...
  10. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu na ukombozi wa ajira

    “Elimu ni ufunguo wa maisha” nakumbuka huu msemo ndio ulikuwa motto na salamu tuliyotumia kusalimia walimu wetu kipindi niko shule ya msingi Diamond. Kwa kipindi hiko tulitamka maneno hayo kwa kuyaamini kabisa na yalitupa nguvu mno ya kusoma kwa bidii ili baadae tuje kuwa na maisha mazuri. Sasa...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Mtihani wa darasa la saba kisiwe kipimo cha mwisho cha uwezo wa akili kwenye elimu

    Ninachukua wasaa huu kuzungumza na nyinyi ndugu zangu kupitia andiko hili, suala la kupima uelewa wa mtu katika elimu isiwe kwa mitihani hasa kwa elimu ya msingi ambayo Watoto bado wanakuwa na umri mdogo. Kwa hiyo wengi wao wanakuwa hawajatambua ni njia gani watumie katika kusoma ili kufanya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Baada ya kulilia simu

    Bado naukumbuka usiku ule vizuri, nilikuwa nimekaa nikifunikwa na giza nene wakati mshumaa mwembamba ukimulika mwanga mdogo. Muda huo nilijaribu kumaliza chakula kilichopo kwenye sahani yangu nikiomba kimoyomoyo umeme urudi. Akili yangu ikachangamka na nikawatazama baba na mama waliopo mbele...
  13. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi kilimo kilivyobadili maisha yangu

    Guzman ni miongoni mwa vijana wachache wenye umri wa miaka 30 ambaye amefanikiwa sana kimaisha, haikuwa rahisi kwake kijana huyu aliyeanza mapambano ya kimaisha akiwa na umri wa miaka 23 kufanikiwa kama ilivyo rahisi kuandika simulizi hii, ilikuwa ni safari ngumu sana kwa kijana huyu msomi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mabadiliko ya mfumo wa elimu ili kijana wa Tanzania aweze kushindana katika soko la ajira kitaifa na kimataifa

    nipende kuchukua fursa hii kuipongeza sana serikali ya Tanzania KATIKA jitihadaa zake za kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu angalau ya sekondari ili kufukuza ujinga ,hii Ni baada ya kuifanya ELIMU ya msingi na sekondari kuwa bure, lakini ELIMU ya Tanzania bado haijafanikiwa kumkomboa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu yetu

    Kwakuwa nna uzoefu mzuri na wa mda mrefu sasa na bado naendelea kusoma nitoe mtazamo wangu. Mimi ni bint na nasoma kidato cha sita sasa katika elimu yangu nimesoma shule zote za serikali mpaka sasa nilipofikia. Kusoma kwangu kumekuwa na changamoto sana na baadhi niliziona tuu hazikunikuta...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Elimu ya vyuo vikuu Mwanza

    Jiji la Mwanza, la pili kwa ukubwa Tanzania (The second largest City in Tanzania), sifa nyingine ni jiji lililo katikati Kati ya majiji ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, hapa namaanisha Nairobi, Kampala, Kigali, Bujumbura. Kinshasa pote ni karibu kufika jijini Mwanza. ELIMU YA JUU Katika elimu...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Utaoji wa mikopo kwa Wahitimu wa elimu ya juu nchini

    Utangulizi Chagamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu nchini imekuwa ni tatizo sugu ambapo kama lisipotafutiwa ufumbuzi basi linaweza kulitumbukiza taifa katika dimbwi la unyang’anyi na waporaji na kuwa nchi ya wahalifu maana tunaona wasimamizi na watunga sera ambao si tu wamepewa mamlama ya...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Jibu la kitendawili cha tatizo la ajira nchini kupitia mfumo wetu wa elimu

    Tatizo la ajira nchini limekua kitendawili kwa muda mrefu sasa bila ya kupata majibu. Taasisi zetu za elimu hutoa wahitimu wengi ambao hutegemea ajira ili waweze kujikwamua kiuchumi. Takriban kila mwaka watu wanaokadiriwa 800000 huwa tayari kuingia kwenye soko la ajira lakini wanaopata ajira...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Hongera Serikali kwa mikopo ya Halmashauri: Kuwepo na elimu zaidi, ufatiliaji na uboreshwaji wa kanuni wenye kuendana na mazingira na uhitaji

    Utangulizi Mkopo ni fedha zipatikanazo kwa makubaliano ya kuzirudisha (maana kutoka kamusi ya Kiswahili sanifu, toleo la tatu-2014). Lakini kuna mikopo ya thamani kama vile nyumba, magari na ardhi. Mpango wa pili wa Taifa wa maendeleo wa miaka mitano(2016/17-2020/2021), pamoja na malengo...
  20. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Wadau wa wa elimu zingatieni Kalenda ya Mihula iliyotolewa na WyEST kupitia Nyaraka za Elimu Namba 1 na 2 za mwaka 2022

    Tangazo kutoka Wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…