elimu

  1. JamiiForums Tanzania Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani

    Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi. Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado. SO WHAT WE GONNA DO
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Mtaala bora wa elimu hujenga taifa imara

    MTAALA BORA WA ELIMU HUJENGA TAIFA IMARA. DIBAJI. Katika taifa letu kuna ongezeko kubwa la vijana wasio na kazi, wengi wakiitupia lawama serikali kwa uchache wa nafasi za ajira rasmi zinazotolewa,hasa tukilinganisha na idadi ya wahitimu wa elimu ya juu na kati kwa kila mwaka.Hio imepelekea...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu Bora: Kuwekeza Katika Kizazi cha Baadaye cha Tanzania

    Elimu ni ufunguo wa maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inatakiwa kujikita katika kuboresha mfumo wake wa elimu ili kuandaa vijana kwa ajira za baadaye na kushiriki katika ujenzi wa taifa lenye nguvu na mafanikio. Kuboresha elimu kunahitaji mabadiliko...
  4. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dira ya Elimu na ajira kwa wahitimu wa Vyuo Tanzania

    UTANGULIZI Hapa nchini Tanzania kumekuwa na changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wasomi hasa wanaohitimu ngazi ya chuo ambapo wanategemea kuajiriwa kutokana na walichokisomea. Ofisi ya Takwimu Tanzania 2020/21 ilionesha kuwa jumla ya watu 675,899 (2.8% ya watu wenye ajira) ni waajiriwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo ya kuzingatia katika elimu

    Kwa kufikia Tanzania bora zaidi katika elimu ndani ya miaka 5 hadi 25, tunahitaji kuchukua hatua za maana. Tuanze na kuimarisha mfumo wa elimu kwa kuzingatia mambo yafuatayo: Uwekezaji katika Elimu: Serikali na wadau wa elimu wanapaswa kuongeza bajeti ya elimu. Hii itasaidia kuboresha...
  6. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Kutoka Kutegemea Ajira Hadi Kujiajiri kwa Vijana

    Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
  7. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kwa Miaka 5-25 Ijayo - Katika Sekta ya Elimu

    Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho makubwa ni elimu . Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii, ni muhimu kuunda mikakati inayohakikisha...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania hawapendi elimu uzi wa mambo ya scholarships una likes 9 tu

    Nilianzisha uzi wa kupost fursa zote za Scholarships zinazojitokeza katika link hii: https://www.jamiiforums.com/threads/bonus-orodha-ya-full-funded-scholarship-za-kumalizia-mwaka.2170915/ Siajabu mpaka sasa uzi huu una likes 9 tu. Watanzania wapenda elimu rudini mweke likes kwenye huo uzi...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikal ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali

    Ili tuweze kujenga Tanzania mpya katika miaka ijayo inabidi serikali ibadali mtazamo hasa katika suala la elimu licha ya mabadiliko mbalimbali yanayofanywa ili kubadili mtazamo wa vijana ambao ni nguvu ya taifa ikiwemo kuanzisha somo la ubinadamu, Somo hili lifundishe utu, maadili, uzalendo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Vyeti vya Elimu ya Juu kupata mikopo

    Kwa wahitimu wa Elimu ya juu mtakubaliana na mimi kuwa changamoto ya ajira imekuwa tatizo kubwa sana, Serikali, taasisi binafsi wamekuwa wakitafuta njia za kuondosha tatizo ili la ajira.Watu wengi wamehitimu masomo ngazi tofauti lakini baada ya kumaliza ajira zimekuwa ngumu.Taasisi za mkopo...
  11. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mabadailiko chanya katika Sekta ya Elimu

    Kwa miaka kadhaa sasa kumekua na wimbi kubwa la vijana wasomi mtaani wasio na ajira, jambo hili limekua likiwavunja moyo wanafunzi waliopo mashulen kwa wakati husika na kupelekea wanafunzi wengine kukatisha masomo yao kabla ya muda sahihi wa kumaliza shule na kisingizio kimekua ni “ hawaoni...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Tujifunze elimu kwa vitendo ili kupata manufaa makubwa ya elimu ya kisasa

    Elimu yetu inahitaji marekebisho makubwa sana tusiendelee kutoa elimu ya kuchora panzi tu tuendelee kutoa elimu kwa vitendo ili tusiendelee kuwa na vijana wengi waliokosa ajira mitaani. Nilikua naamka usiku wa manane kuchora hii panzi kwa ajili ya mtihani, ila mpaka sasa sijaona application ya...
  13. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo wa elimu wa Tanzania kuua vipaji vya watoto

    Elimu ya Tanzania imekuwa chanzo moja wapo cha kuua vipaji vya watoto ambavyo walikuwa navyo tangu wakiwa wadogo. Kwa mfano mtoto mwenye ndoto ndoto ya kuwa rubani ana haja gani ya kusoma historia ya vita vya kwanza ya dunia. Hii ndiyo hupelekea watoto kuishia kusoma vitu ambavyo havipo kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ni sawa na kushika kiwembe

    Elimu ni ufunguo wa maisha kama walivyosema wadau wa kale katika harakati za kuboresha na kushawishi upatikanaji wa maarifa na ujizi kwa njia ya shule. wazee wetu walipoambiwa elimu ni bora hawakusita waliuza hadi mashamba ili na sisi wanao tuweze angalau hata kuonja elimu bora iliyo na mfumo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Shule za ufundi Tanzania ziongezwe na Elimu ya ufundi ipewe kipaumbele

    Shule za ufundi au technical schools ziongezwe ili kuweza kuwajengea wanafunzi ujuzi na uwezo katoka nyanja mbalimbali ikiwemo baadhi ya ujuzi wa veta kuingizwa katika mitaala ya elimu ya sekondari hii itasaidia kukua kukuza ujuzi wa vijana wamalizao kidato cha nne na kuleta chachu ya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuimarisha Elimu na Mafunzo ya Stadi Za Kazi Kwa Ajira Endelevu Tanzania

    Sekta ya ajira nchini Tanzania inalazimika kukabiliana na changamoto kadhaa, ikiwemo upungufu wa wafanyakazi wenye stadi na ujuzi unaotakiwa katika soko la ajira. Hili limekuwa ndio changamoto kubwa zaidi ambayo inahitqji kuangaliwa kwa umakini mkubwa katika miaka ijayo kuanzia miaka 5 hadi...
  17. JamiiForums Tanzania Fungu la elimu ya Juu Zanzibar

    MDAU MMOJA KAANDIKA TWITTER, WE NEED TO KNOW WHETHER ITS TRUE OR FALSE. LISEMWALO LIPO. 1. Wazanzibar kwenye masuala ya elimu, kule kwao wana fungu la Elimu ya Juu Kwa watu wa Zanzibar na sio mkopo , Lakini Hii mikopo yetu huku HESLB kuna kifungu tena cha Wazanzibar, yaani hiyo fedha ni kwa...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Mataifa 20 yenye elimu bora duniani

    Hivi majuzi tulikusanya orodha ya Nchi 20 Bora zenye Mfumo Bora wa Elimu Duniani na katika makala haya, tutaangalia nchi inayoongoza kwa mfumo bora wa elimu duniani. Mitindo ya Elimu Ulimwenguni Takwimu kutoka kwa ripoti ya Takwimu ya Elimu ya Juu ya Ulimwenguni ya UNESCO iliyotolewa mwaka 2022...
  19. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ni tunu na zawadi kwa vizazi vyetu mitaala ya elimu ibadilishwe

    Kwa maono yangu Tanzania tuitakayo kuna baadhi ya vitu vinahitajika kuongezwa na vingine kuondolewa kwenye sekta ya Elimu. Mfano mitaala ya Elimu ya sasa haimuandai mwanafunzi muhitimu, kupata ujuzi ambao anaweza akauhamisha kutoka kwenye maandishi kwenda kwenye vitendo ili kutatua matatizo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Habari Njema; Nimeidhinishwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Kutoa Elimu ya Fedha

    Rafiki yangu mpendwa, Nimekuwa napenda utajiri tangu nikiwa mtoto mdogo. Nakumbuka niliwahi kumwambia mama yangu kwamba kwenye maisha yangu lazima nitakuwa tajiri. Alicheka na kuniambia ni utoto tu unanisumbua. Nikiwa shuleni nilifuata vizuri ile kanuni maarufu ya NENDA SHULE, SOMA KWA BIDII...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…