elimu ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kulikoni bodi ya mikopo ya elimu ya juu

    Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
  2. Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa pekee ambao Wabunge wake Elimu ya chini Wana shahada/degree. Bila Degree Sahau kuhusu Ubunge huko Kilimanjaro

    Habari za Asubuhi! Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake. Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo; 1. Pesa 2. Elimu 3. Familia. Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
  3. P

    Elimu ya Abbas: Ukweli kufuniliwa kesho kanisani

    Watu wanaalikwa kanisani kwa Gwajima kuujua ukweli kuhusu elimu ya ABBAS. Mwana kulitafuta, mwana kulipana. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nacheka, lakini naogopa
  4. Bodi ya mikopo elimu ya juu(HESLB)

    Habari wanajukwaa, Naomba kuuliza kwa anayefahamu kama bodi ya mikopo inatoa mkopo kwa wanafunzi wa shahada ya udhamili(postgraduate students)?
  5. Kichambo cha Wakenya chasaidia: Kiingereza kuanza kufundishwa kama lugha ya Mawasiliano elimu ya msingi Tanzania

    Tatizo la Watanzania kutoajirika kwenye maeneo mbalimbali duniani limechangiwa sana na mfumo wa Elimu yetu kukitupa Kiingereza kama lugha ya mawasiliano. Kwa waliotembea duniani, lazima tutakubaliana kuwa Nchi ya Kenya imekuwa na Diaspora wengi sana duniani tofauti na sisi kutokana na kukipa...
  6. Naomba kuhoji kuhusu elimu ya Zanzibar

    Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu Hawa wengine naona hamna kitu Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa...
  7. Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

    Kuna Clip inasambaa mitandaoni ikimuonesha prof Mmoja akiongea kiingerereza kibovu. Tuwe serious na aliwahi kutokea jamaa mwingine aliyekua Dr huyu nae kiingereza alikuwa hajui kabisa. Nina mashaka.
  8. TAHLISO yapinga wanaoidharau Elimu ya Tanzania

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewakosoa vikali baadhi ya Watanzania wanaoikosoa na kuidharau elimu ya Tanzania, akisisitiza kuwa taifa lina kila sababu ya kujivunia maendeleo yaliyopatikana katika sekta hiyo, hasa chini ya serikali...
  9. Mtumishi wa BWANA: Setfree umepotelea wapi? nimekumiss!

    Salamu wanajukwaa. Popote ulipo Setfree unaombwa kurudi jukwaani ushushe elimu ya kiimani. Uwepo wako ndio mafanikio ya injili hapa JamiiAfrica. Wewe na mama mchungaji Donatila elimu yenu ni mwanga na baraka hapa jukwaani. Heshima mbele, Nawasilisha. Nomadix
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…