elimu na maendeleo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kupata Maendeleo ya Kweli, Watanzania Lazima Tubadili Mind Set Tuchagie Maendeleo, Afya na Elimu. BMH Hospital Anahitaji 7B!. Tuichangie!.

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Sisi Watanzania tuna utamaduni wa kuchangiana kwenye sherehe au misiba, hivyo ili Tanzania tuweze kupata maendeleo ya kweli, maendeleo endelevu, Watanzania ni lazima tubadilike sio tusichangie sherehe au misiba, bali tubadilike na...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Husda, Chuki, Wivu,Ugomvi kati ya Waislamu wa Shia na Sunni. Na Shia huwadharau Sunni kwa kuwa wao wanaonekana wana Elimu na Akili

    Ugomvi au mgawanyiko kati ya Waislamu wa madhehebu ya Shia na Sunni una mizizi ya kihistoria, kijamii na kisiasa ambayo ilianza mara tu baada ya kifo cha Mtume Muhammad mwaka 632 BK. Mgawanyiko huu si wa kidini tu bali pia wa kisiasa, na unaweza kufupishwa kama ifuatavyo: Chanzo Kikuu cha...
  3. Joachim Samwel Mboya

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu na Maendeleo

    Hapo zamani za kale, kulikuwa na mji mdogo uitwao Brightville. Mji huo ulikuwa na mfumo mzuri wa elimu, lakini viongozi wa mji huo walikuwa na wasiwasi kuhusu ukosefu wa utawala bora na uwajibikaji katika mfumo wa elimu. Walitaka kufanya mabadiliko fulani ili kuhakikisha kuwa mfumo wa elimu...
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Elimu pekee haitoshi kuleta Maendeleo au Mafanikio ya mtu mmoja mmoja

    Watu ukiwasikiliza story zao zimejaa uongo sana. Elimu ya zamani na ya sasa hakuna utofauti wowote nasema, maana jaribu kuwaangalia hao waliosoma zamani, ni mambo gani wamelifanyia hili Taifa? Nchi inakwama kwa kukosa watu wenye akili na fikra pana na sio Elimu, vijana wanalaumiwa bure tu.
Back
Top Bottom