Ni siku 702 tangu Rais Samia Suluhu akabidhiwe majukumu ya kuliongoza Taifa la Tanzania. Katika kipindi kifupi cha uongozi wake ameonyesha utayari wake wa kupunguza au kumaliza changamoto za elimu nchini. Miongoni mwa changamoto kubwa zilizokuwepo ni Upungufu wa madarasa na samani, nyumba za...
Kutokana na tabia yetu ya kutoijali elimu wananchi hatujui kuwa leo ni siku ya kimataifa ya elimu, ingekuwa ni siku ya walevi tungetangaziwa, siku ya wanawake tungetangaziwa, siku ya kuondoa mkonosweta tungetangaziwa, lakini siku ya elimu, acha ipite kimyakimya!
Sote ni mashahidi wa Juhudi Kubwa unazoendelea kuzifanya kuboresha Elimu yetu ikiwemo suala la kuboresha miundombinu ya Shule, Maabara na vitendea kazi.
Hivi karibu Serikali imetoa Fedha kwaajili ya Ujenzi wa Madarasa, Maabara za shule pamoja na madawati ili watoto wetu wawe na mazingira rafiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.