electrical

  1. N

    Natafuta fundi anayejua vizuri Auto electrical au aliyesomea hii kozi ngazi ya cheti au diploma

    Habari wakuu! Nina shida na fundi mzuri wa auto electrical mwenye cheti kwa ngazi ya diploma sio lazima awe vizuri kwa upande wa practical, uzoefu ataupata kazini!! Kama unamjua mtu wa namna hiyo au ni wewe mwenyewe unaweza Kuja dm au comment namba ya simu, nitakupigia
  2. Jamii Opportunities

    Electrical and Instrumental Engineer (KTE) at Taifa Gas August 2025

    Job Opportunity at Taifa Gas: Electrical and Instrumental Engineer (KTE) Taifa Gas is seeking a qualified Electrical and Instrumental Engineer (KTE) to join our team at our Kigamboni, Dar es Salaam, Tanzania location. This role offers an opportunity to contribute to our operations with your...
  3. Engineer izaq

    Sehemu bora ya field Electrical engineering

    Habari, Me ni mwanafunzi wa DIT ktk fani ya Electrical Engineering, kwa sasa Nipo week ya kwnz ya Field hapa Azam(Tazara/Dsm)... ila changamoto ninayo iona apa hakuna zile kazi nikaongeza knowledge hata kdg, mda mwingi tunakaa tu. Naomba msaada sehem bora kwny Field hii ya umeme, niondoke apa!
  4. C

    Je, naweza kujiunga na Diploma ya Electrical Engineering?

    Mimi nimehitimu mafunzo ya ufundi umeme level 3 nilikuwa naukiza kama naweza kujiunga na mafunzo ya electrical engineering ngazi ya diploma
  5. Mparee2

    Ifahamu teknolojia ya Electrical Grid Fauld Detection

    Hii ni technologia inayotambua matatizo kwenye Grid ya umeme kabla hayajatokea. Baadhi ya kazi muhimu za huo mfumo wa Safegrid's Intelligent System (IGS) ni; 1. Kutambua mtambo mchakavu pale unapo onesha tofauti kidogo ya utendaji kazi/uzalishaji wake kwa kutoa taarifa na kuuonesha mtambo...
  6. feyzal

    Msaada : submeter MT electrical

    Habari ya wakati huu wakuu. Samahani naomba msaada anayefahamu zinapouzwa submeter kampuni hii Ya MT electrical nina shida na namba za wauzaji au operator hapa ninapo kaa nimeikuta hii meter na kwa bahati mbaya mwenye nyumba hajui fundi alinunua wapi na hana contact zake sasa sijui hata umeme...
  7. Jamii Opportunities

    Project Electrical Engineer at Derm Group (T) Ltd April 2025

    Job Description Project location : Dar es salaam Nature of project : Substation Responsibilities Design and develop electrical substation layouts and specifications. Perform engineering calculations for equipment sizing and system performance. Oversee construction, installation, and...
  8. Jamii Opportunities

    Electrical Engineer at GSM February 2025

    Position: Electrical Engineer Unit: Projects & Property Reporting to: Project Engineer Duty Station: Dar es Salaam KEY JOB PURPOSE The role is responsible for the design, implementation, and maintenance of electrical systems within various properties and projects. The role will ensure that all...
  9. A

    DOKEZO Chuo cha ICOT-Morogoro cha Wizara ya Ujenzi kinatoa elimu dhaifu na hakilipi wakufunzi

    Habari ndugu zangu, kuna chuo kimoja kinaitwa ICOT hapo mjini Morogoro kipo chini ya wizara ya ujenzi kinatoa course za diploma kwa electrical, mechanical na civil engineering aisee kina changamoto kubwa sana. Chuo hakina wakufunzi wakutosha kwaio wanatumia wakufunzi wa part time ila cha ajabu...
  10. Mike Moe

    Electrical Technician interview TRC

    Poleni na majukumu wanajamii kwa wale ambao mmewahi kupita utumishi kufanya interview ya electrical technician TRC karibu kuchangia interview ilikuaje maswali yalioulizwa pia hata kwa wale mnaoenda kufanya interview siku ya jumamosi mwezi huu tuje kushare madesa tunaikabili vipi interview hii.
  11. Mike Moe

    Kwa mliokuwa Shortlisted (Electrical II) TRC na mliowahi kufanya interview za electrical technician utumishi

    Habari za muda huu ndugu zangu naomba kufahamishwa kama kuna mtu alishawahi kufanya interview za electrical technician utumishi tusaidiane namna ya maswali yanavyokuja katika interview zote tatu written, practical and oral Au pia kwa mtu yeyote mwenye uelewa na interview hizo ruksa kushare...
  12. Mad Max

    Geely Auto wametuletea Electrical Hatcback “Geome” kwa bei ya kuanzia $9,900 tu

    Geely Auto wamezindua Geome EV hatchback itakayokuja katika series mbili na trims tano, kuanzia bei ya $9,900 hadi $14,000 na zikiwa na CLTC range ya kilometa 310 hadi 410. Tukianza na ya 310 km, hii ina battery la 30 kWh kutoka kampuni la CATL, na inatoa power ya 78 hp. Hii kubwa ya 410...
  13. Mad Max

    Supercar kutoka BYD: YangWang U9 zinaanza kufanyiwa delivery hivi karibuni

    Kampuni ya kutengeneza magari kutoka China Build Your Dream (BYD) wametangaza kua wale wote waliolipia (nunua) supercar yao YangWang U9, wakae mkao wa kula, sio muda zinawafikia. Kama haitoshi, kila owner ataona expected delivery date aliyopangiwa katika official App ya YangWang na ikitokea...
  14. Jamii Opportunities

    Electrical Supervisor at Sotta Mining July, 2024

    Position: Electrical Supervisor (1 position ) Position purpose The Role will include planning, design, and execution of electrical layouts in residential and commercial building situations, implementing the install off all electrical aspects.. The applicant must have good communication skills...
  15. Mad Max

    Tanzania Railway Cooperation (TRC) wanahitaji Electrical Tech II na Mechanical Tech II.

    Wakuu. Jana Tar 05 July wametangaza hizo nafasi. Waliosoma Diploma ya izo kozi mapambano yaendelee.
  16. D

    Naomba ushauri kuhusu kozi ya Electrical and Biomedical Engineering

    Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
  17. D

    Naomba ushauri kuhusu kozi ya Electrical and Biomedical Engineering

    Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
  18. Jamii Opportunities

    Electrical Technician – 2 posts at Bagamoyo Sugar Limited

    Position: Electrical Technician Vacancies: Two (2) Workplace: Bagamoyo Date: 08/05/2024 DUTIES/RESPONSIBILITIES Attending plant preventive and corrective maintenance Attending power receiving and distribution (in bothTG, generator and Grid) Attending plant machine inspection Ensure plants is...
  19. daizouh

    Chuo Gani Tanzania kinatoa Master degree in electrical engineering by coursework and dissertation

    Jamani nahitaji kujua chuo kilichopo Tanzania kinachotoa master degree in electrical engineering by coursework and dissertation
  20. Jamii Opportunities

    Electrical Technician at Bonite Bottler Ltd

    Position: Electrical Technician Qualification Applicant should be a holder of VETA level lll/Diploma in Electrical Engineering from a recognized Institution. Key skills & Abilities: Ability to maintain all the electrical equipment to acceptable and approved standards for efficient operation...
Back
Top Bottom