Heshima mbele wakuu,
Binti yangu yupo darasa la saba kwa sasa. Ninaanza kufanya prior arrangement mapema kutafuta shule nzuri ya sekondari kwa mtoto wa kike
Ninachohitaji:
1. Iwe nzuri kitaaluma.
2. Kimazingira.
3. Kimalezi.
I prefer shule inayoendeshwa na taasisi ya kikatoliki. Mtoto anasoma...