Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Laban Kihongosi, amewataka wamiliki na wafanyakazi wa saluni jijini Arusha kufanya kazi kwa bidii, kutunza kipato chao, na kuendelea kuishi kwa mshikamano na amani, hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025.
Akizungumza na wamiliki na wafanyakazi hao...