durban

Durban ( DUR-bən) (Zulu: eThekwini, from itheku meaning 'the port' also called Zulu: eZibubulungwini for the mountain range that terminates in the area), nicknamed Durbs, is the third most populous city in South Africa after Johannesburg and Cape Town and the largest city in KwaZulu-Natal. Durban forms part of the eThekwini Metropolitan Municipality, which includes neighbouring towns and has a population of about 3.44 million, making the combined municipality one of the largest cities on the Indian Ocean coast of the African continent. Durban was also one of the host cities of the 2010 FIFA World Cup.
Durban was formerly named Port Natal due to its position as the chief seaport of South Africa, and its location on the Natal Bay of the Indian Ocean. Durban is a highly ethnically diverse city, with large Zulu, White, and Indian/Asian populations.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani atatuwakilisha 46th SADC Summit, Durban?

    Kama mjuavyo Tanganyika ni moja wa waanzilishi wa SADC. Nani mwakilishi wetu huko 46th SADC Summit, Durban? Je tunaenda na Ndege gani Boeing 787? Airbus 320? Watu wa wizarani ndio wakati wa kwenda kwa maelfu kula per diems za nje ya nchi.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuhudhuria Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, Agosti 17 2026

    Durban, South Africa SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026 Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) itaitisha Mkutano wake wa Kawaida wa 46 wa Wakuu wa Nchi na Serikali mnamo tarehe 17 Agosti 2026...
  3. JamiiForums Tanzania Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB) yanadi DIRA 2050 katika Mkutano wa Viwanda wa SADC Durban

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB), Bw. Deogratius Kwiyukwa, amesema kuwa uunganishaji nguvu ya pamoja ya Taasisi za kifedha katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, utachochea ujenzi wa viwanda vitakavyokuwa chachu ya kukuza maendeleo ya nchi wanachama...
  4. JamiiForums Tanzania TIB Yanadi dira 2050 mkutano wa viwanda wa SADC Durban

    Na Benny Mwaipaja, Durban Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB), Bw. Deogratius Kwiyukwa, amesema kuwa uunganishaji nguvu ya pamoja ya Taasisi za kifedha katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, utachochea ujenzi wa viwanda vitakavyokuwa chachu ya kukuza...
  5. JamiiForums Tanzania Je, kwa kilichotokea Jana pale Durban hasa kwa Stellenbosch FC kukosa Haki zao katika Matukio Mawili ya VAR tunaamini kuwa BAHATI ipo Maishani?

    Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naelekea Durban, Inye Iche, Matokeo ni Suluhu au Sare kesho

    Mnyama kesho anafuzu nusu fainal bila shaka yoyote, narudia kesho mnyama anafuzu pale Durban. Utake usitake au kwa kisambaa Inye Iche tunakwenda final. Tujiandae kwa wingi kwenda kuipokea pale Airport, am on the way to Durban
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimechungulia mchezo wa kesho Stellebosch vs Simba huko Durban, Matokeo ni Suluhu au Sare

    Mnyama kesho anafuzu nusu fainal bila shaka yoyote, narudia kesho mnyama anafuzu pale Durban. Utake usitake au kwa kisambaa Inye Iche tunakwenda final. Tujiandae kwa wingi kwenda kuipokea pale Airport, am on the way to Durban
  8. JamiiForums Tanzania Mvua ya Jumapili huko Durban Afrika Kusini yaleta madhara kwenye makaburi

    Tunaweza kuwa ni mipango ya Mungu ila haitoshi kuondoa imani kuwa huu ni wakati mgumu sana kwa ndugu wa marehemu ambao waliwapumzisha wapendwa wao katika makaburi ndani ya Durban, Afrika Kusini. Mvua kubwa ilinyesha jana Jumapili na ni mvua ambayo inadaiwa kuwa ni level 5 imeleta madhara...
  9. JamiiForums Tanzania Kampuni ya ICTE kutoka Ufilipino imeshinda tenda kuendesha bandari ya Darbun, SA kwa miaka 25

    Kampuni ya uendeshaji wa shughuli za bandari ya International Container Terminal Services kutoka Ufilipino imeshinda kandarasi ya kuendesha bandari ya Durban nchini Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka 25. Swali, kwa nini sisi DP World hatuambiwi watafanya kazi kwa muda gani? =======...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

    Kuna tetesi mwanamuziki A.K.A kutoka South Africa amepigwa risasi huko Durban, South Africa A.K.A aliwahi kushirikiana na mwanamuziki Diamond miaka ya nyuma wakachia kibao kinaitwa 'Make Me Sing' na Don't Bother alioimba na Joh Makini --- Statement Rasmi kutoka kwa Familia ya AKA ======...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…