dunia

  1. JamiiForums Tanzania Maisha hayatabiriki dunia sio yetu

    Diogo Jota amefariki wakati ambao alikuwa anaendesha gari kuelekea Kaskazini mwa Hispania kwenye Mji wa Santander akiwa na Mdogo wake Adrian, ambapo wangefika Mji huo wangevuka kupitia Ferry (kivuko) mpaka upande wa pili kisha waendelee kuendesha kuelekea England ( Uingereza) kwa barabara ili...
  2. JamiiForums Tanzania Watu 38 Wafariki dunia katika ajali mbaya ya mabasi Kilimanjaro

    Watu wasiopungua 38 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso na kushika moto katika mkoa wa Kaskazini wa Kilimanjaro, Tanzania. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema ajali hiyo ilitokea jioni ya jana katika wilaya ya Same baada ya tairi...
  3. JamiiForums Tanzania Ntafanya elimu ya Tanzania iheshimiwe dunia nzima, yaani mtu akiwa na cheti kutoka Tanzania ataheshimiwa

    Mtoto anayemaliza elimu ya shule ya msingi atakua na uwezo ufuatao;- Uwezo wa kujieleza kwa kujiamini kwa kutumia kingereza na kiswahili Atakuwa na msingi imara wa kuongea kingereza, Kutumia computer na kufungua vitu vidogo vidogo kama email, (Tanzania kuna group kubwa la watu hawajui hata...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Benki ya Dunia waliweza kufuta mkopo wa USD 150 Mil huko Ruaha, Tuwashawishi wafute na kuzuia mikopo yote mingine hadi reforms zifanyike.

    Mwezi April mwaka huu 2025, Benki ya Dunia walifuta mkopo wa kiasi cha shilingi Dola za Marekani Milioni 150 sawa na fedha za Kitanzania zaidi ya Bilioni 400 za mradi wa REGROW Mbuga ya Ruaha kutokana na hoja nzito zilizowasilishwa na Asasi za Kiraia kuhusu mradi huo kukiuka haki za binadamu...
  5. JamiiForums Tanzania Figisu figisu za mpira wa Africa zimefanya tuaibike kombe la dunia la vilabu

    Mpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi. Na kitu cha kushangaza zaidi asilimia kubwa ya timu za Africa zinazofanya vizuri kwenye AFCON huwezi kuona...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Hotuba ya leo uelekeo wetu ni kwa Benki ya Dunia na Wafadhili wote. Tunajua bila Mikopo na Misaada hamuwezi kufurukuta.

    Kwa zaidi ya asilimia 98 katika hotuba ya leo ya kufunga Bunge kuna uwezekano atatoa vijembe, atajisifu sana na kujaribu kujionesha amefanya reforms nyingi kustahili kufanya Uchaguzi wa kiini macho hapo Oktoba mwaka huu. Kwa kuwa tunajua kuwa mnaendesha nchi kwa mikopo na misaada, Baada ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania China yaweka rekodi ya Dunia kwa kukamilisha ujenzi wa barabara pana zaidi chini ya maji ndani ya siku 110

    Jinan, China – Juni 2025 Katika hatua ya kushangaza dunia, China imekamilisha ujenzi wa barabara ya chini ya maji yenye upana mkubwa zaidi duniani ndani ya siku 110 pekee, chini ya Mto wa Njano (Yellow River) katika jiji la Jinan. Barabara hiyo ya ajabu ina urefu wa kilomita 3.3 (sawa na maili...
  8. JamiiForums Tanzania Dunia ya penseli

    Nguvu ya penseli kupitia sanaa ya uchoraji
  9. JamiiForums Tanzania Safari ya Harland Sanders: Kutoka Kituo cha Mafuta Hadi KFC ya Dunia na Mafunzo kwa Vijana wa Leo

    KFC ni kifupi cha Kentucky Fried Chicken, mgahawa maarufu duniani kwa kuuza kuku wa kukaanga. Historia yake inaanzia kwa mtu mmoja aitwaye Harland Sanders, ambaye alizaliwa mwaka 1890 huko Indiana, Marekani. Maisha yake hayakuwa rahisi. Baba yake alifariki akiwa na miaka sita, na hivyo...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Kitundu wa tamthilia ya juakali afariki dunia

    Aliyekuwa muigizaji wa Tamthilia ya JUAKALI maarufu kama Kitundu amefariki dunia jioni ya Leo, Juni 24. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na @lamataleah ambaye ni muongozaji wa Tamthilia hiyo pendwa nchini. Bado chanzo cha kifo cha muigizaji huyo hazijajulikana. Familia ya CROWN MEDIA...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Injili ya uamsho imeshaanza kuhubiriwa kutokea Tanzania kwenda Dunia nzima!

    Salaam, Shalom! Kama ikivyotabiriwa tangu msimu mpya ulivyoanza 2021-2030, kwamba injili ya ufalme itahubiriwa duniani kote. Mwanzo injili hii ilihubiriwa tokea Israel kwenda ulaya, ikasambaa Dunia nzima, Sasa wakati wa mwisho umewadia, na kabla ya unyakuo, ni lazima kanisa la Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania Bado hakuna wakuifuta Israel kwenye uso wa dunia

    📜 BADO HAKUNA WAKUIFUTA ISRAEL KWENYE USO WA DUNIA 🌍 Katika historia yote ya mwanadamu, taifa la Israeli limekumbwa na majaribu mengi – vita, maangamizi, uhamisho na chuki ya mataifa mbalimbali. Hata hivyo, taifa hili limeendelea kusimama imara, likithibitisha kwamba mpango wa Mungu juu ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Siamini kama Aziz Kii kasajiliwa Wydad kwa ajili ya kombe la dunia la vilabu

    Game zote mbili alizocheza KAINGIZWA DAKIKA 5 ZA MWISHO
  14. JamiiForums Tanzania Pesa ndo Kila Kitu kwenye Hii Dunia

    Tembea ufurahi
  15. JamiiForums Tanzania Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

    Wakuu marekani imeinyesha ni namna gani ikiamua jambo lake hakuna kima anaweza tia mguu. Iran nehi nehi. Iran ameonyeshwa ni namna gani yeye ni mchumba tu kwenye masuala ya vita, wanaume wameingia kwenye anga lake wamefanya yao haooo wamesepa na kuacha vilio nyuma.Iran nehi nehi.
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki Kampuni ya TOP Maasai Company Limited, Joram Lukumay amefariki Dunia

    Habari nilizopata Usiku huu ni kwamba Mmiliki na Mwanzilishi wa Kampuni ya TOP Maasai Company Limited Ndugu Joram Lukumay Amefariki Dunia. Bwana Lukumai alikuwa mfanyabiashara katika Sekta za Nishati na Sekta za Madini Mkoani Arusha. Mwenye taarifa zaidi naweza kutupa zaidi.Ila nimpe Pole...
  17. JamiiForums Tanzania Je, tupo kwenye dakika za lala salama unabii wote wa biblia umeshatimia ?

    Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi. je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Israel inafanya huu unyama na Dunia iko kimya tu?

    Wamemuua huyu kiongozi wa jeshi wa Iran bila hatia yoyote. Kwa nini wanafanya huu unyama hawa watu? Nimeumia sana huyu baba kuuwawa.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea tangu Dunia iumbwe chama cha upinzani kufanyiwa hivi

    Mambo makuu ya kisiasa ambayo hajawahi kutokea tangu Dunia iumbwe na tangu mfumo wa vyama vingi vya siasa uanze Nchini ni pamoja na:- 1. Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Nchini kupigwa ndani katika mwaka wa uchaguzi Mkuu. 2. Chama kikuu cha upinzani kuondolewa kwenye uchaguzi Mkuu. 3...
  20. JamiiForums Tanzania Kombe la dunia la vilabu na marefa wetu wa bongo

    Hivi nyie marefa mnaona wenzenu wanavyochezesha Mpira? Bongo mtu akiguswa tu kidogo filimbi inapulizwa hasa mkiwa mnachezesha hizo timu zetu za kurithi. Kama mna akili na mnataka mfike mabli fatilieni haya mashindano hamtabaki kama mlivyo msimu ujao. Naipenda Sana ligi ya Saudia hakuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…