Duni is a surname. Notable people with the surname include:
Egidio Duni (1708–1775), Italian composer
Elina Duni (born 1981), Swiss-Albanian singer and composer
Juma Duni Haji (born 1950), Tanzanian politician and civil servant
Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Mhandisi Chacha Wambura, amefanya kikao kazi na zaidi ya wenyeviti 70 wa mitaa na vijiji kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Geita, kwa lengo la kusikiliza kero na mahitaji ya wananchi katika maeneo yao.
Katika kikao hicho, hoja zilizotawala ni changamoto za...
Inasikitisha sana kuona kuna kundi kubwa la wapumbavu wanaowaandama hawa vijana wa kitanzania walioamua kutumia vipaji vyao kujipatia kipato kihalali. Wasanii wanajipambania ila wajinga wengi wanataka hawa vijana wajihusishe na siasa zao za majitaka. Mbaya zaidi kila siku ni kuwatukana kuwa...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji...
Political legitimacy is the belief by a population that a government or political institution has the right to rule and that its authority is rightful and justified, not just based on force.
High legitimacy means citizens voluntarily obey laws and support the government's actions because they...
Wakurya ni jamii duni ambayo Serikali inabidi kuitazama na kuhakikisha inafundishwa Emotional intelligence.
Hawa Jamaa kuuana ni jambo la kawaida Sana kwao.
Nimefanya mawasiliano na Waandamizi kadhaa wa Rwanda (naomba nisiseme wa eneo gani na ni akina nani) na wamenihakikishia kiukweli kabisa kuwa Rais wa Rwanda Paul Kagame haumwi na hajafa na kusema kuwa wanaoaambaza Taarifa hizi za Kipropaganda ni Wakongomani kupitia Rais wa Congo DR Tshisekedi na...
Mbunge wa Jimbo la Ole, mkoa wa Kusini Pemba, Juma Omar amesema wanajeshi wastaafu wamekuwa wakipata pensheni chini ya kima cha chini, huku na yeye akiwa miongoni mwa wanaopokea kiasi hicho.
Amesema kwa mwezi amekuwa akipata laki moja na arobaini, huku wanajeshi wengine makanali waliopigana...
Juzi Rais wa Marekani DJT alifanya hafla katika club yake ya golf na kuwaandalia chakula cha usiku matajiri zaidi ya 200 waliowekeza zaidi ya $milioni moja kwa kichwa katika Crypto currency yake ya memecoin.
Hata hivyo chakula hicho kimelalamikiwa kwamba kilikuwa duni sana ukilinganisha na...
Kuna watu wenye akili ndogo mlikuwa mnasema Mbowe anaisapoti Chadema kupitia hela zake za Biashara .
Ila Lissu alihoji je ikiwa Ana hela za biashara ni biashara gani hizp ambazo hazina jina.
Ni vichekesho Sana wakuu nadhani mmeshajua aina gani ya biashara alikuwa anaifanya na wapi alikuwa...
Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha.
Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha...
Juzi nikiwa katika safari zangu nilipita Urambo, nilipofika katika Stendi ya Wilaya ambapo basi letu lilipita hapo, nilishangazwa na muonekano wa Kituo hicho, kilikuwa ‘too local’, mazingira yake sio mazuri na ukweli hali hiyo inasikitisha.
Tulishuka na wenzangu kadhaa na kwenda kwenye vyoo vya...
Mwanzoni nilidhani labda ni hisia zangu lakini baada ya kuwasikiliza nikagundua nilikuwa sahihi kwa 100% kuhusu kundi la watia nia wa ubunge 55 kupitia CHADEMA maarufu kama G55 ama Mpox ambao wameamua kuja kinyume na msimamo wa Chama chao kuhusu agenda ya No reform, No election.
Hapa chini ni...
Maeneo 111 katika mikoa 24 yenye makazi duni na yanayoendelezwa kiholela nchini, yanaanza kufanyiwa maboresho kupitia upangaji upya wa miji, huku Serikali ikiahidi kushirikisha wananchi kwa karibu katika mchakato huo.
Hatua hiyo inatekelezwa chini ya Programu ya Uendelezaji wa Miji...
Kuna uwezekano mkubwa wa kuishi maisha mazuri na yenye raha hapa duniani. Lakini ajabu kuna watu wanaridhika kuishi maisha duni. Wasiokubali kuishi maisha ya kimaskini wanapambana hadi mwisho.
Wanaoridhika kubaki maskini huamini kwamba walizaliwa kwa bahati mbaya na hawana uwezo wa kubadilisha...
Hii yote ni kujitafutia acceptance katika dunia inayoongozwa na literates.
Kuna wajinga maarufu bongo hii wakisha shiba vihela vya kupaisha majina ya wanaume wenzao wengine baada ya kusambaza yas zao huwa wanatukana watu waliosoma eti wanapoteza muda.
Utafikiri kila mtu ambaye hakusoma sasa...
Kama unaishi kwenye nyumba ya kupanga ambapo mnachangia choo na bafu na wapangaji wengine basi bado unaishi katika maisha duni sana, bado una safari ndefu ya kuyafikia maisha ya hadhi anayostahili binadamu.
Nimeangalia Churchill Show iliyoandaliwa na mkuu wa mkoa wa Arusha, itoshe kusema comedy ya Tanzania ni mbovu sana, maudhui ni duni mno, unaona wazi watu wanatumia nguvu kubwa sana kucheka na kufurahia.
Ambacho waswahili wanapaswa kufahamu ni kwamba chanzo na kushamiri kwa tasnia ya comedy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.