dr slaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    GE2025 Dkt. Slaa: Nimeshiriki kampeni nyingi lakini sijawahi kuona ninayoyaona safari hii. Vyama havitamki masuala ya muhimu

    Wakuu, Mwanasiasa mkongwe, kada na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, amekosoa kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) akisema hazijikiti kwenye masuala ya msingi yanayowagusa moja kwa moja wananchi. Akizungumza Septemba 2, 2025 kwa njia ya...
  2. funaku

    Dr Slaa aliwahi kuonesha resprocal obligation Tujifunze kwake lakini pia asipoteze karama hiyo

    Resprocal obligation ! Kwa kiswahili rahisi sana hili ni jukumu "nenda rudi" Dr Wilbrod Slaa aliwahi kuwa padre wa kanisa katoliki na baadaye akaomba kuondoka kwenye upadre kwa mujibu wa taratibu za Kanisa na baadaye akaruhusiwa "kuacha" upadre japo ukishakuwa padre kamwe haiwezekani kuwa...
  3. The Palm Beach

    Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

    https://youtu.be/Zuf0AQbofZs?si=WeqZpejCIpZYoDR2 IN BRIEF: 1. Dr Wilbroad Peter Slaa ameanza kwa kumshukuru Humphrey Polepole kwa ukiri wake wa kushiriki kuandaa hujuma hizi. Ameomba msamaha kwa taifa na Watanzania wote, nasi tunamsamehe kwa kama ambavyo nasi Mungu wa mbinguni hutusamehe kila...
  4. T

    Alianza Ndugai badae Dr slaa akafuata Lisu mara Gwajima kisha Mpina na sasa pole pole kwenye zile 4r hii ni style iko 4 ya ngapi!?

    Inavyoonekana kila mtu anayempinga raisi wetu hana budi yatamkuta ya kumkuta. Hao hapo ni baadhi tu ya majina ya watu waliokutana na dhahma kama matokeo ya kupingana na mawazo ya mama. Kwa bahati mbaya hana muda wa kujibu hoja watu wakitoa hoja yeye anakimbilia kuwashughulikia. Jazba mihemko...
  5. J

    CHADEMA ilipasuka katikati alipoondoka Dkt. Slaa na kuja Lowassa, hawa wanaoondoka sasa akiwemo Mbowe siyo maarufu kumzidi Slaa

    Chadema imewahi kugawanyika mara moja tu pale walipomtosa Dr Slaa na kumleta mzee Lowasa Unajua kwenye hizi siasa zetu za Tanganyika Mbowe hajawahi kufanya tukio lolote la kutikisa nchi kama vile Dr Slaa na Kagoda, Masoud wa Temeke na Panton, Lyatonga na Chavda, Zitto na Buzagwi, Kafulila na...
  6. Dennis Robert Shughuru

    PreGE2025 CHADEMA hawaja-set standard, kama wangekuwa nazo wasingemrudisha Dkt. Slaa

    CHADEMA hawana standard wangekuwa na standard wasingemrudisha Dkt. Slaa, vyama vya upinzani vingi vya afrika havina ideology, na standard, mtu aliyeandika mambo ya uongo na uzindaki dhidi ya chama chake cha zamani leo tena anapewa nafasi ni ajabu sana. Moja ya mambo yanayowafanya baadhi ya...
  7. A

    PreGE2025 Dr Slaa vs Lissu 2025 General Election

    Nani asimame CDM kati ya hao wawili kwa uchaguzi wa rais
  8. R

    PreGE2025 Dr Slaa: Kilichonitoa CHADEMA 2015 sasa hakipo

    Hellow Tanganyika! Akizungumza baada ya kuachiwa huru DPPP akiingia mitini Kwa madai kuwa, Hana Nia ya kuendelea na kesi, Dr Slaa amedai kuwa ,kilichomuondoa CHADEMA 2015 sasa hakipo. Sasa wajuvi wa mambo, njoni mtujuze kipi Hasa kilichomtoa CHADEMA ambacho sasa hakipo? 1. Je ni Lowwassa? 2...
  9. Pascal_TZA

    PreGE2025 Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka

    Baada ya kuachiwa huru leo, Dkt. Slaa ametangaza kuwa yuko tayari kurejea CHADEMA na kufanya kazi bila kuchoka kusukuma mabadiliko nchini mwetu. Pia, Soma: Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi Akiongea leo nje ya Mahakama ya Kisutu baada ya kuachiliwa huru baada...
  10. F

    Mbinu hii ikitumika, Dr SLAA anatoka gerezani siku mbili

    Wanajukwaa heshima iwe kwenu. Hivi kweli wenye mapenzi mema wanashindwa na walaghai na wafitini wenye kumshikilia Mzee Slaa na kumnyima dhamana kusiko haki? La Hasha, Mbinu hizi zitumike, huenda zikazalisha mengi zaidi mazuri ya neema kwa WaTz nchi ikapata mabadiliko muhimu sana kupitia...
  11. L

    PreGE2025 Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri

    Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo unatarajiwa kusomwa uamuzi juu ya uhalali wa hati ya mashtaka kwenye kesi zinazomkabili mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa. Dkt. Slaa hajafikishwa mahakamani hapa na sababu iliyoelezwa na upande wa jamhuri kuwa ni uwepo wa changamoto ya...
  12. L

    Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa

    Mwenyekiti wa Chadema wakili msomi Tundu lisu anaongoza jopo la mawakili Leo kesi ya Dr slaa
  13. L

    PreGE2025 PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo kwa ajili ya kuungana na jopo na mawakil linalomtetea Dk. Wilbroad Slaa anayeshtakiwa kwa makosa ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii.
  14. L

    PreGE2025 Mwenyekiti wa Chadema Wakili T Lissu Leo atasindikizana na wependa haki wengine kwenye kesi ya Dr Slaa

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mheshimiwa Wakili TUNDU LISSU, leo tarehe 30 Januari 2025 ataungana na WAPENDA HAKI WENGI katika KUPOKEA Uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar Es Salaam kwenye KESI ya DKT. WILBROD SLAA dhidi ya JAMHURI.
  15. R

    PreGE2025 Free Dr Slaa, tunamuhitaji kudai Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Oct 2025

    Hellow Tanganyika! Mzee Slaa ameshiriki kiasi kikubwa kuleta mabadiliko ya Fikra Nchi hii, mchango wake ni wa kupigiwa mfano. KAZI iliyo mbele yetu ni kulazimisha mfumo huu kandamizi kusikiliza, kutii na kutekeleza matakwa ya umma wa wananchi Watanzania tutakao mabadiliko ya Kweli kimfumo Ili...
  16. Mr Dudumizi

    Jinsi Lissu alivyoushtukia mtego uliopangwa na mamlaka wakishirikiana na Dkt. Slaa

    Habari zenu wanaJF wenzangu Hapa katikati ya mvutano wa nani anaefaa kuwa mwenyekiti wa Chadema. Baada ya upepo kuonekana kwenda upande wa Lissu, wazee wa kazi wakakaa kikao kimya kimya kama walivyofanya wakati wa Lowasa (lkn safari hii kwa namna nyingine) na kuja na njia ambayo itasaidia...
  17. B

    Dr Slaa: 2015 Nilipelekwa Italia for Presidential Training kwa Mkufunzi wa Angela Mark wa Ujerumani, niliandaliwa Mgombea Urais

    Shallom. Jana weekend nilikuwa natembelea Na kusaka habari za siasa zinazojiri mitandaoni. Nilikutana na interview ya Dr Slaa akiwa nyumbani kwake Mbweni iliyorushwa na Jambo Online TV. Pamoja na mambo mengine majadiliano yale yalijikita hasa kujadili ni kwa namna gani Dr Slaa alijiengua...
  18. Torra Siabba

    DR Slaa alisahau nini Chadema?

    Ndugu zangu, kuna huyu Kiumbe anaitwa Dk Slaa, Sikatai mchango wake kwenye kukijenga Chama cha Demokrasia na Maendeleo lakini kwa sasa anakera. Wote mnakumbuka, baada ya Mzee Lowasa kuja Chadema huyu jamaa aliondoka Chadema akahamia CCM, NA kupewa Ubalozi huko CANADA, kiuhalisia kwangu Mimi...
  19. R

    Ikiwa KAZI ya Serikali ni kulinda raia, Kwanini Dr Slaa asipewe dhamana na kulindwa?

    Hellow Tanganyika, Mnajaribu kutuambia umma kwamba uraiani hakuna ulinzi na USALAMA wa raia? Kwamba korokoroni ndio Mahali salama? Kwamba tuache nyumba zetu uraiani ,tuje kupata ulinzi murua korokoroni? Ndugu Bashungwa, majibu tafadhali 🙏 Karibuni!
  20. Stuxnet

    Kambi ya Tundu Lissu, lianzisheni sasa kumkomboa Dr Slaa, maana mnadai kuwa Mbowe siyo "aggressive"

    Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera. Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani. Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema...
Back
Top Bottom