dola

The Western Australian Land Information Authority operates under the business name of Landgate. Formerly the Department of Land Information (DLI), the Department of Land Administration (DOLA) and the Department of Lands and Surveys (DOLS), it is the statutory authority responsible for property and land information in Western Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sababu kuu 2 kwanini viongozi wa CCM hawataki kuachia Dola.

    Hello! Huwa nacheka sana ninaposikia watu wakiswma kuwa wataiondoa CCM kwenye kura 2025. It's like a madness. 2015 mkashindwa 2020 mkashindwa Hiyo 2025 mtawezaje? Viongozi wa CCM wanaogopa kuondoka madarakani kwa sababu kuu 2. 1. Wanajua kuwa CCM ikiondoka madarakani na mirija yao...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya "wanajeshi" wetu wana vitambi?

    Walengwa hapa ni JWTZ, POLISI, JKT, Magereza na Zimamoto! Wengi wa askari wenye vitambi ni "mabosi' Vitambi kwa askari wa vyeo vya juu vina manufaa gani kwao na kwa Taifa? Wanajua kuwa hivyo vitambi vinatusababisha "sisi" tusio na uzoefu wa masuala ya Kijeshi tuwaone kuwa ni wazembe? Mbona...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo yanapaswa kufanywa ili kuhakikisha Uwajibikaji kwa Vyombo vya Dola

    Ili kuhakikisha kuwa na maafisa wa vyombo vya dola wenye maadili mema na uwajibikaji, yafuatayo yanaweza kufanywa: 1. Kuimarisha Uchaguzi na Udahili: Mchakato wa kuchagua na kudahili maafisa wa vyombo vya dola unapaswa kuwa mkali na wa uwazi, ukizingatia zaidi maadili, tabia, na historia ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo sio Marais waliopita Wala wajao Bali ni Dola kulinda hisia za mtu badala ya vipaumbele vya Taifa

    Tumekua tukikosoa Sana personality za viongozi Kila awamu,tukikemea ubadhirifu,rushwa na wizi wa Rasilimali zetu bila kujua tatizo kuu ni taasisi ya Dola ambayo inalinda utaifa,mipaka na vipaumbele vya taifa hili. Kila kiongozi anaeingia anakua na vipaumbele binafsi badala ya vya taifa letu na...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

    Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu. Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Sarafu ya China, Yuan haitachukua nafasi ya dola ya Marekani kama sarafu ya akiba duniani.

    Hivi karibuni kumekuwa na habari kuwa Saudi Arabia iko kwenye mazungumzo ya bei ya mauzo ya mafuta yake kwa sarafu ya China, Yuan. Ingawa baadhi ya nchi zinaunga mkono sarafu ya China Yuan kuwa sarafu ya akiba ya dunia, hali halisi ya kiuchumi inadhoofisha juhudi hii kabla hata haijaanza. The...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna kila dalili uchaguzi mkuu 2025 Upinzani ukikazana unachukua, je Mwenyekiti Mbowe ataruhusu hili?

    2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola . Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana Lakini sio siri CHADEMA...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

    ◾Serikali ya Tanzania kwa mara nyingine tena imeshutumiwa na kampuni ya wawekezaji wa kigeni kwa kukiuka masharti ya mkataba wa uwekezaji baina ya nchi mbili (BIT) ◾Haya yanajiri wiki chache tu baada ya Tanzania kukubali kulipa dola milioni 90 kwa kampuni ya Australia kutatua kesi ya usuluhishi...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania Yasaini Mkataba wa Dola za Marekani Milioni 77 kwa Uchimbaji wa Madini ya Chuma

    Shirika la Maendeleo la Taifa la Tanzania (NDC) limesaini mkataba wa dola za Marekani milioni 77 na kampuni ya Fujian Hexingwang Industry Tanzania ili kuwezesha uchimbaji wa madini ya chuma. Mradi huo utajengwa katika Wilaya ya Ludewa, mkoani Njombe, huku uzalishaji wa chuma wa majumbani...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna fedha ambazo inadaiwa ni dhaifu kweli dhidi ya dola

    Weakest Currencies In the World. 1. Lebanese Pound/Lira (1 USD = 89,524.90 LBP) 2. Iranian Rial (1 USD = 42,225 IRR) 3. Vietnamese Dong (1 USD = 25,380 VND) 4. Laotian Kip (1 USD = 21,451 LAK) 5. Sierra Leone Leones (1 USD = 20,000 SLE) 6. Indonesian Rupiah (1 USD = 16,231 IDR) 7. Syrian...
  11. B

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank Marathon Congo yakusanya Dola 50,000 kusaidia wodi ya watoto Hospitali ya Jason Sendwe DRC

    Gavana wa Jimbo la Haut-Katanga, Jacques Kyabula (katikati) akimkabaizi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 50,000 Waziri wa Afya, Joseph Nsambi Bulanda wa Haut-Katanga (watatu kulia), zilizokusanywa katika CRDB Bank Marathon Congo iliyofanyika leo Agosti 4 2024 katika jiji la...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa Dola badala ya shilingi linawapa shida Wafanyabiashara

    Kero yangu ni kuhusu tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa dollar badala ya shilingi kama alivyoagiza. Mfano Ankara za kulipia leseni za tume ya Madini za dollar 1,000 zinaandaliwa kwa mfumo wa dollar. Ukienda benki kulipa wanadai hawalipii mpaka uwe na dollar...
  13. JamiiForums Tanzania Ikitokea upinzani ukashika DOLA utakuta nchi ipo hoi bin taaban.

    Ni kana kwamba makada wa chama changu ccm wanadmfukuzana na muda kwa kukopa na kukuza deni la taifa kuwa kasi sana huku rasilimali zikibebwa na wageni KWA kisingizio cha mikataba ya uwekezaji!! Najaribu kuvuta picha tuendapo napaona pagumu n hatuna pa kushika bila kujali nani atakua mshika...
  14. JamiiForums Tanzania Ukraine kukabidhiwa kifurushi kingine Cha Dola billions 50

    Naam wakuu, wakati kile kifurushi Cha Dola billions 61 kutoka marekani kwa ajili ya msaada wa kijeshi kwa Ukraine bado hakijafikisha hata miezi 2.,mataifa Saba yenye nguvu ya kiuchumi duniani yaani G7,yamepitisha kifurushi kingine kwa ajili ya Ukraine, ikumbukwe kwamba kifurushi hiki...
  15. JamiiForums Tanzania Kadri siku zinaenda naona maisha yatakuwa magumu sana

    Habari za jioni Watanzania Poleni na mihangaiko ya maisha Basi baada ya kupata vijihela kwenye Forex. Nikawa najiuliza Kwann US Dollar inazidi kuwa na nguvu au thamani San dhidi ya shillings? Kadri siku zinaenda naona maisha yatakuwa magumu sana Nin kifanyike?
  16. JamiiForums Tanzania DOLA YA KONGO

    UFALME WA KONGO: "WENE WA KONGO, FALME PEKEE AFRIKA ILIYOKUWA YA KWANZA KUWA NA DEMOKRASIA NA DIPLOMASIA. Na. Comred Mbwana Allyamtu (CMCA) Thursday- 9/06/2022 Marangu, Kilimanjaro, Tanzania Ufalme wa Kongo ambao ulijulikana kama "Wene wa Kongo au Kongo dya Ntotila" ni mojawapo ya falme za...
  17. JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi azungumza na waandishi wa habari kufafanua kuhusu Mkopo wa Korea Kusini

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, leo Juni 4, 2024 amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara hiyo uliyopo jengo la TTCL, jijini Dar es salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu mkopo wa Dola bilioni 2.5 kutoka Korea. PIA SOMA - VoA...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali: Mkopo kutoka Korea hauna masharti ya kuweka rehani rasilimali za nchi

    UFAFANUZI WA MKOPO WA DOLA BILIONI 2.5 AMBAO TANZANIA IMEPATA KUTOKA KOREA Mobhare Matinyi. Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. Dar es Salaam Juni 4, 2024. Saa 8:00 Mchana. Ufafanuzi huu unafuatia habari yenye dosari iliyorushwa hewani jana na tovuti ya Idhaa...
  19. JamiiForums Tanzania Utabiri: Mwaka huu hautaisha kabla ya Dola ya Marekani kufika 3000Tsh

    Sio kwamba tunaongea au kuombea mabaya la hasha. Tunajaribu kuangalia hali halisi! Mpaka kufikia leo katika bureu de change dola moja inanunuliwa kwa 2660Tsh. Hii rate inapanda kila siku kwa kasi ya ajabu! Nikijaribu kuangalia uwezo wa viongozi tulionao (Samia, Mwigulu, Majalia nk nk) na...
  20. JamiiForums Tanzania Mhadhara wa Uprofesa: Machungu ya MV Bukoba, Dola na soko

    Katika tukio la kipekee ambalo linakipa Kiswahili nafasi iliyopokwa siku nyingi ni tukio la muhadhara wa uprofesa kuendeshwa Kwa lugha ya Kiswahili. Mchango mkubwa wa Profesa Mkandala katika hili siyo jambo dogo. Ni dhahiri kuwa ana mchango mkubwa yeye binafsi na kupitia historia yake ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…