Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wakati akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mtwara, ili kuelekea mkoani Lindi, leo tarehe 18 Machi 2026.
Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Ufunguzi wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
dkt. emmanuel nchimbidkt.nchimbi
emmanuel nchimbi
gani
jamhuri ya muungano
jumuiya
kabila
makamu wa rais
maziwa makuu
museveni
nchi
nchimbi
rais wa jamhuri
wewe
yoweri
yoweri museveni
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitaka Wizara ya Muungano na Mazingira kujipanga katika suala la elimu ya muungano hususani kwa vijana kwani wengi hawajui historia na umuhimu wa muungano.
Dkt. Nchimbi ambaye alikuwa kwenye kikao kazi akizungumza na...
Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), ulitawala kwenye hotuba za viongozi ikiwemo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyoisoma...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kushiriki nje ya mipaka ya Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tangu alipoapishwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), uliyofanyika, jijini...
Mmemsikia Nchimbi! Akiendelea kufanya unafiki wake!
==================
“Katika kipindi cha miaka hii minne na nusu, serikali ya CCM imeweza kusimamia usalama na amani ya nchi yetu. Imeimarisha vyombo vya ulinzi kwa kuongeza idadi ya waajiriwa wapya, mafunzo, vitendea kazi na mbinu za kivita. Leo...
Huyu Mzee naye, anavyotamba. Mbona mnawapiga pini wapizani wenu wakubwa kama nyinyi mnajiamia na mnauwezo wa kuongoza nchi?
Tuone nafasi muone balaa lake
================
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kina uzoefu wa kuongoza nchi...
Mgombea Mwenza wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema iwapo CCM itashinda uchaguzi wa mwezi October, Serikali ya Chama hicho itatenga shilingi Bilioni 200 na kuzitoa kama mikopo ya Vijana na Wajasiriamali Nchini.
Nchimbi amesema sambamba na hilo, pia watarasimisha shughuli za Wajasiriamali...
Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewakumbusha Watanzania kuhusu ahadi za Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alizoziahidi kutekeleza ndani ya siku 100 baada ya kuapishwa endapo atapewa ridhaa ya kuongoza tena nchi.
Amesema hayo...
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Emanuel Nchimbi, alivyowasilia jijini Mwanza kwaajili ya kampeni za Uchaguzi Mkuu.
Dkt. Nchimbi ataanza kampeni zake katika wilaya ya Kwimba, uwanja wa Ngudu mjini ambapo atafanya Mkutano Mdogo wa hadhara, baadae atapita wilaya ya Misungwi...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiongoza kikao cha kawaida cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, leo Julai 14, 2025 katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) mkoani Dodoma.
Kikao hicho kinachotarajiwa kuendelea hadi Julai 16...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili kwenye ukumbi wa AICC kwa ajili ya kushiriki Kongamano la wanawake kama mgeni rasmi, leo Juni 24, 2025.
Balozi Dkt. Nchimbi amepokelewa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, pamoja na...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, huduma za matibabu zimeimarika kutokana na kuboreshwa kwa hospitali za rufaa za mikoa.
Ameongeza kuwa ajenda kuu ya chama hicho ni kuendelea kuboresha huduma za afya kwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema falsafa ya 4R ya Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeakisi sawa sawa tabia ya Mwalimu Nyerere katika dhamira na namna ya kuliongoza taifa la Tanzania...
Wakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi.
"Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye yeye amepewa cheo kikubwa katikati yetu, ametuzidia mbali kabisa, na sisi tunaomba tumkopeshe...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya akiwa katika ziara na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa watu wanapofanya maamuzi ya kukiunga Mkono CCM hawaangalii ukubwa wa sauti isipokuwa wanaangalia hoja ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ➕ Mhe. Dkt. Emmanuel...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameielekeza Menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kuhakikisha mradi wa usanifu na ujenzi wa bandari mpya ya Mbamba Bay, iliyopo Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma unakamilika kwa wakati na kwa viwango bora.
Dk...
Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kitaweka mikakati mizuri ya kuhakikisha vijana wanapata ajira.
Kauli hiyo ameitoa Aprili 5, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mbambabay, wilayani Nyasa, alipokuwa ziarani mkoani...
Chief Sadiwabu Mussa Mitondo wa Pili akizungumza kwa niaba ya Wazee wa Nyasa wamemshukuru Rais Dkt. Samia Suluh Hassan kwa kumchagua Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea mwenza wa Uchaguzi ujao na pia Katibu Mkuu wa chama hicho na kwamba kiongozi huyo ni mzalendo wa kweli na mchapakazi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.